Je, kweli Samuel Etoo aliwapigia Simba SC na kuwaambia wamsajili Willy Esomba Onana?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,741
Nilimuona kijana mmoja(Ahmedy Ally) kwenye interview akisema kuwa "Samuel Etoo alitupigia simu na kutusihi kuwa tusimuache Esomba Onana"

Je Kuna ukweli wowote au Ahmedy Ally alitaka kuthibisha Yale maneno aliyoyasema Mwenyekiti msitaafu wa Simba sc Rage (Sitoyataja kwa maana yanajulikana).

Endapo Onana kiwango kitaendelea kuwa chini hapo watalaumiwa kamati ya usajili au Samuel Etoo??

Nawasilisha hoja.
1698328435904.jpg
 
Nawasilisha hoja.View attachment 2793756
Mbumbumbu Fc ......wasimsingizie Samuel Eto , ni ujinga wao tu.

Unesahau ya Mangungu na Manzoki..... Mbumbumbu wakawa wanashangilia na kuibiwa uchaguzi....

Mudi anatembelea maneno ya Ndugu Rage, anayapiga na kuyabebesha bidhaa zake easily.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ukizingatia kuchezea timu ya taifa Cameroon rushwa muhimu.MO amepigwa .kijana wa Yanga Ahmed yupo kwa maokoto
 
Mchezaji kufaulu na kufeli ni kawaida, kwa kiwango cha onana simba day na game na mtibwa onana anajua mpira ila anahitaji muda wa kupata nafasi, ajiamini, aaminiwe na mashabiki ili ikitokea anakosea kama FUNDI chama watu waamini ni kipindi cha mpito tu.

Kama akiwa flop ye si wa kwanza kina torres, di maria, shevchenko na wengine wengi wameshawahi kuwa flop huko.

Swali la msingi ni je samuel etoo alipiga simu, 😂 mie naamini 99.9999% si kweli ni mbwembwe tu za ahmed ally.
 
Back
Top Bottom