Endapo Raheem Sterling angekuwa mzungu angetunukiwa Ballon d'Or

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,722
29,086
Mzuka wanajamvi!

Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.

Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?

FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.

Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
DTW_7928.jpg
 
View attachment 2680713
Kuhusu Etoo hakuna shida,

Lakini Sterling atwae tuzo kwa kipaji kipi alichowahi kuonesha!?
Tafuta mwaka ambao aliweka record kubwa na nzuri then tucompare na wengine kama aliwazidi.

Ukishindwa kufanya hivyo madai yako yanakuwa hayana mashiko
 
kwa huyu hata sisi weusi wenzie tunakukatalia,hana cha kumfanya apewe tuzo za dunia huyu....
 
Mzuka wanajamvi!

Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.

Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?

FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.

Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
Tuzo ya BALLON D OR hata UEFA moja hana kumamake
 
Wakuu why kila kitu tuna blames white people's?,tufanye kazi kwa smart,tuelewe Africa inawapiga kura wengi ndani ya FIFA kuliko mabara mengine, why tusipige block vote kutetea U African wetu?,na mbaya zaidi mchezaji huyu ni wa kawaida tu,wapo akina Mane, Salah, na wamekosa
 
Kuhusu Etoo hakuna shida,

Lakini Sterling atwae tuzo kwa kipaji kipi alichowahi kuonesha!?
Tafuta mwaka ambao aliweka record kubwa na nzuri then tucompare na wengine kama aliwazidi.

Ukishindwa kufanya hivyo madai yako yanakuwa hayana mashiko
Kama ya etoo yana mashiko basi usahihi ni wake ni asilimia sabini, kitakwimu yupo sahihi.Kwa sukani siungi hoja.
 
Mzuka wanajamvi!

Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.

Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?

FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.

Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
Nilitegemea utuambie mambo makubwa ya kipekee aliyoyafanya mpaka wazungu wakambania hiyo tuzo?
 
I guess kina Rivaldo, Ronaldo, Gullit, Benzema, Zizzu, Ronaldinho, Eusebio wote hakuna wazungu; Tena mmoja hapo ni Jirani yetu toka Msumbiji...

Anyway hii zawaida haina maana lazima uwe unacheza Europe sio necessarily Uwe Mtaalamu na ni wenzako (waandishi wa michezo na makocha ndio wanapiga kura) hence ukiwa at odds au damu ya kunguni usitegemee watakupia Kura
 
Mzuka wanajamvi!

Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.

Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?

FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.

Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
Mkuu huu utakua utani wa Karne. Sasa Raheem Sterling alifanya kipi cha ajabu Hadi uone kua alistahili kupewa tuzo ya Ballon d'Or ??
Walau Mo Salah alifanya kitu lakini bado washindani wake walikua ni Bora zaidi... Huyu Raheem hajawahi Tu kua mchezaji Bora wa Msimu pale EPL achilia mbali Tu wa club!!! Sembuse kupewa Ballon d'Or?? Tuwe serious
 
Mzuka wanajamvi!

Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi.

Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira?

FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo angekuwa mzungu angeipata mara tano mfulululizo.

Raheem Sterling aliyekuwa mshambuliaji wa Man City na sasa hivi Chelsea alistahili hii Tuzo pia lakini kamwe hatoipata kwasababu ya rangi yake.
View attachment 2680713
Mkuu malizia hiyo bia urudi kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom