Cameroon hawana timu ya kuchukua AFCON ijayo

Heavy Metal

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
751
1,717
Naangalia mechi hapa ya Cameroon vs Burundi ni ajabu kuona Cameroon akicheza kama underdog. Burundi wako kwenye kiwango bora sana, wanadefend vizuri na wanashambulia kwa kushtukiza kupitia kwa mshambuliaji wao hatari Caleb.

Kama Cameroon ataenda hivi AFCON ijayo sidhani kama watavuka hatua ya makundi na sio ajabu hadi leo hajaqualify akitegemea draw au ushindi ili apite.

Samuel Etoo anaendesha mpira wa Cameroon kishkaji sana. Anamwonea aibu Regobert Song. Song anatakiwa kutimuliwa mara moja.

Timu inacheza ovyo sana, iko uwanja wa nyumbani lakini wachezaji wanacheza kwa wasiwasi hawajatulia, hawajiamini. Kama sio ubora wa Onana muda huu Burundi angekua mbele kwa goli zisizopungua 3
 
Hakuna kocha pale, timu ina wachezaji wazuri ila kiwango duni kabisa. Burundi wamefungwa kizembe kabisa. Kama Cameroon ndio uchezaji wao huo kuvuka makundi tu hawatoweza
 
Wakati Cameroon wanabeba Afcon mwaka ule mnajua kama walikuwa na kiwango kama hiki? Yaani waliqualify kimazabe mazabe hivi hivi hadi kuweka kombe kwenye begi?
 
Frank zambo anguissa, anachafua dimba sana pale Napoli.

Ukiongeza na Karl toko ekambi wa lyon ni hatari nyingine.

Mbele unamkuta veterani Eric choup moting..huyu ndie aliyemkimbiza sadio mane Bayern Munich.

Tatizo LA Cameroon ni etoo kuingilia tactical issues kwny timu ya taifa.

Makameruni ni mazuri mno.
 
Hivi Eto'o naye mbona anafeli hivyo? Mi niliamini kwa CV kubwa aliyonayo Eto'o angeweza kuinua sana soka la Cameroon, ila imekuwa ndivyo sivyo.
 
Yule jamaa wanamuita toko ekambi ukimuangalia kama mwanaapolo vile wa kule Arusha, unaweza dhania hana afya nzuri...still wana wachezaji wazuri tu.
 
Wachezaji wanao sana tu ila tatizo kocha, sielewi Rigobert Song alikuaje kocha wa timu ya taifa ya Cameroon
 
Frank zambo anguissa, anachafua dimba sana pale Napoli.

Ukiongeza na Karl toko ekambi wa lyon ni hatari nyingine.

Mbele unamkuta veterani Eric choup moting..huyu ndie aliyemkimbiza sadio mane Bayern Munich.

Tatizo LA Cameroon ni etoo kuingilia tactical issues kwny timu ya taifa.

Makameruni ni mazuri mno.
Nakuelewa lakini ushawachungulia Nigeria the Super Eagles?! Hawa jamaa labda kocha tu ashindwe kupanga kikosi
 
Back
Top Bottom