Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ccm tofauti na lowasa kuisambalatisha ccm aiwezi toka madarakani watanzania kuujenga upinzani siyo kazi ndogo muda ndiyo huu Chadema na baadhi ya vyama kuvuna watu kutoka ccm tena na hao wana ccm waingie vyama tofauti vya upinzani
 
Kama maneno haya ni ya kweli basi Chadema nao wanaenda kusambaratika kama ilivyo CCM, Mbowe kwa kumkaribisha maalun huyu Chadema inagawanyika sasa hivi. Mlisema ananuka rushwa leo mmempaka pafyumu gani hadi anukie vizuri? Eti eti mnamwambia ni chama cha watanzania wote basi wakaribisheni akina Chenge, Prof Muhongo, Karamagi, Ngeleja, Rostam na wengine kwa kuwa Chadema ni chama cha Watanzania wote Mbowe please usituharibie chama.

mkuu Mimi kuamin hili mpaka nisome hayo magazeti....ngumu kumeza kijitaarifa hiki
 
Kama maneno haya ni ya kweli basi Chadema nao wanaenda kusambaratika kama ilivyo CCM, Mbowe kwa kumkaribisha maalun huyu Chadema inagawanyika sasa hivi. Mlisema ananuka rushwa leo mmempaka pafyumu gani hadi anukie vizuri? Eti eti mnamwambia ni chama cha watanzania wote basi wakaribisheni akina Chenge, Prof Muhongo, Karamagi, Ngeleja, Rostam na wengine kwa kuwa Chadema ni chama cha Watanzania wote Mbowe please usituharibie chama.

Mbowe anataka kukizika rasimi chadema.
 
mwaka huu tutachagua mgombea tofauti na wa ccm. lengo ni kutibua mfumo....n

Hatuhitaji Rais anayenunua madaraka.Labda kama anaingina kama mwanachama wa kawaida.Vinginevyo CDM imetuangusha watanzania wengi.

Kwangu TAIFA KWANZA CHAMA BAADAYE.

Nitawashangaa CDM hivi Lowassa akiwa nje ya CCM ufisasi na wizi wake unakoma?Basi itabidi uongozi ujitazame upya na yale wanayoyapigia kelele.Dr.Slaa atasimama wapi akiulizwa leo ile list of shame Lowassa wamemtoaje?Au anasavishika akiingia CDM?

Kama ni kweli Mbowe kajitafakari upya kwa kauli yako.Kama mafisadi wataingiza miguu kukinajisi chama mmewaumiza sana watnzania wanaowasupport kwa mlichokifanya Bungeni.

Tundu Lissu hiki ndicho mlichopigania Bungeni?
 
Kama maneno haya ni ya kweli basi Chadema nao wanaenda kusambaratika kama ilivyo CCM, Mbowe kwa kumkaribisha maalun huyu Chadema inagawanyika sasa hivi. Mlisema ananuka rushwa leo mmempaka pafyumu gani hadi anukie vizuri? Eti eti mnamwambia ni chama cha watanzania wote basi wakaribisheni akina Chenge, Prof Muhongo, Karamagi, Ngeleja, Rostam na wengine kwa kuwa Chadema ni chama cha Watanzania wote Mbowe please usituharibie chama.

Mkuu tatizo ulilonalo ni kutokuelewa..unaijua operation delete ccm?..utai delete vp kama mawazo yenu ndo finyu namna hiyo..hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa..huyo mtu anaijua nje dani ccm..kama kweli tunataka tuwatoe ndo muda huu..ana mtaji wa wapiga kura zaidi ya milion 10..tukiunganisha na wetu!..tuliza kichwa uwaze vzr..lbd uwe sio mpinzani halisi! Asubuhi njema!
 
Chadema hapo wanataka kutumia umaarufu wa el kushinda uchaguzi lkn el akienda cdm hatakubali kuwa mwanachama wa kawaida
 
Chadema na sinema yenu ya kuigiza kama cartoon wale madiwani wa monduri kulikoni wamechukua form CCM za kugombea viti vyao?
 
Kwani wewe nani katika chadema kwani hujui kuwa chadema ni chamacha nyumbani hivyo lazima kiongozwe na watu wa nyumbani.

Acha UGAMBA..ingekuwa hivyo wale madiwani 20 na wenyeviti wakutosha wasinge jiunga Chadema..ccm ndio chama kinachoongozwa na fikra za kifamili,mfano mzuri muulize rizi-five na mama yake walivyojitahidi kumpenyeza membe ili waendelee kula keki but misheni ikabuma..go to hell ccm.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Aikael Mbowe amemkaribisha rasmi Edward Lowassa kwenye chama hicho.

Amesema CHADEMA ni chama cha watanzania wote, ameongeza kusema kuwa mgombea yeyote atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa rais.

Chanzo: Habari Magazetini.

Tuna mpokea to hamna mbya tupo muzur xna CHADEMA
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Aikael Mbowe amemkaribisha rasmi Edward Lowassa kwenye chama hicho.

Amesema CHADEMA ni chama cha watanzania wote, ameongeza kusema kuwa mgombea yeyote atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa rais.

Chanzo: Habari Magazetini.

Lowasa wamemtoa kwenye list of shame?
 
... lowasa akija cdm nahamia ccm, nitaamini hakuna fisadi tanzania

Hata mimi lazima tupishane na Lowasa anaingia mimi natoka siwezi kukaa chama kimoja na fisadi.

Nitawashawishi wanachadema wengine kuondoka kwani tayari chama kitakuwa kimevamiwa.
 
Back
Top Bottom