safari yamatumaini ipo ukawa pekee karibu mpambanaji
Anaharibu kwa namna gani? Chadema ni chama cha wananchi hatubagui.
Hapo utakuwa umefanya maamuzi sahihi...
Duuh......hii taarifa ina ukweli?
Tetty
Hiyo list of shame ilisomwa lini na leo ni lini, karibu miaka kumi mtu habadiliki?
Kama unamuona Lowassa ni fisadi kwa kuangalia list ile basi Kikwete atakuwa mwalimu wake kwa vile Like tellingthe ni wa kwanza kwenye list.
Kila siku mnaambiwa aliye na ushahidi wa ufisadi wake atuletee au aende mahakamani.
Afi mboe. Sis watz tatizo letu si mtu bali ni mfumo
Hahahahahahaaaaaaaa gazeti la mwananchi la lini mtoa posti.
Afi mboe. Sis watz tatizo letu si mtu bali ni mfumo
ulitegemea redio uhuru wasome hilo?Mkuu sikusikia/kusoma habari magazetini. Amemtaja kabisa 'Edward Lowassa' au kwa kusema ni chama cha watanzania wote, ndiyo mtu una feel kuwa invited?
Hatumbagui kwa rangi wala kabila ila hatumtaki kwa sababu ni mla rushwa na fisadi.
Labda aje kuwa mwanachama wa kawaida vinginevyo narudisha kadi.atasafishwaje huyu fisadi?hapo Zitto atawapigia bao.
hatuhitaji rais anayenunua madaraka.labda kama anaingina kama mwanachama wa kawaida.vinginevyo cdm imetuangusha watanzania wengi.
Kwangu taifa kwanza chama baadaye.
Nitawashangaa cdm hivi lowassa akiwa nje ya ccm ufisasi na wizi wake unakoma?basi itabidi uongozi ujitazame upya na yale wanayoyapigia kelele.dr.slaa atasimama wapi akiulizwa leo ile list of shame lowassa wamemtoaje?au anasavishika akiingia cdm?
Kama ni kweli mbowe kajitafakari upya kwa kauli yako.kama mafisadi wataingiza miguu kukinajisi chama mmewaumiza sana watnzania wanaowasupport kwa mlichokifanya bungeni.
Tundu lissu hiki ndicho mlichopigania bungeni?