Mboni samuel etoo masimba!!!!!!

makaomakuu

Member
Nov 17, 2010
46
4
ice6.jpg

Huyu ndie yeye.
 

Attachments

  • ice2 1.jpg
    ice2 1.jpg
    48.2 KB · Views: 5,383
umenipeleka ndani halaf wewe uko huku unashangilia masredi sio? kwaheri bana , acha niwahi kwa dasophy.

nasema hiviiiii....ukijaribu kutoa mguu nje...napiga nyumba kibiriti sasa hivi....kama ni mbaya acha iwe mbaya
 
Hivi waungwana huyu demu amewakosea nini maana kuna thread ilikuwapo zamani aisee ilifika sijui ngapi lakini nilishindwa kuisoma yote. Msameheni wazee.
 
Kwa hiyo huyu demu kila STAR yeye ana mvagaa tuu

Ndio style ya masista du wa mujini zikikutembelea tu (yaani ukiwa celebrity) utakuwa mshkaji wa kila mmoja wao. Ukishafulia hakujui mtu afadhali sie tunaobakia hatujulikani mujini.
 
Halafu mimi sielewi Samuel etoo' kaingiaje hapo huyu si Ali Kiba huyu au?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom