gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,616
Kama maneno haya ni ya kweli basi Chadema nao wanaenda kusambaratika kama ilivyo CCM, Mbowe kwa kumkaribisha maalun huyu Chadema inagawanyika sasa hivi. Mlisema ananuka rushwa leo mmempaka pafyumu gani hadi anukie vizuri? Eti eti mnamwambia ni chama cha watanzania wote basi wakaribisheni akina Chenge, Prof Muhongo, Karamagi, Ngeleja, Rostam na wengine kwa kuwa Chadema ni chama cha Watanzania wote Mbowe please usituharibie chama.
Kwani lowassa kuchukua kadi ya chadema na kua mwanachama wa chadema tatizo nn?mbona mnacomplicte ujinga tu?