Mbona Majanga

Mbona Majanga

[h=1]Majangaaa Mbona Majangaaa! - 23[/h]

Alipomaliza kuufungua hakusimama tena mlangoni, moja kwa moja akarudi kitandani kwake na kujitupa juu yake.
Rehema naye alipofika, wala hakujibalaguza, akausukuma mlango na kuingia chumbani humo.



Ni wakati alipokuwa akiingia ndipo, kuna mtu aliyekuwa akitokea barazani akiingia ndani, akamuona Rehema akiishia chumbani kwa Eddy.
Mtu huyo akashangaa! Akajiuliza kama Eddy alikuwa amerudi au la. Alipokosa jibu akadhani labda Rehema alikuwa ameachiwa ufunguo.
Rehema alipohakikisha kwamba ameishaingia chumbani humo wala hakutaka kungoja, moja kwa moja alimfuata Eddy pale kitandani alipokuwa amelala na kuanza kumkumbatia.
Eddy hakuwa na ujanja wa kukataa kumpokea Rehema pamoja na kwamba hakutegemea kufanyiwa kitu kama hicho, yeye alihisi kesi kuhusiana na mambo yaliyotokea jana yake usiku ingeanza kisha mambo hayo yangefuata baadaye.
Bila ya kujivunga mtoto wa kike akaanza kumshushia mabusu ya nguvu Eddy, akawa anampandisha morali wake kwa kumshika kila kona ya mwili wake.
Wakati alipokuwa akiyafanya hayo, Rehema alikuwa akisindikiza vitendo hivyo na sauti ya kilio, alikuwa akilia kwa sauti ndogo yenye kusisimua.
Kilio chake kiliongeza hamasa ya kumpagawisha Eddy aliyekuwa amelala na kumwachia msichana huyo afanye anachotaka.
Awali Eddy hakuwa akisikia kile Rehema alichotaka akisikie lakini kadiri muda ulivyoenda ndivyo msichana huyo alivyokuwa akiongeza majonjo ya kumpagawisha.
Ilifika hatua, Eddy alisalimu amri, akaanza kujibu mashambulizi ya Rehema, ilipofika hatua hiyo sasa ikawa kama fujo, wakawa kama wanamichezo wa miereka, wakawa wanazungushana juu ya uwanja ule wa sita kwa sita, mmoja akiwa juu mwingine anakuwa chini, kila mmoja alikuwa akifanya kile anachokijua katika kumpagawisha mwenzake.
Waliendelea hivyo kwa muda mrefu na hatimaye wakawa kama wanaishiwa pumzi, kila mmoja akawa anavuta pumzi za ziada, hamasa ikiwa imewapanda kwa asilimia mia moja.
Bado kilio cha Rehema kilikuwa palepale, alikuwa akilia kwa sauti ndogo kuonesha manung’uniko aliyonayo juu ya Eddy.
“Kwa nini unanifanya hivi?”
aliuliza Rehema huku akisaula viwalo vya mwenzake huyo.
Eddy hakujibu kitu, alikuwa kimya muda wote ingawaje pombe ilikuwa ikianza kumtoka kichwani mwake.
Rehema alipoona kimya wala hakukata tamaa, akaiondoa ‘t- shirt’ aliyokuwa ameivaa Eddy na kuitupa pembeni.
Akawa anatafuta sehemu ambazo zingeweza kumpagawisha zaidi mvulana huyo.
Baada ya muda akaona kama vile alikuwa akichelewa kufikia lengo lake, akaifungua njia ya kuingia ‘ikulu’ kwa kuivuta chini zipu iliyokuwa imeziba njia hiyo.
“Kwa nini unanifanyia hivi?” alirudia tena Rehema huku akimshika askari wa Eddy na kumwingiza katika njia ya kupitishia chakula.
Eddy alizidi kupagawa, kijasho chembamba kikaanza kumvuja.
“Unataka nikufanyie nini…?” bado Rehema aliendelea na maswali lukuki ambayo yalikuwa hayajibiwi na mwenza wake.
Rehema akaona kama vile hatosheki na kile alichokuwa akikifanya, akamwondoa Eddy kiwalo kingine muhimu katika maungo yake.
Akaendelea na zoezi lake hadi pale alipomuona Eddy akiwa mtupu kama alivyotoka katika tumbo la mama yake , naye akainuka na kuondoa vya kwake.
‘Mechi’ ilikuwa ikitaka kuanza, ndipo mlango ulipofunguliwa, mtu aliyefungua mlango aliingia na kuwaona wawili hao kwa msaada wa taa ya ukumbini kwa kuwa mlango aliuacha wazi.
Wote wakatahamaki na kujiuliza nini kilikuwa kikiendelea. Rehema ndiye aliyekumbuka kuwa wakati alipokuwa akiingia mle ndani hakuwa ameufunga mlango.
“Eddy,” sauti ya kike iliita na wote wawili wakaifahamu ni sauti ya nani.
Kama vile haitoshi aliyewaita akageuka na kwenda kuwasha taa na kuwashuhudia wawili hao wakiwa wamejilaza kitandani tayari kwa kuendelea na ngwe ya kupeana burudani.
“Eddy hiki ni nini?” alisema mwanamke huyo ambaye hakuwa mwingine zaidi ya Queen.
Queen alikuwa amesimama mbele yao akiwakodolea macho kama vile askari aliyekuwa amewakuta wahalifu wake.
“Kwa nini unaingilia starehe za watu?” hatimaye Rehema aliweza kupata maneno ya kuonge huku akimwangalia Queen.
“Starehe za watu? Wewe una starehe gani hapa mjini zaidi ya umalaya…?”
“Ndiyo miye ni malaya na wewe ni nini kilichokuleta humu ndani?”
Kauli hiyo ilimkera Queen aliyetoka mzimamzima na kumvaa Rehema pale kitandani, Rehema naye hakukubali akakunjua makucha yake na kumshika Queen kisawasawa.
Wawili hao wakaanza kushika huku wakipigizana kelele, hali iliyowashtua watu wengine waliokuwa katika vyumba vyao.
Watu hao wakaanza kuamka na kutafuta kelele zinapotokea, wakagundua kuwa zilikuwa zikitokea chumbani kwa Eddy.
Waliposikiliza vizuri wakagundua kuwa sauti za wanawake wawili zilikuwa zikijibishana, sauti hizo hazikuwa ngeni masikioni mwao, wakaamua kuvamia chumba hicho.

Je, nini kilifuatia chumbani humo? Usikose kufuatilia




itaendelea lini tena mkuu!
 
Eddy ameamua kuondoka nyumbani kwa wazazi wake na kwenda kupanga, kwa bahati nzuri anapata chumba katika nyumba moja yenye vyumba sita maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa.

Nyumba hiyo imekaa Kiswahiliswahili kutokana na wapangaji wanaoishi ndani ya nyumba hiyo.

Kila chumba kimoja kilikuwa na mpangaji mmoja aliyekuwa akiishi na familia yake.

Pia katika nyumba hiyo iliyokuwa na mabanda ya uani, waliishi wapangaji ambao hawakuwa na wake wala waume.

Kati yao walikuwepo wasichana wazuri wenye maumbile ya kupigiwa methali, ambao wengi wao hawakuwa na shughuli maalumu za kuwapatia kipato.

Baba na mama mwenye nyumba nao walikuwa wakiishi ndani ya nyumba hiyohiyo.

Siku ya kwanza Eddy alipokuwa akihamia hakuwa na vitu vingi zaidi ya kitanda kidogo, kabati la nguo na vikombe sita vya chai.

Pia alikuwa na sahani mbili za chakula na jiko moja la Mchina. Kijana huyo aliamua kuanza maisha hayo ya usela japokuwa wazazi wake walikuwa na uwezo mkubwa sana.


Baba na mama yake walimsihi sana kuendelea kukaa nao maeneo ya Kinondoni lakini wala hakutaka kusikiliza ushawishi huo.


Kikubwa alichokuwa akikitaka Eddy ni uhuru, kwani alijiona ameshakua mkubwa, hakutaka kufanya mambo ya uhuni ndani ya nyumba ya wazazi wake.


Mbali na hivyo wazazi wake walikuwa wakimdhibiti sana kijana wao kuingia katika maisha ya kupenda wanawake, hawakutaka ajiingize huko mapema.


Eddy alivumilia ucha Mungu wa wazazi wake kwa kipindi kirefu lakini alipomaliza shule tu hata kabla majibu ya kidato cha nne hayajatoka, akaamua kuhama.


Ushawishi huo aliupata kwa marafiki zake, Salim Raha na John Tupatupa ambao walikuwa na uhuru mkubwa wa kuingiza vyumbani mwao kila aina ya warembo.


Naye alitamani uhuru huo, akaamua kuwaaga wazazi wake na kuondoka katika nyumba ya familia.

Lakini kabla ya kuhama, mara kadhaa kijana huyo alikoswakoswa kunaswa na wazazi wake pale alipoingiza msichana chumbani kwake.

Siku ya kwanza alipoingia katika makazi mapya alikutana na Rehema, msichana wa Kizaramo aliyekuwa ameumbika vyema.


Eddy alishtuka kiasi hata Rehema mwenyewe kuhisi mgeni huyo alikuwa amepagawa kisawasawa. Siku hiyo mrembo huyo alikuwa akisugua miguu yake katika jiwe maalumu lililopo karibu na mlango wa kuingilia msalani.


Rehema alikua ametoka kuoga, akiwa amevaa kanga moja tu iliyokuwa imelowana na maji na kumfanya maungo yake ya ndani yaonekane.


Ndiyo, kanga ilikuwa imeshikana na mwili na kila Rehema alipokuwa akisugua kisigino chake, ndivyo alivyokuwa akimpagawisha Eddy kutokana na kuzalisha mtetemeko wa haja katika mlima aliokuwa ameufungashia nyuma ya mgongo wake.

Kijana huyo alibaki ameduwaa kwa kitambo kirefu akimwangalia Rehema huku akiwa ameshika sahani mikononi mwake lakini Rehema ndiyo kwanza akajifanya kama vile hakuwa amemuona.

Binti huyo akaendelea kufanya kile alichokuwa akikifanya, mara alishtuka aliposikia mlio wa vyombo vikipasuka.

Ndiyo, Eddy alikuwa ameziachia sahani alizokuwa amezishika mikononi mwake bila ya kutarajia.

Kufuatia mlio uliotokana na sahani kuvunjika, Rehema alimgeukia Eddy na kumuuliza kulikoni ndipo kijana huyo alimwambia zilimteleza kwa bahati mbaya
.

Ndiyo kwanza mchezo unaanza, unataka kujua zaidi? Weka Like chini ndio nitajuwa munaipenda hii hadithi pasipo weka like sitoweza kuendelea na Hadithi Mpya mnasemaje kuhus hadithi mpya?

duuuuh ni kweli majanga ila mkuu mbona hii kitu inachochea mambo fulani
 
Majangaaa Mbona Majangaaa! - 3-


ILIPOISHIA
“MAJANGAAA, jamani mbona Majangaaa!” alisema Eddy kimoyomoyo wakati alipotoka nje na kukutana na wasichana hao kibao wakiwa wamejipanga uwani kwa ajili ya kusubiri kwenda kuoga.


“Samahani kaka naomba sabuni…” alisema yule msichana wa kwanza aliyewawahi wenzake kwenda msalani akimwambia Eddy.
“Bila wasiwasi,” Eddy alisema na kumkabidhi binti huyo sabuni yake ya kuogea.
“Daa! Unaanza kujipendekeza kwa mgeni,” alisema msichana mwingine na kuwafanya wengine nao waongeze maneno yao kedekede ambayo hata hivyo binti yule hakuyajali.


NINI KILIENDELEA? POROMOKA NAYO…


Baada ya muda binti yule alitoka bafuni na kwenda moja kwa moja kumrudishia Eddy sabuni yake, alipofika usawa wa chumba cha kijana huyo, Irene alikuwa na kusudio moja tu, kutaka kumshawishi ili awe wake hata kabla msichana yeyote anayeishi ndani ya nyumba hiyo hajamnasa.
Alitaka kutumia ushawishi wake kumnasa mwanaume huyo ambaye alikuwa amemvutia kutokana na urefu wake na umbile lake la kimazoezi.
Aliamini kabisa kwamba yeye ndiye aliyekuwa akiendana na mwanaume huyo tofauti na msichana mwingine aliyepanga pamoja na watoto wa baba mwenye nyumba.
Tangu akiwa anamuomba sabuni, msichana huyo alikuwa ameshajua jinsi alivyoutega mtego wake wa kumnasa kijana huyo.
Alitoka msalani akiwa amevaa kanga moja iliyokuwa ameilowanisha maji na kujaribu kujitingisha kwa mwendo wake wa madaha, moja kwa moja akawapita wasichana wengine waliokuwa wakigombea nafasi ya kwenda kuoga baada ya yeye kutoka.
Alitembea kwa mwendo huo uliojaa uchokozi na kisha kuusogelea mlango wa chumba cha Eddy, bila ya kubisha hodi akaufungua kidogo na kuchungulia, wakati huo macho yake alikuwa ameyaachia kwa kuyalegeza na kuyafanya kama yatake kudondoka.
“Kaka samahani sabuni yako hii…” alisema akiwa ameuingiza uso wake ndani ya chumba cha Eddy aliyekuwa akivaa kwa ajili ya kujiandaa kutoka.
Eddy alishtuka na kumfanya binti huyo naye kujidai kumuomba radhi kwa kitendo alichokuwa amekifanya lakini wakati akifanya hivyo, tayari mwili wake wote ulishakuwa ndani ya chumba cha kijana huyo.
“Naitwa Irene…” alisema huku akionekana kukikagua chumba kile kama vile alikuwa ametumwa kwa ajili ya kufanya kazi ya ukaguzi.
Eddy alikohoa kidogo kutoa kikohozi kikavu kisha akamjibu:
“Miye naitwa Eddy au Eddyson Manyara,” wakati huo kijana huyo alikuwa akichomekea shati lake.
“Oooh oooh jina zuri sana… naona ndiyo unaanza maisha?” alisema Irene akiwa anamwangalia Eddy baada ya kukagua chumba hicho na kukiona kila kilichokuwemo ndani yake.
“Eeehe, nimeamua kuondoka kwa wazazi na kuishi peke yangu ili kujipanga zaidi,” Eddy alisema kwa aibu.
“Kwa hiyo umekuja kwa walimu tukufunze maisha?”
“Sijakuelewa…?” alihoji Eddy.
“ Siku zote Waswahili husema anayeshindwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, siye ndiyo walimwengu wenyewe… karibu sana na jisikie kama uko nyumbani kwa wazazi wako.”
“Aaah aaah…” Eddy alicheka na kuendelea kuvaa shati lake tayari kwa kutoka nje ya chumba chake na kwenda kwenye mihangaiko yake.
“Unafanya kazi?” Irene alimuuliza Eddy.
“Yaa, nafanya kazi…”
“Sawasawa karibu sana…” alisema Irene huku akifungua mlango na kutoka nje kwa madaha, akijitahidi kuutingisha mwili wake.
Wakati Irene akitoa mguu wake nje ya chumba hicho ghafla alipoinua uso wake kuangalia mbele akakutana uso kwa uso na Rehema akiwa anapita kwa ajili ya kwenda uwani.
Rehema hakuonekana kumchangamkia Irene ambaye ndiyo kwanza walikuwa wakionana tangu kulipopambazuka siku hiyo.
“Za asubuhi dada?” alisema Irene kumwamkia Rehema kwa haraka huku akichekacheka lakini salamu yake haikuitikiwa, akabaki ameduwaa.
Rehema alimpiga jicho kali Irene kwa kumshusha na kumpandisha kisha akaenda zake uwani hali iliyomfanya Irene kufadhaika, moja kwa moja akajua kuwa ameingia kwenye vita na malkia wa nyumba hiyo.
Irene alijaribu kufikiria ni nini kimetokea kati yake na Rehema lakini hakuambua kitu. Alifikiria labda jana yake alikuwa amemkosea, pia hakukumbuka kutokea kitu kama hicho.
“Hivi huyu brother men anaweza kuwa chanzo?” alijiuliza akimfikiria Eddy.


Nini kitaendelea? Usikose kufuatilia Jumapili ijayo ............

kaka angalia watu wasije kupoteza vibarua kwa sababu ya kufuatilia hii hadithi coz kwa hali hiii tete sana chond chonde mh.
 
Majangaaa Mbona Majangaaa! - 4-

Rehema alimpiga jicho kali Irene kwa kumshusha na kumpanisha kisha akaenda zake kuelekea

uwani hali iliyomfanya Irene kufadhaika, moja kwa moja akajua kuwa ameingia kwenye vita na

malkia wa nyumba hiyo.

Irene alijaribu kufikiria ni nini kimetokea kati yake na Rehema lakini hakuambua kitu. Alifikiria

labda jana yake alikuwa amemkosea, pia hakukumbuka kutokea kitu kama hicho.


“Hivi huyu brother men anaweza kuwa chanzo?” alijiuliza akimfikiria Eddy.



NINI KILIENDELEA? POROMOKA NAYO
…


Irene akiwa katika mawazo hayo akasema kama kweli chanzo ni huyo kijana, basi atahakikisha kwamba anakula naye sahani moja ili kuzidi kumvimbisha mashavu Rehema.
“Malkia malkia… wala sitajali kama ni malkia wa nini, watu tumewaona mamalkia wa maana atakuwa yeye malkia wa vichochoroni,” alisema Irene na kisha akaachia msonyo wa nguvu uliosikika hadi nyumba ya pili.
Wakati huo alikuwa ameshaingia chumbani kwake na kuanza kujikwatua kwa kuupara uso wake kwa mapambo ya kila aina ambayo yalipaswa kuingia usoni pake.
Wakati akiendelea kujipamba kila dakika ilivyokatika ndivyo alivyokuwa akikikumbuka kitendo alichofanyiwa na Rehema.
Alikasirika sana kuona anamsalimia halafu anamvimbishia mashavu bila ya kujua sababu, kila alivyokumbuka kitendo hicho aliachia msonyo na kuendelea na shughuli zake.
“Asubuhi asubuhi mtu anakuharibia siku,” alijisemea peke yake Irene wakati akijiangalia kwenye kioo kisha akaachia msonyo mwingine.
****
Kwa upande wake, Rehema roho yake ilikuwa imemchafuka, ikimchonyota kwa kumuona Irene akitoka chumbani kwa Eddy, moja kwa moja akajua kuwa wawili hao watakuwa wamelimenya tunda la mwituni asubuhiasubuhi.
“Haiwezekani lazima watakuwa wamepeana kile kitu roho inapenda, iweje atoke chumbani kwake asubuhi yote hii?” alijihoji na kukosa jibu la uhakika.
Rehema alikuwa amechukia kwelikweli na moyo wake ulimuuma kwa kuona kwamba Irene anaanza kuwa na uhusiano na mwanamme huyo mgeni kabla yake.
“Atakuwa ameingia asubuhi ileile au atakuwa amelala chumbani kwake?” alijiuliza tena Rehema huku donge likiwa limemnasa rohoni mwake.
“Yaani atakuwa ameshanizidi kete?” aliwaza Rehema ambaye aliamini kabisa kwamba mitego aliyomtega Eddy siku ya kwanza ilikuwa ni lazima amnase kwanza kabla ya kinyangaratika kingine ndani ya nyumba yao.
****
Kwa upande wake Eddy ambaye alitoka baada ya kujipulizia utuli uliouteka ukumbi wa nyumba hiyo, alikwenda moja kwa moja kwenye shughuli zake kubaingiza, kwa kuwa bado hakuwa na kazi ya kufanya.
Alikuwa akifanya kazi yoyote ambayo aliamini kuwa ingeweza kumwingizia kipato.
Siku hiyo alikwenda moja kwa moja hadi kijiweni kwake maeneo ya Kariakoo ambako vijana wengi hukutana na kuuza maneno kwa watu wengine ili wapate chochote kitu.
Moyoni mwake Eddy hakuwa salama hata kidogo, kwa kuwa vitendo viwili vilikuwa vikimchanganya akili yake kwani moyo wake ulikuwa ukiripuka kila alipokuwa akikumbuka jinsi alivyomuona Rehema akisugua kisigino chake ilhali amevaa khanga moja iliyokuwa imelowana sehemu za makalioni.
Moyo ukitulia unaripuka tena kwa kitendo cha Irene kuingia chumbani kwake akiwa na khanga moja ambayo nayo ikiwa imelowana, Eddy alivuta taswira za mabinti hao wawili na kubaki akiwa hana la kufanya.
“Kila mmoja ana uzuri wake…” Eddy aliambia nafsi yake na kubaki na dukuduku moyoni mwake. Mpaka wakati huo hakuwa akijua kama amesababisha songombingo kati ya wasichana wawili hao.
Hilo hakulijua kwa kuwa hakuliona wakati likitokea, kwa sababu alikuwa chumbani kwake, laiti kama angeliona angejua cha kufanya, asingekuwa na budi kuchagua upande mmoja.
Lakini moyo wa Eddy ni kama wa wanaume wengine, haukulidhika na mmoja, unataka kumi na moja kwa kutaka kuonja kila sehemu ili kujua radha yake.
Eddy alikuwa akitaka kujua utamu wa Rehema lakini pia alikuwa akitaka kujua utamu wa Irene kwa kuwa damu yake ilikuwa ikichemka, kikubwa alikuwa akijiuliza itawezekanaje ndani ya nyumba moja!
Hilo ndilo lililokuwa likimitia mashaka, vinginevyo alikuwa akiwataka mpaka wengine waliokuwa wakiishi ndani ya nyumba ile kwani aliamini kuwa kila mti una tunda lake na kila tunda lina utamu wake.
Eddy alikwenda mjini na kuzugazuga kwa jamaa zake maeneo ya Shule ya Uhuru Karikooo, huko alikutana na marafiki zake Spider au Raha na John Tupatupa na kuongea nao kile kilichomkuta katika nyumba ile aliyohamia.
“Hapo lazima ucheze kama Pele lakini kwa jinsi unavyonihadithia kitu hapo ni Rehema…” alisema Raha.
“Mmmh mwana usipepese macho wala kuuma meno, hapo kitu ni Irene…” aliongeza John Tupatupa ambaye alimlaumu Eddy kwa nini hakumaliza mchezo wakati mzigo ulipoingia chumbani.
“Washikaji sasa mnanichanganya… niacheni nitumie akili yangu,” Eddy aliwaambia baada ya kuona kila mmoja akiwa na mtazamo wake kuhusiana na mabinti hao.
****
Rehema hakuwa ameridhika, alipofika uwani alipishwa kwenda msalani na mabinti waliokuwa katika foleni kwa kuwa yeye ni malkia wa nyumba hiyo.
Akaoga na kumaliza haja zake muhimu, kama kawaida alipotoka alisugua miguu yake huku akiwa na hamu ya kutaka kujua Irene aliingiaje chumbani kwa Eddy.
Alipomaliza shughuli zake akamchukua mmoja wa mabinti waliokuwa wakisubiri kwenda kuoga na kumwambia amfuate chumbani kwake.
Binti akajua labda ametafutiwa mtu wa kuduu naye, akawa na wasiwasi wakati alipokuwa akiambiwa kuingia chumbani kwa malkia.
“Usiogope kaa hapo kwenye sofa…” alisema na binti akiwa na wasiwasi akaketi.
“Ulimuona Irene leo?”
“Ndi… ndi- yoooo, nilimuona dada…”
“Ulimuona wakati gani?”
“Alipokuwa akitoka kuoga…”
“Hukumuona alipoingia chumbani kwa yule mgeni…?”
“Wala sikumuona lakini kama aliingia atakuwa alikwenda kumrudishia sabuni yake…”
“Kwani alichukua sabuni kwake?”
“Eeeh wakati akiwa anatoka kuoga yule mkaka, dada Irene akamuomba sabuni ya kuogea…” alisema binti yule na kuifanya roho ya Rehema kuanza kupona kidonda cha wivu kilichokuwa kikimkereketa.
“Oke nenda, usimwambie yeyote nilichokuuliza.”
“Sawa.”
Baada ya binti yule kutoka nje, Rehema alifurahi sana, akajua kuwa Irene hakuwa ameambulia kitu. Akafurahi na kujitupa kitandani na kukumbatia mito.


Je nini kiliendelea? Usikose kufuatilia Alkhamisi ijayo...................

duuuu hii kweli majanga hiyo sehemu ya rehema kuloanisha makalio yake huku amevaa kanga mmoja na kusababisha kanga kunasa mmoja kwa mmoja kwenye makalio ni hatari lazima hapo mtu mzima uingie kwenye mtego
 
duuuu hii kweli majanga hiyo sehemu ya rehema kuloanisha makalio yake huku amevaa kanga mmoja na kusababisha kanga kunasa mmoja kwa mmoja kwenye makalio ni hatari lazima hapo mtu mzima uingie kwenye mtego

wa wapi wewee? Unatuzengua bana...kama vipi copy ukawaelimishe dada zako bana
 
Majangaaa Mbona Majangaaa! - 24-

ILIPOISHIA JUMAMOSI
"Pasuaaa… pasuaaaa… siku ya kwanza tu umegonga ngoma mbili...kweli majangaaa…," alisema Mwamvita.
Baada ya kumwaga mchele hadharani wasichana wale nao wakatakiwa waseme kile kichotokea, ndipo Rehema alipojikaza na kusema:

"Kama mlivyosikia, nikiwa na mpenzi wangu ndani tukiwa tunakula raha zetu ndipo huyu malaya akatuvamia…"
SASA POROMOKA NAYO...


QUEEN hakuvumilia kauli hiyo, akambwatukia Rehema kwa kumtolea tusi kali, ikabidi Rehema naye achoropoke pale alipokuwa amesimama na kumfuata Rehema alipokuwa amesimama.
"Unanitukania nini sasa…?" alihoji.
"Mdomo," alijibu Queen.
Mara wakavaana na kuangushana chini, safari hii baba mwenye nyumba akataka waachiwe ili washikishane adabu.
"Waacheni, hakuna kuingilia, wakimaliza kupigana ndipo watakapoheshimiana…" alisisitiza baba huyo.
Hali ilikuwa mbaya kwa Rehema aliyekuwa ameelemewa na kipigo, Tabu hakupendezwa na hali ile lakini hakuwa na budi kunyamaza huku roho ikimuuma.
"Jamani watauana hapa kisha tutapewa kesi," alisema mwanamke wa jirani na kuwafanya wote washtuke na kuamulia ugomvi huo uliokuwa umepamba moto na kutimua vumbi la ua huo.
"Bahati yako ningekuulia mbali…" alijitapa Queen.
"Umuue nani wewe kwani umeshaua wangapi…?" Rehema bado alikuwa ngangari katika kujibu huku moyoni akishukuru kwa kuamuliwa kwa kuwa mpinzani wake alikuwa amemdhibiti vibaya.
Hata hivyo, Rehema alikuwa akiamini kuwa alikosea ‘taimingi' tu na siyo kama alikuwa hamuwezi Queen.
Baba mwenye nyumba akamrudia tena Eddy na kumwambia achague mmoja kati ya wasichana hayo ili kuondoa ugomvi kati yao.
"Mimi nawapenda wote kwa kuwa wote ni wazuri," alijibu Eddy na kuwafanya watu waendelee kuambulia burudani ya vicheko.
"Acha utani bwana, siye tunataka kuamua ugomvi huu ili tumjue nani ni nani kwako, kwa kuwa ukimchagua mmoja atayemwingilia mwenzake atakuwa mgomvi, haya chagua unamtaka nani?" alisema tena baba mwenye nyumba.
"Siwezi kuchagua, kama nilivyosema mwanzo wote nawapenda…" alijibu tena Eddy.
"Kama ni hivyo waoe wote…" alisema Mwamvita.
"Au tumpe notisi mmoja na mwingine abaki…" alisema mama mwenye nyumba.
"Hapana wapewe notisi wote… tena miye nataka wakipewa notisi nihamie huku na ikiwezekana niingie katika kile chumba anachokaa Rehema..." alisema mama Kibena.
Hali hiyo ilizua zogo kubwa na kuwafanya wapangaji wengine kuwatetea wasichana hao na ili wasipewe notisi.
Wengi wao walipendekeza Eddy ndiye apewe notisi kwa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo hayo.
"Ikiwezekana huyo mwanaume ndiye apewe notisi kwa kuwa kabla hajahamia katika nyumba hii watu walikuwa wakiishi kwa amani," alipendekeza Tabu na kuungwa mkono na watu wengi.
Huo ulikuwa ni mtihani mkubwa kwa baba mwenye nyumba kwa kuwa hakuwa na fedha za kumrudishia Eddy kodi yake ya mwaka aliyolipa.
Kikubwa alichokuwa akizingatia ni watu wengi kushindwa kuhamia katika nyumba yake kutokana na mambo mengi ya kiswahili.
Baba huyo anakumbuka jinsi alivyopata tabu kukipangisha chumba alichoingia Eddy kwa kuwa kilikaa zaidi ya miezi sita bila ya kupata mpangaji.
"Hapana hilo niachieni mwenyewe nitaliamua, nafunga mjadala mpaka kesho ndipo nitakapotoa uamuzi wangu," alisema na kuwataka watu wote wakalale.
Siku mbili zilipita bila ya baba mwenye nyumba kutoa jibu lolote la kile alichokuwa amekiahidi.
Kwa upande mwingine hali ya uhasama kati ya Rehema na Queen ilizidi, kila mmoja alikuwa akitaka kujionesha kwamba yuko karibu na Eddy kuliko mwenzake.
Lengo kubwa kila mmoja alikuwa akitaka kuonesha kuwa yeye ni mshindi. Hivyo mmoja akimpelekea Eddy chai, mwingine alikuwa akihakikisha kwamba anampelekea chakula cha mchana.
Katika kufanya hivyo hawakuwa wakienda wao wenyewe, bali walikuwa wakiwatumia wapambe wao.
Rehema alimtumia mpambe wake Tabu wakati Queen alimtumia mdogo wake Pat, ikatokea siku Tabu naye uvumilivu ukamshinda akawa anataka kujua kile kilichowafanya Rehema na Queen wagombane kwa ajili ya Eddy.
Msichana huyo akataka kuingia katika himaya ya wakubwa zake, akataka kumsaliti mtu aliyekuwa akimshabikia.
Siku hiyo alikuwa ameingia chumbani kwa Eddy kwa lengo la kumpelekea chakula cha mchana, alipoingia ndani akaanza kujisemesha hili na lile.
"Hivi kwa nini unafikia hadi unagombewa na wanawake?" Tabu alimuuliza Eddy.
"Wee bado mdogo huwezi kujua," Eddy alimjibu kwa kifupi ili kuondoa bughudha mbele yake bila kujua lengo la Tabu.
"Mi mdogo miye?
"Ndiyo, huwezi kujua mpaka ukikua ndipo utajua kwa nini wale walikuwa wakinigombea," Eddy aliendelea kumjibu.
Bado Tabu hakutosheka na maneno yale yaliyokuwa yakiashiria kitu kingine kabisa tofauti na kile alichokifikiria.
"Watu wengi wananidharau kutokana na umbile langu lakini nataka kukuhakikishia kuwa miye siyo mtoto…" alisema Tabu kurudia kauli yake ya awali.
"Wee bado mtoto tu…" Eddy alisisitiza.
"Wewe nione mtoto lakini usidharau wembemba wa reli, unabeba hata treni…" alisema tena Tabu.
"Kweli?"
Kweli vile…"
Eddy alichukua fursa hiyo kumkagua vizuri msichana huyo, akagundua kitu, msichana huyo alionekana ndiyo kwanza anachipukia katika anga la mapenzi.
Chuchu zake zilikuwa zimechongoka na hipsi zake zilikuwa zikitanuka taratibu, Eddy alifikiria kwamba ukubwani mwake atasumbua kutokana na kuendelea kukua.
Midomo ya binti huyo ilikuwa mipana na kutengeneza vishimo ‘dimples' pale alipokuwa akitabasamu.

Je, Eddy alifanya nini? Usikose kufuatilia
 
Majangaaa Mbona Majangaaa! - 25-


Bado katika akili yake Eddy alijua kwamba anaweza kuwa mtu wa kwanza kuvunja ngome ya msichana huyo, aliamini hivyo kutokana na mwonekano wa binti huyo.
Akazidi kumvutia upande wake na kumhamisha kutoka pale walipokuwa wamesimama, wakasogea hadi katika uwanja wa fundi seremala na hapo akazidi kumpandisha ‘wazimu' wake.
Eddy alihakikisha anamfanyia binti huyo utundu wote anaoujua, hali hiyo ikawa inamfanya Tabu kupiga kelele za kuashiria kuhamasika na kusisimka huku akipoteza umakini wake.
POROMOKA NAYO…


Eddy alikuwa amempania kumuonesha binti huyo utundu wake wote na kwamba alikuwa jabali katika mambo hayo ya faragha.
Pia, alifanya hivyo huku akiwa na kiu ya kutaka kuondoa kizuizi cha binti huyo kama siyo kupasua ngome kwa mara ya kwanza.
Katika maisha yake ya mapenzi, Eddy hakuwahi kufanikiwa kuipasua ngome ya binti ye yote, hivyo akaweka imani kwamba angeweza kubahatisha kwa Tabu kwa kuwa siku zote alikuwa akikutana na wale wazoefu tu.
Hivyo, alihahakisha anampigisha ‘kwata' za kutosha Tabu kwa lengo la kumpagawisha binti huyo ambaye alimkadiria kuwa na miaka 19.
Katika hilo alifanikiwa kwa asilimia kubwa kwa kuwa Tabu alianza kubadili mikao na kuzungusha macho kama vile alikuwa akitaka kukata roho.
Mtoto wa watu alichanganyikiwa na kuwa mbendembende kutokana na manjonjo aliyokuwa akioneshwa na Eddy ambaye alihakikisha anapita katika kila idara yake.
Baada ya maandalizi ya mechi hiyo Eddy akapuliza kipyenga na kuzialika timu katikati ya dimba la fundi seremala.
Askari wake akiwa amekasirika zaidi kwa vile alikuwa amevutiwa na mwonekano wa binti yule aliyekuwa bado mbichi.
Macho yaliyojaa uoga na embe sindano zilizokuwa zikivutia zikiwa zimechomoka kama zimetundikwa kifuani mwake.
Kama vile haitoshi, Eddy alivutiwa na harufu ya Tabu ambaye alikuwa na kijasho cha kuonesha kwamba bado hakuwa na uzoefu wa mambo yale.
Jasho lake lilikuwa halikeri katika pua za Eddy, Tabu alikuwa akinukia harufu za kitoto kwa kuwa hakuwa mzoefu wa mambo ingawaje yeye alikuwa akijiona ni mkubwa wa kuweza kufanya kile kilichokuwa kikifanywa na watu wengine wenye jinsia kama yake.
Baada ya kuhakikisha amempagawisha vya kutosha,Eddy alibadilisha somo kumchukua askari wake na kumzamisha kisimani.
Tabu aliachia ukulele mkubwa kiasi ambao ungeweza kusikika nje kama Eddy asingekuwa makini na kuwahi kumziba mdomo.
Ni kama vile alikuwa amejiandaa, mkono huo ukaganda kwenye kinywa cha Tabu kwa muda na alipomuona ametulia aliuachia taratibu huku akihisi kwamba amevunja ngome ya binti huyo.
Tabu hakuendelea kupiga kelele tena, akatulia tuli huku akionesha kukubaliana na kile kilichokuwa kikiendelea kati yake na Eddy.
Baada ya Eddy kumuona ametulia akautoa mkono wake katika mdomo wa Tabu na kushusha macho yake kumwangalia askari wake kama alikuwa amepasua ngome au la.
La hasha haikuwa hivyo, kulikuwa na kila dalili kwamba ngome ilishapasuliwa muda mrefu.
Pamoja na kuona hali hiyo, Eddy wala hakukata tamaa kwa kulikuwa na vitu kadhaa ambavyo alivibaini katika mechi hiyo, kwanza alithibitisha kwamba Tabu hakuwa mtoto bali alikuwa mkubwa mwenzake.
Hivyo mategemeo yake ya kuwa mwanaume wa kwanza wa kukata ‘siri' au kuvunja ngome ya binti huyo yakatoweka kama mafuta ya samli katika kikaaongo cha moto.
Baada ya kuona nanga yake ikizima majini bila ya kipingamizi.
Kumbe zile kelele za Tabu zilikuwa ni moja ya mbwembwe zake katika kufanikisha na kumpagawisha Eddy ambaye aliyekuwa na matarajio makubwa ya kupasua ngome.
Pamoja na kwamba binti huyo alikuwa tayari ameshaanza mambo hayo mapema lakini kulikuwa na vitu vingine ambavyo Eddy hakukitegemea kabisa kuviona.
Vitu hivyo vikawa faraja kubwa sana kwake, kwanza ni pale alipogundua kwamba Tabu hakuwa ameguswa na watu wengi kwani aliiona tofauti kati ya binti huyo na akina Queen pamoja na mwenzake Rehema.
Kwa kutumia uzoefu wake, aliamini kuwa kama hakuwa mwanaume wa pili kwa Tabu baada ya yule wa kwanza aliyekata utepe basi alikuwa ni wa tatu.
"Kama siyo wa pili, basi nitakuwa wa tatu," alijisemea kimoyomoyo huku gemu likiendelea.
Imani hiyo ilitokana na mvutano kama ule wa ‘sumaku' aliokuwa akikumbana nao askari wake mara baada ya kuzama kwenye kisima cha ‘bintani' huyo.
Aliamini binti huyo hakuwa amechezewa vya kutosha, akaongeza ufundi zaidi ili kumuonesha kwamba hao wengine hakuwa na kitu mbele yake.
Kingine kilichomshtua Eddy ni pale alipoona kwamba mechi ile haikuwa ya upande mmoja, kwani Tabu alikuwa akijibu mashambulizi kwa aina ya pekee.
Hali hiyo ilimfanya kukubaliana na kauli ya binti huyo ambaye mwanzo alimwambia kwamba asidharau wembamba wa reli kwa kuwa unabeba hata treni.
Tabu alikuwa akijua kufanya vitu ambavyo hata wale wengine waliokuwa wamekutana na Eddy hawakuwa wakiweza kuvifanya.
Alionesha uzoefu wake wa kucheza ‘sindimba' na kumfanya Eddy ainjoyi kwa kiasi kikubwa na kuamini kuwa mechi hiyo ilikuwa ni moja kati ya nzuri alizowahi kucheza katika maisha yake.
Eddy hakuchukua muda mrefu kumaliza raundi ya kwanza, kwa hali ilivyokuwa hakuwa ameridhika kutokana na raundi ile kuisha haraka.
Akataka raundi ya pili ipigwe fasta, haraka akakata rufaa na kuomba raundi ya pili, akilini mwake aliamini kuwa katika raundi hiyo utamu utakolea zaidi.
Kitu kingine kilitokea, akili yake ilicheza sawa na kile alichokuwa akikifikiria kutokana na askari wake kusimama imara na kuwa tayari kwa gemu.
Kwa kasi ya ajabu askari wa Eddy aliweza kusimama imara na kuanza kutimiza jukumu hilo kwa mara ya pili. Hata raundi ya pili haikuchukua muda mrefu.
Eddy alijikuta akiwahi kumaliza kufunga goli la mbali bila ya kutarajia, alishangaa kuona nyavu za timu ya upinzani zikitikisika
Alijua sababu ni uzuri wa kile kitu alichokuwa akila kwa wakati ule. Alihitaji tena raundi ya tatu lakini alikuwa amechelewa, Tabu alishaifuata kufuli yake na kuitia maungoni mwake.
"Vipi?" Eddy alihoji.
"Nimechoka na nataka kuwahi ili nisionekane…" alisema huku akiwa tayari kutoka ndani ya chumba cha Eddy.
"Poa, lakini usimwambie mtu, kisha nataka siku nyingine tutoke hapa, nataka tukakutane sehemu nyingine nzuri, sawa?"
"Sawa," alijibu Tuma huku akijiandaa kutoka chumbani humo.
Mpaka Tabu anatoka chumbani kwa Eddy alikuwa ameiva macho kwelikweli. Alipotoka tu, uso kwa macho akakutana na Pat ambaye alikuwa akitokea uwani na kuingia chumbani kwa dada yake.
Tabu aliogopa sana, kwa kuwa alikuwa amebadilika na macho yake yamekuwa mekundu, mwili wake ulikuwa umechoka na kama aliyekuwa ametoka kubeba mizigo mizito.
"Tabu," Pat alisimama na kumwita.
"Abee," aliitikia.
"Una nini?" aliuliza Pat ambaye alikuwa amejawa na udadisi baada ya kumuona Tabu akiwa katika hali tofauti.


Nini kiliendelea? Usikose Kufuatilia Alkhamisi ijayo......
 
Back
Top Bottom