makaomakuu
Member
- Nov 17, 2010
- 46
- 4
umenipeleka ndani halaf wewe uko huku unashangilia masredi sio? kwaheri bana , acha niwahi kwa dasophy.haiyaaaaaa
umenipeleka ndani halaf wewe uko huku unashangilia masredi sio? kwaheri bana , acha niwahi kwa dasophy.
nasema hiviiiii....ukijaribu kutoa mguu nje...napiga nyumba kibiriti sasa hivi....kama ni mbaya acha iwe mbaya
Eeeh!
Haya!
Eeeh!
Haya!
Kwa hiyo huyu demu kila STAR yeye ana mvagaa tuu
Aisiiiiii...
Langu jichoo