Unaweza kunijibu hili?Kwanini alikuwa analipa watu pssa kwa ajili ya kumchagua?Rafiki huyo tuliyenaye alipita njia hizo hizo alizokua anapita rafikiye!Ila tatizo ni kuwa rafikiye amempenda mwingine achukue mikoba yake!
Lakini njia alizopita ndizo alizopita ndizo hizo hizo za.kulipa na kutoa rushwa ili apate uongozi.Tofauti hawana.ila mimi na wewe tujiulize atarejeshaje pesa alizokopa kwa ajili ya kusaka urais?
Uzuri ananua njia aliyotumia kutaka kuteuliwa ziyo sahihi.Asi getoa pesa nina uhakika asingekuwa na sababu ya kuukosa
Leo tunalia mikopo imezidi imefika mahali hayujui kama italipika.Cha maana bakuna bali safari za kila siku,mikopo hii haijalipa mikopo iliyochukuliwa wakati wa kusaka uongozi?
Sina ubaya a Lowassa wala kwa yeye kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa,lakini sitakuwa na amani kwa chama chochote cha siasa kikimsimamisha kugombea urais.
Sina uhakika hata ubunge kama itawapa chama hicho.Kwangu TAIFA langu ni bora kuliko chama.Chama chweza kufa lakini si TAIFA langu.
Huu ndiyo msimamo wangu.