Mboni samuel etoo masimba!!!!!!

Mboni samuel etoo masimba!!!!!!

Mwenzenu ni makengeza au!!naona kama vile photoshop.
 
Hawa madogo wa bongo fleva nao wana moyo kweli. Wanakula hata visivyoliwa,lol!
 
Mwenzenu ni makengeza au? mbona naona kama vile photoshop.
 
Jamani, mwacheni binti huyu ni mjasriamali msimbatize kwamba yeye ni jamvi la wageni. Mwanamke akiwezeshwa anaweza!!!
Aaaf Mama Mdogo comment zake nazo mmmh. Ndo maana huwa nikiona tu kaandika kitu huwa sipiti wima yaani hadi nisome
 
Back
Top Bottom