Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Tetty

Hiyo list of shame ilisomwa lini na leo ni lini, karibu miaka kumi mtu habadiliki?

Kama unamuona Lowassa ni fisadi kwa kuangalia list ile basi Kikwete atakuwa mwalimu wake kwa vile Kikwete ni wa kwanza kwenye list.

Kila siku mnaambiwa aliye na ushahidi wa ufisadi wake atuletee au aende mahakamani.
 
Last edited by a moderator:
Wanaotishia kuhama wote ni magamba na ni wapinzani wa lowassa.
Enzi ya siasa za kijinga Tanzania zimekwisha.
Kama lowassa ni fisadi mpelekeni mahakamani...mbona kubweka tu lowassa ni fisadi kama kambwa kenye mafua!
The monster has to go hell...that's matter.
Nyie bwekeni tu.

Akibadilisha Uamuzi na kubaki CCM anakuwa Fisadi hata kama hatapelekwa Mahakamani!!! Siasa ya Tanzania imeafanya Wajinga na werevu kufanana kimtazamo.
 
Mkuu tatizo ulilonalo ni kutokuelewa..unaijua operation delete ccm?..utai delete vp kama mawazo yenu ndo finyu namna hiyo..hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa..huyo mtu anaijua nje dani ccm..kama kweli tunataka tuwatoe ndo muda huu..ana mtaji wa wapiga kura zaidi ya milion 10..tukiunganisha na wetu!..tuliza kichwa uwaze vzr..lbd uwe sio mpinzani halisi! Asubuhi njema!

Hakuna adui wa kudumu kwenye siasa. Ila kwa kauli na matendo dhidi ya huyo adui feki vimepoteza maisha ya wananchi wengi tu na wengine wameachwa na vilema. Je na hao wamepata vifo na majeraha feki??

Hii kauki ya adui ama rafiki wa kudunu kwenye siasa inatumika kwa nchi zilizo endelea na wenye mifumo thabiti ya kisiasa. Sio sisi tunaobabaisha kwenye siasa.. na kuangalia fursa ama matukio ili tuweze kuendelea.
 
Mkuu tatizo ulilonalo ni kutokuelewa..unaijua operation delete ccm?..utai delete vp kama mawazo yenu ndo finyu namna hiyo..hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa..huyo mtu anaijua nje dani ccm..kama kweli tunataka tuwatoe ndo muda huu..ana mtaji wa wapiga kura zaidi ya milion 10..tukiunganisha na wetu!..tuliza kichwa uwaze vzr..lbd uwe sio mpinzani halisi! Asubuhi njema!

Siamini kama wewe ni mzima, kwa hiyo kwako wewe mhalifu akiwa upande wa pili unamzomea akijiunga nawe unampaka mafuta, nyinyi ndio wanafiki wakubwa na mabendera fuata upepo. Hivi nini hasa maana ya neno "Uadilifu" katika uongozi, ulishawahi kukaa na kulitafakari kwa makini neno hili?
 
Hiyo list of shame ilisomwa lini na leo ni lini, karibu miaka kumi mtu habadiliki?

Kama unamuona Lowassa ni fisadi kwa kuangalia list ile basi Kikwete atakuwa mwalimu wake kwa vile Kikwete ni wa kwanza kwenye list.

Kila siku mnaambiwa aliye na ushahidi wa ufisadi wake atuletee au aende mahakamani.

Hii kanuni utaitumia kwa Lowassa au kwa wote wanaotuhumiwa kwa Ufisadi?
 
Unawasiwasi gani kamtaja Lowassa soma Tanzania Daima au Raia Tanzania au sikiliza kipindi cha Kupaka rangi Magic FM kinaendelea.

Ila el kiboko mpk Leo anaongelewa tu,na ndo maana ht magazeti yanaandika hivyo ili yauze manaake wanajua MNA hamu sn ya kujua!

El hawez kuhama ccm
 
Huu uongo haukubaliki. Nimefuatilia magazeti Star TV na ITV, hamna Habari ya Mbowe kumkaribisha Lowassa. Basi si ungetaja gazeti husika? Huu ni umbea wa asubuhi na mapema
 
Hiyo list of shame ilisomwa lini na leo ni lini, karibu miaka kumi mtu habadiliki?
Kama unamuona Lowassa ni fisadi kwa kuangalia list ile basi Kikwete atakuwa mwalimu wake kwa vile Kikwete ni wa kwanza kwenye list.
Kila siku mnaambiwa aliye na ushahidi wa ufisadi wake atuletee au aende mahakamani.

Ha ha haaa unayumba mkuu, kwani hiyo list of shame imekuwa updated, lini wapi na nani, kwenye mkutano upi??!!
Unatajiwa X unaleta Y value. . . . . .so kama Kikwete unadai ndio mwalimu inakuwa sawa CDM kuchukua wanafunzi?!!

Ama kweli hamna msimamo. . . . . . .
 
Jambo moja tu linatakiwa kufanyika sasa hivi,kufuta CCM kwa gharama yoyote ile,hata kikwete angekuja ukawa na akaomba kugombea kupitia ukawa apewe ili ccm kwanza iondoke mambo mengine yatafata yenyewe,bila jina CCM kuondoka hakuna jipya nchi hii,karibu sana Lowassa.
 
Kama ikibidi kumtumia Lowasa ili kuondoa mfumo uliopo na atumike tu! Ni heri kumtumikia fisadi mmoja kwa miaka 5 kuliko kuwatumikia mafidi wengi life tym.
 
Hata mimi lazima tupishane na Lowasa anaingia mimi natoka siwezi kukaa chama kimoja na fisadi.

Nitawashawishi wanachadema wengine kuondoka kwani tayari chama kitakuwa kimevamiwa.
Leo ajabu wana CCM ndio wanaoongoza kusema wanahama Chadema.

Hata hivyo demokrasia ndivyo ilivyo ukihama wewe Lowassa anaweza kuja na wengine 850,000 waliomdhamini.
 
Mnahangaika Sana,na bora el kakaa kimya!
Ukawa nao wamedhibiti habari zao zisitoke!

Sasa mmebaki na labda!!!!

Ili magezeti yauze kipindi hiki Iazima el na cdm waandikwe
 
Swali ni kwamba aliwakaribisha kila mtu ?
Au alitaaja kabisa "Lowasa "karibu CDM???
 
Ndugu Mh El, Watu wengi sana wa cdm wanafikiria sana kuhusu kashfa ya Richmond iliyosababisha wewe kuachia nafasi ya Uwaziri mkuu.

Kumekuwa na tetesi nyingi kuwa kashfa ile haikuwa yako bali ulijiuzulu ili kumlinda mh Jk na Serikali kwa ujumla.

Baada ya kuchukua hatua ya kujiuzulu Watanzania walio wengi wameendelea kuamini kuwa wewe ndie muhusika mkuu wa sakata lile.

Siku zote umekuwa kimya sana kuhusiana na ile kashfa na hujasema lolote hali ambayo inaendelea kuumiza vichwa vya mashabiki wako.

Sasa mh El nakushauri kabla hujajiunga na Cdm tuambie kuwa Richmond ni ya nani. Kama ni ya mkuu wa kaya mvalishe zigo lake ahangaike nalo.

Endapo utafuata ushauri wangu. Utakuwa umejipandisha chati na hakutakuwa tena na maswali na itakuwa mbele kwa mbele hadi ikulu.

Peoplessss
Powerrrrrrrr.

Nawasilisha.
 
Lieu agenda Kahama kumnadi na kumkaribisha Lembeli
 
Swali ni kwamba aliwakaribisha kila mtu ?
Au alitaaja kabisa "Lowasa "karibu CDM???

Alama za nyakati, kauli na matendo husika. . . . .Kiongozi unapoongea kauli fulani ambayo inaweza kuwa na tafsiri zaid ya moja ni haki walioisikia kuitafutia maana zaid ya moja pia. . . . .!!!
 
Tuweke ushabiki na unazi pembeni. Kama Lowassa atapokelewa CHADEMA, story ya ''CCM ni chama cha mafisadi'' itazikwa rasmi na kimsingi CCM itarudisha hilo dongo kwa CHADEMA wakati wa uchaguzi na kushinda kiulaini.
Umenena bro!!! manake hawa jamaa wamegeuka ukahawa badala ya ukawa!!
 
Back
Top Bottom