mwenyekiti wa chadema taifa mh. Freemam mbowe amemkaribisha lowassa kujiunga na chadema hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania daima, mwananchi
watakura sana matapishi yao mwaka huu,dhambi ya unafiki inawarudia,