Mbona Majanga

Mbona Majanga

[h=1]Majangaaa Mbona Majangaaa! - 13-[/h]
ILIPOISHIA JUMAMOSI
“Hapana ila visa vyangu viliongea kuoneshwa kwamba nilikuwa namaanisha nini.”
“Visa gani?”

“Kama vile kukuomba sabuni na kukurudishia sabuni chumbani kwako, hukunielewa?”
Eddy hakuwa na la kujibu kwa kuwa alishagundua tangu mapema kuhusu kile alichokuwa akikisema Irene.
Kwa sauti iliyojaa mahaba na mihemo ya kuvutia Irene akamwambia Eddy: “Okey najua haikuwa dhamira yako, ulichukukuliwa kama mateka… najua kila kitu lakini kuanzia sasa nataka uelewe kuwa miye ndiye mtu wako… umesikia?”
POROMOKA NAYO…

Eddy hakuweza kujibu kwa sauti yake akatikisa kichwa kuitikia kuonesha kwamba amekubaliana na hilo.
“Achana na yule mwanamke kwanza si saizi yako miye ndiye saizi yako,” Irene alimwambia Eddy kwa sauti yake ya kunong’ona iliyojaa kila aina ya mvuto.
Wakati huo Irene alipokuwa akisema maneno hayo hakuacha kusaula viwalo vyake, alishaona mwelekeo wa mafanikio katika zoezi lake la kumteka kijana huyo.
Lengo lake lilikuwa ni kumkomoa Rehema na kuushusha umalkia wake katika nyumba hiyo.
Kwa kuwa alikuwa akiziona nguo zake zikileta bughudha mwilini mwake, aliondoa moja baada ya nyingine na alipomaliza akamgeukia na Eddy.
Akawa anafanya kama vile alivyokuwa akifanya, akaiondoa fulana aliyokuwa ameivaa, ndani ya fulana akakutana na singlendi nayo ikapigwa chini.
Kifua kikawa cheupe, mtoto wa kike akashuka chini na kuanza kufungua mlango wa ikulu huku Eddy akiwa hana la kufanya wala hatoi kipingamizi chochote.
Alipofanikiwa hakutaka kusubiri kitu kingine akafanya kama vile alivyokuwa akifanya Rehema, akamshika askari wa Eddy na kumwingiza kwenye njia ya kupitishia chakula.
Mambo yakabadilika, Eddy akachanganyikiwa zaidi, joto lilikuwa kali kupita kiasi, utadhani alikuwa ameingizwa kwenye tanuri la kuokea mikate.
Macho ya Eddy yalizunguka katika mwili wa Irene na kushuhudia mabonde na milima ambayo kwa njia moja ama nyingine yalimpandisha mzuka zaidi.
Awali hakuwa akiamini kama angeweza kupiga shoo nyingine kwa usiku huo kutoka na ‘kupafomu’ kwa uhakika akiwa na Rehema, alijua kuwa nguvu zake zilikuwa zimekwisha kabisa.
Lakini kadiri alivyokuwa akiangalia ramani ya mwili wa Irene, mawazo yake yakajenga picha ya kuvutia na kujikuta akipata nguvu nyingine mpya ambazo hakujua zilitokea wapi.
Picha iliyojengeka akili mwake ni kwamba Irene alikuwa na ngozi nyororo kuliko Rehema, pia akagundua kwamba alikuwa na rangi adimu ambayo hata kama Rehema angetumia mikorogo yote inayotengenezwa Tandale na Manzese, Buguruni na Vingunguti yake asingeweza kuifikia.
Aidha, akagundua kwamba joto la Irene lilikuwa na nguvu ya kusisimua kuliko lile la Rehema, kwa fikra hizo akajikuta akisisimka zaidi na kupandisha mori kama Mmasai aliyeibiwa ng’ombe wake akiwa machungani.
Alishuhudia embe sindano zilizokuwa zimekaa kifuani mwa Irene, Eddy akawa hajiwezi, akajiuliza alikuwa na ngekewa gani ya kupendwa na mabinti warembo kama wale!
Wakati Irene akiwa anaendelea na zoezi lake, Eddy akawa anasema maneno yasiyoeleweka, ghafla akawa anapayuka maneno, akasema:
“Re… he… maaa…” Hali hiyo ilimfanya Irene kuacha kile alichokuwa anakifanya baada ya kulisikia jina la hasimu wake likitajwa.
“Unaniiita nani?
“Samahani… lakini… jina… lako… sili..jui…” alisema Eddy akiwa kama zezeta, akiwa anataka Irene afanye kile alichokuwa akikifanya.
“Naitwa Irene Smart… au ukipenda niite Queen,” alisema Irene na kumfanya Eddy achague jina hilo la mwisho kwa kuwa hata akilini mwake aliamini kabisa kwamba msichana huyo alipaswa kuitwa Queen.
Moyoni mwake Eddy alikiri kwamba Queen alikuwa mzuri sana lakini hata ungemuuliza kati ya msichana huyo na Rehema nani alikuwa zaidi, asingeweza kutoa jibu mwafaka.
Alikuwa amebaki katikati na kuwa na kisebusebu na kiroho papo, huku anataka na kule anataka.
“Tafadhali usiniite jina la Mala… wako.”
“Samahani… nilighafirika.”
“Kwa hiyo utaniita jina gani?”
“Queen,” alisema Eddy huku akionekana kuwa mnyonge. Jina hilo lilimfurahisha sana Irene akawa anatabasamu na kufungua matuta yalioyokuwa yametanda kwenye sura yake.
“Asante baby…” alisema na kurudia zoezi alilokuwa amelianza.


Nini kiliendelea? Usikose kusoma Jumapili ijayo.......................
 
Mkuu MR. CONFIDENT Zipo hadithi nyingi tu nzuri lakini wewe unaiharibu hadithi jinsi inavyokwenda. Ningelikushauri na wewe uweke Thread mpya ya hadithi mojawapo unazozipenda kuliko kuichanganya hii hadithi yangu samahani kama nitakukwaza.
Hapo kwenye Red, hivi kweli MziziMkavu unathubutu kusema hii ni hadithi yako wakati unaitoa kwenye magazeti ya Bamaga! wote mnagombea kazi ambayo siyo yenu sijui kama hamuwezi kushtakiwa.
 
Majangaaa Mbona Majangaaa! - 14-

Moyoni mwake Eddy alikiri kwamba Queen alikuwa mzuri sana lakini hata ungemuuliza kati ya msichana huyo na Rehema nani alikuwa zaidi, asingeweza kutoa jibu mwafaka.
Alikuwa amebaki katikati na kuwa na kisebusebu na kiroho papo, huku anataka na kule anataka.
"Tafadhali usiniite jina la Mala… wako."

"Samahani… nilighafirika."
"Kwa hiyo utaniita jina gani?"
"Queen," alisema Eddy huku akionekana kuwa mnyonge. Jina hilo lilimfurahisha sana Irene akatabasamu na kufungua matuta yaliyokuwa yametanda kwenye sura yake.

"Asante baby…" alisema na kurudia zoezi alilokuwa amelianza.
POROMOKA NAYO…


Queen kama alivyomwita Eddy aliporudia safari hii alikuwa na mzuka mpya, akahakikisha kuwa anampagawisha Eddy kwa ujanja wake wote.
Kweli hali hiyo ilizidisha mzuka wa Eddy akawa anahamasika na kupandwa na munkari kwa askari wake kuonesha dalili zote za kutaka kuingia vitani.
Eddy hakujua hata nguvu alizipata wapi, akamgeuzia kibao Queen na kuanza kumshambulia kwa kufanya kujibu mashambulizi ya nguvu… akahakikisha haonekani ----- mbele ya Queen.
Akapitisha ulimi wake katika kila kiungo cha Queen. Akaanzia shingoni kisha akapanda hadi kwenye mdomo hapo wakabadilishana ‘kinywaji' na Queen.
Eddy alipotosheka akarudi kwenye viwambo vya kusikilizia sauti, yote hiyo ilikuwa ni kumsaka shetani wa Queen. Kila kipengele ambacho Eddy alichokigusa kilikuwa kikimtia wazimu Queen.
Alipotosheka kumpagawisha sehemu moja akahamia nyingine hata pale alipoona viwalo vya Queen vinamwondoa mchezoni alihakikisha anaviondoa.
Baada ya kuviondoa vyote akawa anashuka chini kwa kupitia shingoni na kuuacha ulimi wake utalii katika maungo ya ‘bintani' huyo.
Akawa anashuka chini hadi kwenye embe sindano za Queen, akawa anazinyonya embe hizo na kumpandisha mori kiasi cha kumfanya akose uvumilivu na kuanza kulia.
Hata hivyo, kilio chake kilikuwa ni tofauti na kile kilio cha kawaida, alikuwa akilia kwa furaha, kilio adimu kutokea kwa binadamu.
Kilio chake kilikuwa kikiongeza hamasa moyoni mwa Eddy ambaye alimini kuwa alikuwa amemuweza. Aliamini kuwa kiwango chake cha kupagawisha kilikuwa kimeongezeka.
Pamoja na kilio hicho cha Queen, Eddy hakuacha kufanya kile alichokuwa akikifanya, ndiyo kwanza akawa anazidisha majonjo, alipoona amempatia vyema msichana huyo, akazidisha makeke kwa kuweka vikorombwezo vingine vingi tu.
Alipotosheka akashuka tena chini, akafikia kwenye tumbo jembamba la Queen, tumbo ambalo lilikuwa vigumu kwa mtu kujua kama msichana huyo alikuwa ameshiba au alikuwa na njaa.
Hapo hakuchukua muda mrefu sana kupiga deki kama siyo kupiga msasa kwa kutumia ulimi wake, akashuka tena chini, akafika kwenye kiuno, hata hapo hakuchukua muda mrefu.
Akashuka chini zaidi, zaidi na zaidi, akafika sehemu adimu kufikika, sehemu yenye ulinzi mkali lakini Eddy aliweza kuwapangua walinzi wote na kuweka ulimi wake.
Queen alichanganyikiwa, akajihisi kama alikuwa yuko katika pepo ya Firdausi akiwa amezungukwa na malaika kibao.
Sauti yake ilibadilika na kuwa ndogo, macho yake yakabonyea na kuingia ndani na kuwa madogo kama ya Mchina, akawa anapumua juu kwa juu.
Pamoja na hivyo, akahisi kama vile alikuwa akitaka kukata roho. Kabla ya kufikia hatua hiyo alijihisi kama alikuwa akiishiwa nguvu, kisha akahisi kama alikuwa akitaka kuzimia.
Maskini Queen hakuwahi kushuhudia kile alichokuwa akikishuhudia kwa wakati huo, raha zilikuwa zimemzidia, ilikuwa ni mara yake ya kwanza kufanyiwa alichokuwa akifanyiwa, akachanganyikiwa mara elfu moja.
Wazimu ukampanda, akawa anajikuta anaingiza mipira golini kwake mfululizo bila ya kutegemea, akahisi raha kupita kiasi, raha ambazo kamwe hakuweza kuzielezea ladha yake.
Kila goli alilojifunga alikuwa akipiga kelele za kushangilia.
****
Ni wakati huo ndipo Rehema alipokuwa akitoka chumbani kwake na kwenda msalani. Nyumba ilikuwa imetulia kwa ukimya huku sauti pekee zilizosikika zikiwa ni zile za watu waliokuwa wakikoroma ambazo zilitokana na watu kulala vibaya au kutokana na uchovu wa mihangaiko yao ya mchana kutwa.

Kelele nyingine zilikuwa ni zile za mlango na miguu yake wakati akitoka chumbani kwake.
Rehema alishika uelekeo wa kwenda uwani.
Alipofika kwenye mlango wa mwisho, alihisi kusikia kitu kisichokuwa cha kawaida, kitu adimu katika masikio ya watu wengi lakini akapuuza.

Kupuuza kwake kulitokana na kutoka kwenye usingizi ambao bado ulikuwa ukimwelemea, akaendelea na safari yake hadi akafika msalani lakini wakati akiwa huko akameza mate ya akili na kutafakari kile alichokuwa amekisikia.
Akajiuliza kilikuwa ni kitu gani, sauti ile ikajirudia katika akili yake, akahisi ni sauti ya msichana aliyekuwa amechanganywa na mtu anayejua mambo.


Je, Rehema atagundua kama aliyekuwa chumbani kwa Eddy ni Queen? Akigundua atafanyeje?
 
Majangaaa Mbona Majangaaa! -15-

ILIPOISHIA

Alipofika kwenye mlango wa mwisho, alihisi kusikia kitu kisicho cha kawaida, kitu adimu katika masikio ya watu wengi lakini akapuuza.


Kupuuza kwake kulitokana na kutoka kwenye usingizi, akaendelea na safari yake hadi kufika msalani lakini wakati akiwa kule akameza mate ya akili na kutafakari kile alichokuwa amekisikia.


Akajiuliza kilikuwa ni kitu gani, sauti ile ikajirudia katika akili yake, akahisi ni sauti ya msichana aliyekuwa amechanganywa na mtu anayejua mambo.

POROMOKA NAYO…


Akajaribu kukumbuka kama katika nyumba hiyo kulikuwa na msichana au mwanamke anayelala na mwanaume lakini hakuambulia kumkumbuka mwingine zaidi ya baba mwenye nyumba na mkewe.

Akameza tena mate ya akili, akakumbuka kuwa mwanaume mwingine aliyekuwemo katika nyumba hiyo ni Eddy tu ambaye alishamchukulia dhamana kwamba hawezi kuwa na msichana kwa kipindi hicho kutokana na dozi walizopeana.

"Hapana atakuwa siyo Eddy, kama akiwa yeye lazima nirudi kwa kungwi wangu upya na kumtaka anifunde upya," alijiapia.

Haikuchukua muda mrefu akatoka msalani na kurudi chumbani kwake, alipofika tena katika eneo lilelile akasikia vile vilio adimu vikiwa vinaendelea.

Safari hii vilikuwa vikisikika kwa nguvu zaidi lakini kutokana na upepo uliokuwa ukivuma usiku huo, Rehema hakuweza kujua ni chumba gani hasa kilikuwa kikihusika.

Kutokana na kile alichokisikia aliamini kuwa kuna msichana humo ndani ameingiza mwanaume chumbani kwake, akawa anataka kujua ni chumba gani.

Wasiwasi ukamuongezeka kwa kuwa alikuwa akijua kuwa wasichana wengi wanaoshi katika nyumba hiyo wanalala wawiliwawili na wengine ni zaidi.

Ni yeye tu anayelala chumba kizima peke yake ndiyo maana akapewa hadhi ya kuitwa malkia wa nyumba hiyo. Tena chumba chake ni kizuri na kina hadhi kubwa kuliko chumba kingine katika nyumba hiyo.

Aidha, Rehema akafikiria labda kulikuwa na wasichana katika nyumba hiyo wakifanya kitendo kibaya cha kustareheshana wenyewe kwa wenyewe.

"Inawezekana kweli?" alijiuliza bila ya kupata jibu la uhakika wa kile alichokuwa akikifikiria.

"Dunia siku hizi imeharibika, unaweza kuwachukulia dhamana hawa wasishana kisha wakakuangusha," akawaza tena Rehema na kumfanya wasiwasi wake uongezeke kwa kuhisi kwamba kulikuwa na kitu.

Alifikia hatua ya kutaka kupuuza lakini kutokana na hisia hizo, akataka kujua ukweli ili kesho yake apate mada ya kusimulia kwa wenzake.
Alijua stori tamu ni ile ya usiku wa manane kama huo ambao siku zote hushuhudiwa na watu wachache, pia inakuwa na raha kama itasimuliwa na malkia wa nyumba.

Rehema akasogea hadi kwenye chumba cha jirani kabisa na kile cha Eddy akategesha sikio lake la kulia ili kusikiliza lakini hakuambulia kitu.

Mawazo kwamba kitendo kile kinaweza kuendelea katika chumba cha Eddy alishayafuta, akasogea kwenye mlango mwingine wa chumba kinachotazamana na kile cha Eddy, akafanya kama vilevile alivyofanya katika chumba cha kwanza, napo hakuambulia kitu.

Hakutaka kufuatilia katika vyumba vingine kwa kuwa vilikuwa mbali na alipokuwa amesimama kwa kuwa sauti ilikuwa haitoki mbali na sehemu hiyo.

Kelele zilikuwa zikiendelea kusikika, akasogea katika chumba cha Eddy, alipotegesha sikio lake, nywele zilimsisimka na kuinua mdomo wake kama mtu aliyekuwa ameona au kusikia kitu cha ajabu.

Miguu ikamtetemeka na kumfanya akose nguvu, akajitahidi na kuuegemea mlango huo. Akachanganyikiwa kabisa kwani alijua kulikuwa na shoo ya siri iliyokuwa ikipigwa chumbani humo.
Wapiga shoo walikuwa wamejisahau na kufungulia spika zao kwa nguvu zao zote, aidha kwa kuzidiwa na furaha au kwa kujisahau.


Nini kiliendelea? Usikose Toleo linalo kuja hivi karibuni.....
 
Majangaaa Mbona Majangaaa-16-


Kelele zilikuwa zikiendelea kusikika, akasogea katika chumba cha Eddy, alipotegesha sikio, nywele zilimsisimka na kuinua mdomo wake kama mtu aliyekuwa ameona au kusikia kitu cha ajabu.

Miguu ikamtetemeka na kumfanya akose nguvu, akajitahidi na kuuegemea mlango huo.

Akachanganyikiwa kabisa kwani alijua kulikuwa na shoo ya siri iliyokuwa ikipigwa chumbani humo.

Wapiga shoo walikuwa wamejisahau na kufungulia spika zao kwa nguvu zote, ama kwa kuzidiwa na furaha au kwa kujisahau.

POROMOKA NAYO...



Miguu ikamuishia nguvu na kujikuta akikaa chini ya sakafu kabisa, bado alikuwa hajapata uamuzi wa kuchukua kutokana na kujua kwamba amesalitiwa.


Akiwa pale chini akatafakari cha kufanya, kwanza, alifikiria agonge mlango ili ukifunguliwa ashuhudie msichana aliyekuwa ndani kwa Eddy.


Wakati akifikiria hivyo alikuwa akizidi kuumia kutokana na kelele za msisimko zilizokuwa zikitolewa na watu hao wawili waliokuwa hawana habari kama nje kulikuwa na mtu aliyekuwa akifuatilia mayowe yao na kuumia kutokana na kitendo chao.


Eddy na Queen walikuwa wakifikia kwenye kilele cha starehe yao, hivyo sauti zao zikapaa zaidi na kuzidi kumkera Rehema.


Msichana huyo bado alikuwa na dhamira ya kugonga mlango ili ukifunguliwa azushe mtiti wa nguvu kwa mwanamke atakayekuwa na Eddy.


Lakini wazo hilo likafutika kichwani mwake ghafla, kwanza, akataka kujua ni mwanamke gani aliyeingia chumbani humo.

“Ni mwanamke wa nje au wa ndani? Kama wa nje, alikuja naye? Kama alikuja naye alimwacha wapi wakati alipoingia chumbani kwangu?” alijiuliza Rehema bila kupata majibu.
Kisha akajiuliza: “Kama ni msichana wa humu ndani atakuwa ni nani?” Akamfikiria Queen ambaye alimwita kwa jina lake la zamani.

“Hata kama ni yeye alikuwa wapi wakati miye nilipokuwa na Eddy chumbani kwangu? Au ndiye aliyekuja kutuchungulia wakati tukiwa msambweni?” Bado Rehema aliendelea kuumiza kichwa kumfikiria msichana ambaye anaweza kuliingilia penzi lake kabla ya kuchukua uamuzi wowote.


Mbali na Queen, aliwafikiria pia wasichana wengine wawili, Pamela na Mwanvita ambao walikuwa wamepevuka na kuweza kumuhudumia Eddy bila shaka yoyote ingawa akili yake ilikataa kabisa kuamini kwamba wasichana hao walikuwa na ujanja wa kuweza kumnasa Eddy.

Rehema akatuliza kichwa na kuamini kuwa kulikuwa na sababu ya kumjua mwanamke ambaye alikuwa chumbani kwa Eddy kabla hata ya kuweza kufanya kitu chochote.

Msichana huyo akaamua asilale mpaka amjue na kujua cha kufanya, ikambidi aweke kiti kidogo kiitwacho kigoda alichokifuata uwani na kukiweka ukimbini hapo ili aweze kukikalia hadi pale msichana huyo atakapotoka.

Akafanya kama alivyofikiria kwa kuamini kuwa hakukuwa na njia nyingine ya kutokea ndani ya chumba hicho, akachukua kigoda na kukiweka ukimbini kisha akayaweka makalio yake ili kumsubiri adui yake.
***
Muda ulikuwa unakwenda sana, Rehema bado alikuwa yuko sebuleni akimsubiri adui yake lakini hakuwa katika hali yake ya kawaida, alikuwa amelala akikoroma.
Aliyemuona akiwa katika hali hiyo ni baba mwenye nyumba ambaye alitoka chumbani kwake alfajiri hiyo kwa ajili ya kwenda msalani.

Akiwa ukumbini hapo, baba mwenye nyumba alikuwa amepagawa na umbile la msichana huyo aliyekuwa amelala huku nguo alizovaa zikiwa zimeshindwa kuustiri mwili wake.


“Daaa mtoto mzuri huyuuu!” alijisemea baba mwenye nyumba huku akimsogelea Rehema aliyekuwa amelela kihasarahasara.

“Nilishamwambia asilipe kodi ili awe ananisabiria siku mojamoja, amekuwa mgumu kwelikweli,” alisema mzee huyo anayejulikana kama mzee Chuma huku udenda ukiendelea kumtoka.
Mzee Chuma akasogea hadi karibu kabisa na alipokuwa amelala Rehema, akampitisha mkono wake kwenye mapaja laini ya msichana huyo.

Kama vile haitoshi akaubusu mkono wake uliofanikiwa kuligusa paja moja la Rehema kisha akawa anawaza kwa nini msichana huyo aliamua kulala ukumbini siku hiyo.

“Mtoto mzuri, ana chumba kizuri, sijui ni nini kimemsibu au alilewa sana jana yake…” aliendelea kujisemea mzee

Chuma akiendelea kuusanifu mwili wa msichana huyo huku akiwa amekunja magoti.

Wakati wote huo, mzee Chuma akawa ameshasahau hata kile kilichomtoa nje, haja ndogo iliyokuwa ikimsumbua haikuwepo tena, akili ilikuwa kwa Rehema tu.
Midomo ikawa inamcheza na mate kumdondoka kama fisi aliyekuwa ameona fupa lisilokuwa na mwenyewe.

“Ningejua kama usiku mzima alikuwa amelala hapa si ningekuja kujiwahia mapema hapahapa, najua asingenishinda nguvu kwa kuwa anaonekana alikuwa amelewa sana,” aliendelea kuwaza mzee huyo huku akiupitisha mkono wake wa kuume kwenye mwili wa Rehema.


Wakati mzee huyo akiendelea kufanya hivyo, ghafla alishtuka kusikia mlango wa chumbani kwake ukifungulia. Kwa kawaida mlango wa chumbani kwake na mkewe ndiyo pekee unaopiga kelele wakati wa kufunguliwa.



Itaendelea Alkhamisi ijayo...........
 
thanks mzizi kwa sehemu ya 16, nilikuwa nimeimiss kule kwa shigongo.
Ila sehemu ya 17 iko hewani tayari
 
[h=1]Majangaaa Mbona Majangaaa! - 17-[/h]
ILIPOISHIA
Midomo ikawa inamcheza na mate kumdongondoka kama fisi aliyekuwa ameona fupa lisilokuwa na mwenyewe.
"Kama ningejua kama usiku mzima alikuwa amelala hapa si ningekuja kujiwahia mapema hapahapa, najua asingenishinda nguvu kwa kuwa anaonekana alikuwa amelewa sana,"aliendelea kuwaza mzee huyo huku akiupitisha mkono wake kuume kwenye mwili wa Rehema.

Wakati mzee huyo akiendelea kufanya hivyo, ghafla alishtuka kusikia mlango wa chumbani kwake ukifungulia, kwa kawaida mlango wa chumbani kwake na mkewe ndiyo pekee unaopiga kelele wakati wa kufunguliwa.
POROMOKA NAYO…

Mwili ukamsisimka, akawa kama vile mtu aliyekuwa amenasa kwenye nyaya za umeme, akawa amebaki vilevile bila ya kuutoa mkono wake ndani ya maungo ya Rehema.
Maana alijua aliyekuwa akitoka ndani ya chumba hicho hakuwa mwingine zaidi ya mkewe.
Masikio yakamsimama mzee Chuma akajua amefumaniwa na hakuwa akijua cha kufanya, mkewe alitoka na kusogea karibu yake kabisa.
Hatimaye alifanikiwa kuutoa mkono wake na kujidai kuuhamisha kutoka sehemu mbaya ulikokuwa ameuelekeza awali na kuupeleka sehemu nyingine yenye usalama.
Moja kwa moja akaupeleka na kuuweka kwenye kichwa cha Rehema akijidai kumpima homa.
Bila ya kugeuka akaendelea kujifanya mganga na kuanza kumpima mapigo ya moyo kama vile alikuwa akitaka kujua kama msichana huyo alikuwa hai au ameaga dunia.
"Mzee Chumaaa!" sauti kavu ya mkewe iliita, mzee huyo aligeuka na kumwangalia mkewe.
"Unasemaje?" alijibu kwa ukali na kujifanya kuwa bize akitoa huduma ya kwanza kwa Rehema.
"Unafanya nini hapo?"
"Nampa huduma ya kwanza huyu msichana, sijui kapatwa na masahibu gani?"
"Tangu lini ukawa daktari? Kwa nini usiwaamshe wanawake wenzake wakamsaidia, kwanza huduma gani ya kwanza unamshika…?"
Kusikia hivyo, mzee Chuma akasimama, akamwangalia mkewe bila ya kusema kitu akawa anaelekea zake msalani, alishajua kwamba hukukuwa na dogo tena, kama bwawa tayari lilishachafuka.
Ile haja ndogo iliyokuwa imepotea baada ya kuuona mwili wa Rehema na udenda kumtoka, sasa ndiyo aliisikia na kuhisi kama vile anataka kulimwaga kojo palepale ukumbini.
"Hebu subiri, unakwenda wapi?" alisema kwa ukali mkewe na kuwafanya hata watu wengine waliokuwa vyumbani kwao kushtuka na kujua kuwa nje kulikuwa na kasheshe.
"Niache, niache mamaaa nanihii… niache oooh ooooh," alisema mzee Chuma huku akiwa ameishika vyema nguo yake ya kulalia.
"Sikuachi…, nakwambia sikuachi, fanya unachotaka kukifanya…" zogo likawa kubwa na milango mingine ikaanza kufunguliwa kutaka kujua kilichotokea nje.
Wakubwa kwa watoto wakatoka nje na kuwakuta baba na mama mwenye nyumba wakiwa wameshikana huku Rehema akiwa bado amelala palepale chini ya kigoda akiwa hajui kinachoendelea.
"Kuna nini jamani…?" aliuliza Mwanvita.
"Huyu mzee mzima nimemkuta akitaka kufanya mambo ya hovyo na huyu binti hapa…" alisema mama mwenye nyumba huku akitengeneza mazingira ya tukio.
"Wee mwanamke… we mwanamke…?"
"Kama ungejua miye ni mwanamke kwa nini uliniacha chumbani na kuja kufanya ujinga wako huku nje?" alisema mama mwenye nyumba.
Wakati zogo likiwa limechanganya kwa mama na baba mwenye nyumba kugombana na huku watu wengine wakipiga kelele za kushangalia, Rehema akazinduka na kushangazwa na mazingila aliyokuwepo.
Akashangaa kuwaona watu walivyokuwa wengi huku kukiwa kumepambazuka. Kwa haraka akavuta kumbukumbu na kufikiria kilichomtokea hadi kuwa katika hali ile.
Akajiangalia nguo yake aliyokuwa amevaa kwa mila na desturi za Kitanzania hakutakiwa kuwa katika eneo lile akiwa amevaa mavazi yale lakini hakuwa na budi, kwani ndani ya nyumba hiyo kuvaa kwake hivyo ni tukio la kawaida.
Ghafla akakumbuka kuwa alikuwa hapo kwa ajili ya kumsubiri msichana aliyekuwa chumbani kwa Eddy, nini kilitokea hadi watu kujaa hapo, hakuweza kukumbuka kwa haraka.
"Haya malaya wako ameshaamka, endeleeni sasa?" alisema mama mwenye nyumba na kumfanya Rehema kushangaa.
"Mama tuendelee nini?"
"Mama tueendelee nini?" mama mwenye nyumba alisema huku akiwa amebana pua.
"Ama kweli tenda wema nenda zako, chumba nikupangishe miye, ubinaadamu nikufanyie, mume wangu unichukulie…" alisema mama mwenye nyumba.

Je, nini kitaendelea? Kupata majibu ya maswali yako, usikose kusoma Jumatatu ijayo ...........
 
Majangaaa Mbona Majangaaa! - 18


ILIPOISHIA
"Kwani ni lazima uingie?" Eddy alihoji huku akimshangaa msichana huyo ambaye walishakubaliana uhusiano wao waufanye kuwa siri.

Hata hivyo, Eddy alikuwa anakijua kile ambacho Rehema angekutana nacho chumbani kwake, akamwachia ili aingie.
Alipoachiwa bila ya aibu, akazama chumbani huku shari ikiwa imemjaa, kwa kukidhamiria vibaya kile ambacho angekutana nacho chumbani humo.
POROMOKA NAYO…!

Moja kwa moja macho yake yakatua kitandani, akakikuta kitanda kikiwa cheupe, hakukuwa na mtu zaidi ya shuka zilizovurugika.
Watu waliokuwa ukumbini wakazidi kuchanganyikiwa na kujiuliza maswali kibao yaliyokosa majibu, kwani Rehema alikuwa amekumbwa na kitu gani mpaka avamie chumbani kwa watu.
Wengi walihisi kulikuwa na kitu kinachoendelea kati ya wawili hao, walimuonea huruma kaka wa watu ambaye ni mgeni ndani ya nyumba hiyo kwa kitendo cha kufanyiwa vurugu na msichana huyo.
Ni mtu mmoja tu aliyekuwepo katika ukumbi huo ambaye alikuwa akijua ni nini kilichokuwa kikiendelea.
Mtu huyo si mwingine bali ni mdogo wake na Queen, Pat ndiye aliyekuwa akiujua mchezo mzima.
Pat alikuwa akijua ni kwa nini Rehema alikuwa ameingia chumbani kwa Eddy, pia, alikuwa akijua kile ambacho msichana huyo angekutana nacho chumbani humo.
Kwa kuona hivyo, mama mwenye nyumba naye akapunguza mashambulizi yake kwa Rehema, hali kadhalika baba mwenye nyumba, wote wakabaki na mshangao na kujiuliza kulikoni!
Rehema hakuridhika na kile alichokutana nacho chumbani, akaangaza kila kona, akafungua kabati, akahamia uvunguni mwa kitanda, kote hakuambulia kitu.
Akabaki ameshangaa, hata hivyo hakutaka kuyaamini macho yake, akaendelea kufunua hata ndoo za maji, akili yake ilikuwa imempaa na aibu ilikuwa ikiutafuna uso wake.
Alitegemea angefumania, lakini sasa kibao kilikuwa kimemgeukia, hakujua cha kusema mbele ya kadamnasi akiamini kuwa amechezewa shere, uso wake ukawa mdogo kama kidonge cha piltoni.
***
Upande wa pili, Queen alifungua mlango wake na kutoka nje, akakutana na vicheko, watu wote walikuwa wakimcheka Rehema ambaye alikuwa kama mtu aliyekuwa amechanganyikiwa.
Rehema alishindwa hata kumuomba radhi Eddy, alikuwa amenyong'onyea kama vile kunguru aliyekuwa amemwagiwa maji.
"Shoga umelikoroga… utalinywa!" alisema Mwamvita kisha akawahamasisha watu kwa kikolombwezo maarufu ambacho kimezoewa na wanawake wengi, akasema:
"Halooo halooo…!"
"Halooo!" wengine wakaitikia na kumfanya Rehema kuzidi kuchanganyikiwa na kujikongoja kwenda chumbani kwake akijihisi kama vile amejichafua kwa haja kubwa.
Kabla ya kuingia chumbani kwake, Queen akambetulia macho na kujishebedua mbele yake… kisha akamshusha na kumpandisha kiuchokozi kama vile kuku aliyekuwa akiangalia ndege ipitayo angani:
"Shoga kimekusibu kipi?" alimuuliza na kumfanya Rehema ashindwe kujibu.
"Mbona miye sielewi?" alihoji mama mwenye nyumba na kutaka kujua kwa nini Rehema alikuwa akifanya vituko siku ile.
"Hata siye hatuelewi…" msichana aitwaye Tabu naye alijibu kwa niaba ya wenzake. Kila mtu ndani ya nyumba hiyo akawa anataka kujua ni nini kilikuwa kimetokea siku hiyo hadi malkia wa nyumba hiyo akaikwaa aibu.
Queen aliachia kicheko baada ya kupitwa na Rehema, kisha akasema:
"Mlaji ni mla leo mla jana kala nini?" alisema na kumfanya Rehema kujua kuwa hicho kilikuwa kijembe chake. Akaamini kuwa Queen ndiye aliyekuwa chumbani kwa Eddy.
"Ametokaje," akajiuliza na kukosa jibu.
Ukweli ni kwamba Queen alitoka chumbani humo wakati Rehema akiwa amelala amepitiwa na usingizi ukumbini, alipomuona alishangaa sana.
Queen alijua kuwa Rehema alihisi kuwa chumbani kwa Eddy kulikuwa na msichana hivyo akaamua kukaa ukumbini ili amshuhudie msichana huyo wakati akitoka.
Pia alijua kuwa mpaka wakati huo Rehema hakuwa akijua ni msichana gani aliyekuwa chumbani kwa mvulana huyo kwa kuwa wakati akitoka hakumuona.
"Atakufa nacho kijiba cha roho," alisema Queen na kuahidi kuendeleza penzi lake na Eddy.

***
Moja kwa moja Rehema aliingia chumbani kwake na kujitupa kitandani, akaanza kulia kilio cha kwikwi, akajuta kumfahamu Eddy.
"Yaani mwanaume nimempa raha zote lakini anakuja kunifanyia hivi, kweli wanaume hawaaminiki," aliwaza na kufikiria cha kufanya.
Bado katika nafsi yake alikuwa akitaka kujua nini kilichomfanya Eddy akamsaliti usiku mmoja tu baada ya kukutana naye.
Alikuwa chumbani kwake akifikiria hatua ya kufanya.
Hakutaka kumpoteza Eddy lakini bado alitaka kujua ni msichana gani aliyekuwa chumbani kwa mvulana huyo.
Mawazo yake yakaangukia kwa Queen, akahisi kwamba anahusika kwa njia moja ama nyingine.

Nini kiliendelea? Usikose jumapili ijayo.....................
 
Back
Top Bottom