Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Nimenasa mpango mzito wa siri wa kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi mwaka huu kiulainii bila kutumia nguvu kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge na Urais. Mpango wenyewe umeanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2011 kwa mamluki wengi kupandikizwa chadema kuanzia ngazi ya mtaa mpaka taifa; Nawahakikishia kuwa CCM itashinda kata nyingi na majimbo mengi bila kupingwa baada ya mamluki kujitoa pindi watakapokuwa wamepitishwa na NEC; Katika nafac ya urais ndugu Magufuli anatarajia kushinda kiulaini baada ya mgombea wa chadema ambae anatarajiwa kuwa Lowasa kujitoa katika mbio hizo baada ya kuwa nae ameshapitishwa na Tume ya uchaguzi. Lowasa ni sehemu ya mpango huo wa kuhakikisha ccm inashinda kiulaini huwezi mtenganisha lowasa na ccm na Kikwete

Ama akili yako haina akili au ni utoto unakusumbua! Unaandika kitu gani hili?!
 
Chdm+ukawa ni sikio LA kufa halisikii dawa!!! Nimajuz tu zito aliibua swala LA epa+Richmond. Lowasa akawajibishwa? Sasa Leo hayo ya ufisadi yamesahaulika. Salsa anabembelezwa ajiunge chdm. Mmmmhhhhh
 
Kwa Tafsiri hii, ya kuyakumbatia maovu ambayo walikua wanayapinga......


Kwa kumkaribisha yule waliyekua wanamtuhumu majukwaani.....

Kwa kutudanganya tuamini yale wanayotaka tuamini kumbe sivyo.......


Kama ni kweli mmemkaribisha huyu mtu.........


Nyie sio wa kuaminika, hamfai...hamchelewi kutubadilikia mkiwa ikulu.......

Mnapinga nini na kufanya nini????

Uongozi wa ikulu ni muhimu kuliko uhusiano wenu na wanaowaamini...

MMewasaliti Watanzania kwa uchu wa IKULU......

Mtawatawala vipi wale mliowasaliti......

Ina maana mlikua mnatoa tuhuma za UONGO juu ya huyo mtu....

Kama ni tuhuma za Uongo...tokea muanze kutoa TUHUMA mmetoa ngapi za uongo na ngapi za Ukweli....

Tunashindwa kuamini tena hata mkituambia kua yapo ya ukweli mliyotuambia....

Imani juu yenu imepotea.....

CHADEMA hamuaminiki tena...

Maana yake ni moja tu, kumbe wanahubiri wasichokimaanisha na inadhihirisha ipo siku wakaja kusema na mengine meñgi. Yawezekana kabisa ZZK hakuwahi kuwa na hatia kama walivyokuwa wanamsimanga, kumb CDM wana ndimi mbili hivi mwisho wa safari wanageuka nyoka na kuwa na sura mbili kama popo ...CDM mtaadhibiwa na watanzania kwasababu mpaka sahivi wenyr akiri tushaanza kuwadharau tayari ..huu ni upofu wa madaraka ilimradi mwend Ikulu hata kama ni kwa kumkana malaika, njaa zenu ni sumu sana kwa nchi yetu
 
CHADEMA acheni upofu, make analysis..

Je Lowassa akijitoa mtafanyaje? What is plan B?

Mapenzi huleta upofu.....

Why do you put such big risk to a part .... Lowassa ni binadamu, na anaweza kusaliti na akajitoa, mtafanyaje...

Mimi naamini Dk. Slaa anatosha kabisa.

Kwenye kura za maoni Dk. slaa alikuwa mbele ya magufuli sana..

Kama Akina Mbowe na Ndesamburo wataamua kurisk chama, basi wanachama wengi wa CDM watapigia kura CCM

Exchange of fans - wale wa Lowassa waje CDM na wale wa CDM waende CCM......

Dr. Slaa anatosha kabisa....
 
Lowasa atasaidia sn kuitoa ccm madalakani
 
Nimenasa mpango mzito wa siri wa kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi mwaka huu kiulainii bila kutumia nguvu kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge na Urais. Mpango wenyewe umeanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2011 kwa mamluki wengi kupandikizwa chadema kuanzia ngazi ya mtaa mpaka taifa; Nawahakikishia kuwa CCM itashinda kata nyingi na majimbo mengi bila kupingwa baada ya mamluki kujitoa pindi watakapokuwa wamepitishwa na NEC; Katika nafac ya urais ndugu Magufuli anatarajia kushinda kiulaini baada ya mgombea wa chadema ambae anatarajiwa kuwa Lowasa kujitoa katika mbio hizo baada ya kuwa nae ameshapitishwa na Tume ya uchaguzi. Lowasa ni sehemu ya mpango huo wa kuhakikisha ccm inashinda kiulaini huwezi mtenganisha lowasa na ccm na Kikwete

Mr. Emmy.... Hongera.............. Wanaopinga waje waseme... Je Lowassa akitoa, watafanyaje?
 

Ndugu wanajamii,
Nimesoma kwa tahadhali sana maandiko juu ya kumkaribisha Lowasa Chadema ambayo yamemnukuu Mr.Mbowe na wabunge kadhaa ndani ya chama. Binafsi nimestushwa kwani sifikirii kama chama kitatueleza nini wafuasi wa dr.slaa juu ya posibility kwamba atakuwa replaced na lowasa....

Natahadhalisha kwamba maamuzi yakifikia huko then tufanye referendum ndani ya chama kujua upepo unaendaje. Haiwezekani mtu akatwe ccm asababishe kukatwa kwa mlezi tegemeo wa chama. pia natahadhalisha isije ikawa ni gabachovu wa ccm kaja kama mtengwa kumbe ni longterm plan yao kutuvuruga.

Msiseme sijasema.

Akiondoka nami nitamfuata aendapo
 
Mbona mnjamba jamba na mambo ya ukawa,magamba punguzeni presha dawa iwaingie.Mambo ya ukawa yanawahusu nini?

Hah haa kiloriti Mfuasi mkubwa wa Lowassa mimi najua kiloriti adui wao mkubwa alikuwa ni Membe na secretariety ya ccm.
 
Last edited by a moderator:
mpaka sasa hivi sisi hatuitaji wamtaje kwenye urais au wamfiche kwenye uwaziri mkuu hili kutuada watanzania tunajua walichokipanga wala hatuitaji tena utetezi wao maana hawa ni wanafiki wanaweza kesho kusikia wanakata kwevye vyombo vya habali tena vya kwao ,lakini ukweli utabaki kuwa ukweli,ni mtu wao nwa ukweli chini ya mpago wao,
 
Yote yanawezekana ukiunganisha na kutangulia kwa milya napata hofu fulani vile. Kumbuka mwaka 2010 kuna semina ya vijana wa CCM ilifanyika Zanzibar tuliambiwa kuwa kuna long time plan ya kufanya wanaCCM wachanganyike na vyama pinzani kama ilivyo Kenya ili yeyote akishika dola alinde masilahi ya wanaCCM na CCM yenyewe.
 
Watanzania wako very desperate, kwa hakika hawajui ni nini hasa wakitakacho and they can fall for anything. Kwa haya ni bora tu "kitengo" wawachagulie rais!!!!!
 
Team Slaa Mimi kama mmeshindwa kazi, Mbowe useme. Sikatai kupewa uanachama ila sio kugombea
 
Kama Chadema itaamua Dkt Slaa ampishe Lowasa itakuwa na athari mbaya katika Falsafa yao ya Muda mrefu ya kupambana na Ufisadi, pia inaweza kumpa Kick na Platform murua Zitto Kabwe na ACT yake. Pia itakuwa ndo Mwisho wa kisiasa wa Slaa kama Upinzan utashindwa kwa kuwa 2025 hatutegemei Slaa atakuwa na nguvu za kufanya siasa. Chadema hawapaswi kubadili itikadi yao ya Chama ya miaka 23 kwa kuwa tu Kamati kuu ya Ccm ilugeuzwa Muhuri wa Kamati ya Maadili.
 
Back
Top Bottom