Na kama ndiyo hivyo sina sababu ya kujiandikisha kupiga kura!Ili iweje?Nampigia kura fisadi,mwizi wa mali za umma,mla rushwa asiye na haya mpaka kutaka kununua urais?
Hivi hawaoni huyu aliyemsaidia kuununua urais ametufikisha wapi?
Kweli wakimuingiza CDM waisubirie kadi yangu huko huko ufipa.
Welcome Comrade, n lead us to Ahadi Country...
mkuu tulia kwanza yapo mawili yatakukuta mwaka huu
1, kumtangaza waziwazi ili tuchanje mbuga kweda ikulu au
2, kutumia pesa zake na wewe ukiwemu kwenye kampaini zao na malipo yake nafasi ya uwaizri mkuu au bihashara,
hakuna namna ya kuyakwepa haya maana makubaliano tayari japo kwa siri sana lakini ukweli haufichiki,maamuzi makuu ni ya wenye chama mtu na mkwe wake basi,
na kimia hiki kinasoma upepo,lakini hakisaidi wala hakitabadilisha yaliyopangwa,
alishindwa kuonxoa rushwa,wizi na ufisadi kwenye wizara yake.alihusika kuuza nyumba za serikali na.kugawa kwa hawara yake.hata uniambiaje nitakujibu nilivhojibu.
Huyu ni mbwa mwitu amevaa ngozi ya kondoo.na ukitaka kuwa thomaso kuwa tu lakini
tunaye mfahamu hafai hata kutuchungia kuku.
Kilicho tokea ndani ya chungu huwezi jua kulikuwa na nini kwenye jiko.ukiona maharage yameiva ujue mkaa umeteketea.
Unaweza kunijibu hili?Kwanini alikuwa analipa watu pssa kwa ajili ya kumchagua?Rafiki huyo tuliyenaye alipita njia hizo hizo alizokua anapita rafikiye!Ila tatizo ni kuwa rafikiye amempenda mwingine achukue mikoba yake!
Lakini njia alizopita ndizo alizopita ndizo hizo hizo za.kulipa na kutoa rushwa ili apate uongozi.Tofauti hawana.ila mimi na wewe tujiulize atarejeshaje pesa alizokopa kwa ajili ya kusaka urais?
Uzuri ananua njia aliyotumia kutaka kuteuliwa ziyo sahihi.Asi getoa pesa nina uhakika asingekuwa na sababu ya kuukosa.
Leo tunalia mikopo imezidi imefika mahali hayujui kama italipika.Cha maana bakuna bali safari za kila siku,mikopo hii haijalipa mikopo iliyochukuliwa wakati wa kusaka uongozi?
Sina ubaya a Lowassa wala kwa yeye kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa,lakini sitakuwa na amani kwa chama chochote cha siasa kikimsimamisha kugombea urais.
Sina uhakika hata ubunge kama itawapa chama hicho.Kwangu TAIFA langu ni bora kuliko chama.Chama chweza kufa lakini si TAIFA langu.
Huu ndiyo msimamo wangu.
Mungu inusuru CDM isimpokee Lowasa
Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki CDM
hiki chama siyo cha mbowe,mtei wala dr.slaa.chama hiki kinaweza kumshtaki yeyote katinyao atakayeenda kinyume na katiba ya chama
ninategemea hata wanachama wa kawaida wanaweza kuweka court order kupinga kukaribishwa kwa lowassa.ni kiasi cha kuulizia wanasheria.
Kama walianzisha chama ili kiwe cha familia wasingekuwa na haja ya kutafuta wanachama.
Na mwisho waanzilishi wa cdm siyo mtei peke yake hivyo hana mandate ya kusema chama ni chake.
Walioanzisha wapo usipoteze watu.na si mtei wala mbowe mwenye uwezo wa.kulazimisha kupokelewa kwa lowassa.kionhozi wangu ulimi labda uliteleza akajiuma....
Hiki Chama siyo cha Mbowe,Mtei wala Dr.Slaa.Chama hiki kinaweza kumshtaki yeyote katinyao atakayeenda kinyume na katiba ya chama
Ninategemea hata wanachama wa kawaida wanaweza kuweka court order kupinga kukaribishwa kwa Lowassa.Ni kiasi cha kuulizia wanasheria.
Kama walianzisha chama ili kiwe cha familia wasingekuwa na haja ya kutafuta wanachama.
Na mwisho waanzilishi wa CDM siyo Mtei peke yake hivyo hana mandate ya kusema chama ni chake.
Walioanzisha wapo usipoteze watu.Na si Mtei wala Mbowe mwenye uwezo wa.kulazimisha kupokelewa kwa Lowassa.Kionhozi wangu ulimi labda uliteleza akajiuma....
Hapo umesema,kama kweli watamkaribisha Lowassa CHADEMA, suluhisho si kurudisha kadi bali ni kupambana kwa kufuata taratibu na kanuni za chama na kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti,basi.So far namwamini zaidi Dr Slaa kuliko Mbowe.Hiki Chama siyo cha Mbowe,Mtei wala Dr.Slaa.Chama hiki kinaweza kumshtaki yeyote katinyao atakayeenda kinyume na katiba ya chama
Ninategemea hata wanachama wa kawaida wanaweza kuweka court order kupinga kukaribishwa kwa Lowassa.Ni kiasi cha kuulizia wanasheria.
Kama walianzisha chama ili kiwe cha familia wasingekuwa na haja ya kutafuta wanachama.
Na mwisho waanzilishi wa CDM siyo Mtei peke yake hivyo hana mandate ya kusema chama ni chake.
Walioanzisha wapo usipoteze watu.Na si Mtei wala Mbowe mwenye uwezo wa.kulazimisha kupokelewa kwa Lowassa.Kionhozi wangu ulimi labda uliteleza akajiuma....
Nikisema unanitukana,CDM imeshawakaribisha wawekezaji wapya teh teh na wale kwa sasa ndo wana maamuzi ya wapi chama kinaenda hata jina la mgombea wenu limekwama kisa jamaa wenye chama wametia maguu! Njaa mbaya sana! Wawekezaji kwanza Wanachama keshokutwa!chezea hela weye!
kamuulize slaa kilichomkuta ndo utajua nani mwenye chama
Ainusuru wapi wakati wawekezaji wako ndani ya Saccos mtaa wa Ufipa na tayari wameshagawana hisa!
I love U ghafla!!
Hapo umesema,kama kweli watamkaribisha Lowassa CHADEMA, suluhisho si kurudisha kadi bali ni kupambana kwa kufuata taratibu na kanuni za chama na kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti,basi.So far namwamini zaidi Dr Slaa kuliko Mbowe.
Unarudisha kadi wewe mmoja madiwani sabini wanachukua kadi...huma utakacho tupunguzia....huenda na wewe ukawa kama zitto tu tena itakuwa bora kwetu