Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Lumumba wameshikwa pabaya sana
Baba yako Low Assa siku hizi kakuweka kwapani teh teh
Lumumba wameshikwa pabaya sana
Nimenasa mpango mzito wa siri wa kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi mwaka huu kiulainii bila kutumia nguvu kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge na Urais. Mpango wenyewe umeanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2011 kwa mamluki wengi kupandikizwa chadema kuanzia ngazi ya mtaa mpaka taifa; Nawahakikishia kuwa CCM itashinda kata nyingi na majimbo mengi bila kupingwa baada ya mamluki kujitoa pindi watakapokuwa wamepitishwa na NEC; Katika nafac ya urais ndugu Magufuli anatarajia kushinda kiulaini baada ya mgombea wa chadema ambae anatarajiwa kuwa Lowasa kujitoa katika mbio hizo baada ya kuwa nae ameshapitishwa na Tume ya uchaguzi. Lowasa ni sehemu ya mpango huo wa kuhakikisha ccm inashinda kiulaini huwezi mtenganisha lowasa na ccm na Kikwete
Huyu katoka kupigwa pumbv sasa hv
Mabandiko kama haya hayapaswi kuwepo mahala kama hapa
Wewe hata matamshi yako yanaonyesha sio kamanda ni Gamba la mamba.
Itakuwa ni unafki dhahiri..huyuhuyu fisadi namba 1 bora nipgie kura pombe maguful
Hata wewe ni njaa inakusumbua, asie na njaa ameshakufa na wewe umekufa lini?!!Daaa BAVICHA wamesalimu amri kwa fisadi papa imekuja thread ya kujitoa Lowassa wameehuka wanatukana matusi mpaka break zimekatika teh teh teh njaa mbaya!