Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

watangaze mara ngapi wewe, nasikia hata lile kundi lote limeamia kimia kimia cdm,unafiki mbaya jamani,

Unafiki upi tena .............. kwali walipojiunga huko CCM kuna mtu walimtangazia!!!?
 
siasa bwana ni mchezo wa ajabu sana, popularity ya chadema na dr slaa ndani ni pamoja na list of shame pale Mwembeyanga, moja ya watu aliowakomalia alikuwa mheshimiwa EDWARD lowasa, haikuishia hapo, walifika hatua wakashinikiza uongozi wa ccm kuwavua gamba, kelele zimepigwa weeee. leo hii jamaa ni lulu kisa anataka kucross to other side of the coin, we need to be serious, we need to use our brain, let us re-think about this move if it will potential to the nation, to individual or to chama. i m feel sad for having suck kind of people on board, we look dumb with no good reason.
 
Wapinzani/wanamabadiliko wawe wakweli kwa nafsi zao,tokeni nje ya box.CCM ni mfumo,hiyo ndo tatizo letu.Tunataka kubadili mfumo huu wa ukoloni mweusi.Shida siyo watu. Dr J.Pombe,Mh Lowasa,Mh Samia Suluhu si tatizo,shida ni CCM.Nje ya CCM hao ni watu safi.
Kama Lowasa anaweza kuleta ushindi akigombea kupitia upinzani kwa kuwa anao wapenzi/wapiga kura wengi,CDM Hanna budi kumkaribisha ili tuweze kubadili CCM.Lowasa haji kwa taratibu na kanuni toka nyumbani kwake,ATANADI SERA za Chama husika.Acheni uhafidhina wa kivyama,tusikaririshwe matukio.Siasa na mfumo unaoishi,hubadilika kutegemeana na mahali & wakati. Tujadili katika ukweli,tuache kutegemea miujiza.

Pumba tupu!
 
Tunamhitaji sana, kura za wafuasi wake, kura za chadema, Cuf, Nccr, zitatuvusha...kwa sasa lengo kubwa ni kuitoa CCM madarakani....hayo mengine baadae....

ha ha ha ha ha ha haaaa!!Afrikaaaa ndo maana Waarabu walituuza kwa Wazungu.
 
ukiwa vitani utatumia nyia yeyote ushinde.Chadema sambaratisha magamba na majambazi
 
Siku ile waliposema wakinaRIZ1 nchi hii hatatawala wa kaskazini sikujua maana yake,hebu ona kwa NYERERE ona kwa MWINYI ona kwa MKAPA,hawakupendelea kwao kabisa yalikuwa makabila madogo.tuepuke makabila makubwa.tujenge Nchi yetu.
mAWAZO mGANDO. kWANI MAENDELEO YALIYOKO KWENYE MAKABILA MAKUBWA YAMELETWA NA MARAIS KUTOKA SEHEMU HIZO. Kama nyie ni wavivu ni wavivu tu hata mkipendelewa hamuwezi kuonekana na mabadiliko ya kiuchumi. Kama unafikiri maendeleo yanakuja kwa upendeleo umechelewa ndugu.
 
Tetty

Hiyo list of shame ilisomwa lini na leo ni lini, karibu miaka kumi mtu habadiliki?

Kama unamuona Lowassa ni fisadi kwa kuangalia list ile basi Kikwete atakuwa mwalimu wake kwa vile Kikwete ni wa kwanza kwenye list.

Kila siku mnaambiwa aliye na ushahidi wa ufisadi wake atuletee au aende mahakamani.


Hili nalo kuweni makini,linakuja! Team EL kwann mnakuaga na style moja ya ku-punch hoja,kwa kejeli,matusi,au unamwambia mtu "kura yako haitusaidii"!
Iyo lugha inakera sana.
Mm ni cdm ever since,iyo lugha yenu bakizeni uko uko ccm,Hatuitaki!
 
Last edited by a moderator:
hakuna mtu yeyote anayeona kuna sababu ya kutafuta haki sehemu anayoona inaafaa alafu aache. Hata mwenye dhambi ipi akitubu na kunia kutenda mema atasamehewa tu . Tulizeni akili zenu na mioyo yenu mutaona kuna mila sababu ya kumkaribisha ndugu yetu lowasa. Hakuna asiyesamehewa mbele ya mungu .

ni sawa tu na kumkaribisha jambazi ukijua atakumegea alichopora
 
Nakumbuka mtu wa kwanza kuwambia watanzania waziwazi mchana kweupe alikuwa Slaa akimtaja Lowassa kuwa kwenye list of shame,kama fisadi wa kutisha ktk nchi hii.

Lakini leo hii Slaa na Mbowe ndio hao hao wamekaa meza moja na Lowassa wakimpokea kwa shangwe kubwa,
kitendo hiki ni sawa na kuyarudia matapishi yao ya Mwembe Yanga,na kutuonyesha watanzania kuwa Slaa ni mnafiki maana alimtumia uchafu wa Lowassa kujiimalisha kisiasa na kumchafua Lowassa mbele ya umma kumbe mnafiki,

Mimi binafsi najiuliza maswali haya

1, Slaa kwanini alimchafua Lowassa na leo hii anayarudia matapishi yake?
2, Je, leo hii utatwambia nini sisi watanzania na unafiki wako wa wazi kiasi hiki?
3, Unafiki ni dhambi na hii dambi Slaa utaifutaje machoni mwa watanzania?
4, Kumbe mkisemacho mdomoni sio kilichopo moyoni mwenu?
5, Je, tukiwaita wasakatonge tutakuwa tunawakosea?
6, Je, tukiwaita wanafiki tutakuwa tunawakosea?

Na habari za ndani kwa sasa hata kama hamtampitisha kugombea urais kitakuwa ni kiini macho mkiongopa kuulizwa juu ya unafiki wenu lakini ana ahadi ya nafasi ya uwaziri mkuu mkipata na ndio maana atatoa pesa nyingi kuwasaidia hili kushinda kutoka kwa marafiki zake na yeye.

Huu mpango mnaupanga kwa kushirikiana na mengi katika dhana yenu hile sitaitaja mnaijua wenyewe,lakini nachosema unafiki ni dhambi na dhambi hii inawarudia mwaka huu maana nyie ndo mlikuwa wakwaza kumvua nguo lowasa mchana kweupe na kumuita fisadi papa /nyangumi lakini leo hii ndo mpanga diri zenu.

Nasema unafiki wenu tumeishaujua,na matunda yake mtayavuna mwaka huu,msinge mchafua Lowassa na leo hii kuyarudia matapishi hayo ndio plan b yenu, ukweli wenu kwa mkisemacho uko wapi?



 
Hivi Lowassa ashatangwazwa kwamba ni mgombea wa CHADEMA? Nauliza tu.
 
Back
Top Bottom