Mboni samuel etoo masimba!!!!!!

Mboni samuel etoo masimba!!!!!!

Daah! dada huyu sasa hivyi atakuwa na kipindi EATV........ keshazichanga za kutosha............
 
Sijui kwa sababu gani nimeangalia hii picha sasa duh hali ishabadilika naanza kuwaza pesa sasa
 
mnampaisha bure tu mtoto wa kawaida kabisa..
 
nasema hiviiiii....ukijaribu kutoa mguu nje...napiga nyumba kibiriti sasa hivi....kama ni mbaya acha iwe mbaya

Preta naona umekubuhu kwa mikwara kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeh!!!!!!
 
Halafu mimi sielewi Samuel etoo' kaingiaje hapo huyu si Ali Kiba huyu au?

Mkuu watu wanafunguka nusu nusu kama wote tunajua historia ya huyo binti Mboni.

View attachment 54814

Halafu lingine sijajua kama ni mtego kwa Ally Kiba au Kiba kaamua kuutangazia umma kuwa ndiye mmiliki halali wa mgodi huo?
 
attachment.php
Kama hapo kuna Eto basi huyo wa pembeni mwenye bia ni Zitto.
 
Back
Top Bottom