Mbona Majanga

Mbona Majanga

[h=1]Majangaa Mbona Majangaa - 30-[/h]Ilipoishia Risasi Jumamosi…
Eddy akavuta kumbukumbu ya mchana wa siku hiyo mara baada ya kutoka kula raha na Tabu, akakumbuka jinsi binti huyo alivyokuwa akimwangalia.

"Haya sasa majanga!" akawaza na kushangazwa jinsi ambavyo wasichana wa nyumba hiyo walivyokuwa wanakubali kujitoa sadaka kwake.
"Umenifuata kufanya nini?" Eddy alinong'ona tena.
POROMOKA NAYO SASA…

Kuja kukuogesha na kukupaka sabuni kisha nikupe raha ambayo hujawahi kuipata sehemu nyingine yoyote," alijibu Pat kwa sauti ya kunong'ona.
"Huogopi?"

"Niogope nini kwani kuna kitu gani cha ajabu?" Pat alimjibu Eddy kwa kumuuliza swali.
"Huoni kama miye ni mkubwa kwako?"
"Umri ni namba tu lakini kiakili na kimaarifa tunaweza kuwa sawa au miye nikakuzidi…" alisema Pat na kumshangaza zaidi Eddy.
Eddy hakuwa na nguvu ya kuendelea kuuliza maswali zaidi ya kutii kile ambacho Pat alikuwa ameamua kukifanya kwake.

Kitendo bila ya kuchelewa baada ya kumaliza kusaula viwalo vyake, Pat akaichukua sabuni iliyokuwa mikononi mwa Eddy na kuanza kumpaka mwanaume huyo kila sehemu ya mwili wake.
Alianzia chini ya mwili wa mwanaume huyo na kuja juu, alihakikisha sabuni hiyo anaipaka kwa mikogo.
Eddy hakukitegemea kitendo hicho, ila hakuwa na budi kukubaliana na kile alichokuwa akifanyiwa, akachukua taulo na kulitundika mlangoni.

Taratibu bila ya kuwa na haraka, Pat akawa anaipitisha sabuni katika kona zote za mwili wa Eddy huku kijana huyo akimwangalia kwa udadisi mkubwa.
Kwa kufanya hivyo, Pat alikuwa akimpandisha ‘wazimu' Eddy kwa kuwa sehemu alizokuwa akizipitia ni zile zenye kupagawisha kama siyo kumsisimua mwanaume yeyote mwenye akili timamu na aliyejaliwa urijali.

"Mh!" Eddy aliguna kwa sauti ndogo pale alipoguswa ikulu.
"Unaguna nini?" Pat alimuuliza kwa sauti ileile isiyovuka mipaka ya bafu walilokuwemo.
"Nimefurahi," alisema Eddy.

"Bado sijakufurahisha," alijibu Pat huku akiinua macho yake na kumwangalia Eddy ambaye naye alikuwa amebaki akiwa haelewi aanzie wapi kuanzisha mashambulizi.
Kabla hata hawajafika mbali, nje zilisikika sauti za nyayo za mtu zikitembea kuelekea msalani. Eddy akamzuia Pat kufanya kile alichokuwa akikifanya kwa kuhofia kuwa mtu huyo angeweza kuwasikia.

Kwa kasi ya ajabu, Eddy akachukua kopo la maji na kujimwagia ili kutoa ishara kwa mtu aliyekuwa akipita nje kuwa bafuni kulikuwa na mtu aliyekuwa akioga.
Kijana huyo akachukua kopo la maji na kujimwagia ili kutoa ishara kwa mtu aliyekuwa akipita nje kuwa bafuni kulikuwa na mtu akioga.

Akaendelea kujimwagia maji hadi pale mtu aliyeingia msalani alipotoka, hapo ndipo alipomuachia Pat aendelee kufanya utundu wake.
Kwa kuwa walikuwa wamekatizwa stimu, Pat akaamua kuanza upya na kwa spidi, ari na nguvu mpya.
Moja kwa moja akaamua kuukamata usukani na kuanza kuendesha gari mwenyewe, safari hii hakutaka tena kutumia sabuni bali alikuja na staili nyingine kabisa.

Alitumia njia yake ya kupitishia chakula kuweza kumpagawisha Eddy.
Kitendo hicho hakikutegemewa na Eddy hata kidogo, lakini aliamini kuwa Pat alikuwa akijua mambo mengi tofauti na umri wake.
Alionekana alikuwa amejifunza na kujiandaa kwelikweli kuweza kumpagawisha, kwani kitendo alichokuwa akikifanya wakati huo hakikuwa cha kuigiza bali alikuwa akikifanya kwa uzoefu mkubwa.

Pat alikuwa fundi haswa wa ‘kumeza nyoka' na hakuwa kama wengine ambao huwa wanalamba nyoka kwa kufananisha na ‘ice cream' kama wengine wanavyosema.
Muda ulikuwa unakwenda kwa kasi, kila mmoja alikuwa na mshawasha na mwenziwe kwa kuwa Eddy naye alishachukua fursa hiyo na kumpagawisha Pat kisawasawa.

"Unapenda kucheza mtindo wa bendi gani?" Pat alimuuliza Eddy.
"Mtindo?" Eddy alishangaa kisha akasema:
"Nyimbo nyingi za siku hizi hazina mitindo na hata kama zina mitindo basi haina umaarufu mkubwa… wee tucheze bora liende tu…"
Pat akaachia kicheko ambacho kilimshangaza Eddy.
"Kwa nini unacheka?"

"Nakushangaa hujui kama tunaweza kucheza Ngololo au Kiduku?"
"Ndiyo inachezwaje hiyo?"
"Basi ngoja tufanye kitu kimoja, miye nitaandika namba saba na wewe uandike namba moja, sawa?"
"Sawa…" moja kwa moja Eddy alielewa kile alichokuwa akikimaanisha Pat. Hata alipochora namba saba mbele yake kwa msaada wa ndoo ya kuogea, yeye hakupata tabu ya kutengeneza namba moja ili kuweza kufurahisha nafsi zao.

Wawili hao walikuwa mzigoni, kila mmoja alikuwa akivuta pumzi zake za mwisho, Eddy alikuwa akipiga kelele na Pat pia.
Wakawa wamejisahau kama walichokuwa wakikifanya kingeweza kusikika nje, wakawa kama vile wako kwenye uwanja usiokuwa na shaka kila mmoja akijiachia kwa raha zake.
Raha zikawazidia zaidi na zaidi, sauti zao zikamvutia mtu aliyekuwa nje ambaye naye usiku huo alikuwa akitaka kuingia bafuni ili akaoge.

Akiwa uani, akanyata taratibu na kuelekea kule ambako kelele hizo zilikuwa zikitokea, kadiri alivyokuwa akisogelea usawa wa bafu ndivyo kelele hizo zikaongezeka.
Akabaini watu waliokuwa bafuni ndiyo waliokuwa wakisababisha kelele zile, akataka kuwajua ni akina nani waliokuwa wakifanya mchezo ule.

Akataka kurudi ndani ili ahakikishe kama watu wote walikuwepo vyumbani mwao lakini alisita kwa kuamini kuwa kitendo chake cha kutoka eneo hilo angeweza kupoteza ushahidi wa karibu zaidi wa kushuhudia tukio hilo kwa macho yake.
Akatafuta upenyo wa kuchungulia bafuni bila ya kupiga kelele, kwa kuwa choo kizima kilikuwa kimejengwa na mabati mabovu aliweza kuona ndani.

Pamoja na kuona michakato ya kugonga shoo ikiendelea lakini hakuweza kuwatambua waliokuwa wakifanya vile.
Aliamini kabisa kwamba watu wale walikuwa wanaishi mle ndani akapania kuwaingilia mle bafuni ili aweze kuwaumbua.
Akasogea hadi katika mlango wa bafuni, hakuwa na shaka kabisa kwamba walikuwa ni watu wawili wakila uroda kwa raha zao.

Mshawasha kama siyo kilarularu kikaanza kumsumbua naye wazimu ukampanda kabisa, akataka kujumuika katika gemu lile bila ya kuwajua wachezaji ni akina nani.
Unataka kujua nini kiliendelea? Usikose kusoma Gazeti la Risasi Jumapili
[h=1][/h]
 
Majangaa mbona majangaa-31-

Pamoja na kuona michakato ya kugonga shoo ikiendelea lakini hakuweza kuwajua ni akina nani waliokuwa wakifanya vile.
Aliamini kabisa kwamba watu wale walikuwa wanaishi mle ndani akadhamiria kuwaingilia mle bafuni ili aweze kuwaumbua.
Akasogea hadi katika mlango wa bafuni, hakuwa na shaka kabisa kwamba walikuwa ni watu wawili wakila uroda kwa raha zao.
Mshawawasha kama siyo kilarularu kikaanza kumsumbua naye wazimu ukampanda kabisa, ukataka kujumuika katika gemu lile bila ya kuwajua wachezaji ni akina nani.

POROMOKA NAYO…
Mtu aliyekuwa akifuatilia sauti hizo hakuwa mwingine zaidi ya Mwamvita ambaye alikuwa amehaha kutaka kujua mahali alipokuwa Eddy kwa wakati huo.
Alichungulia chumbani kwake, akaona taa ilikuwa ikiwaka lakini hakukuwa na dalili za uwepo wake, aliporidhika akaendelea na uchunguzi wake katika chumba cha Rehema nako akaambulia patupu.
Kwa kuwa alikuwa na uhakika kwamba Eddy alikuwa amerudi akasogea hadi katika chumba cha Queen ili kuhakikisha kama alikuwemo humo.
Alipopata jibu kwamba hakuwemo, akatoka hadi uwani ambako aliingia hadi msalani ili kuhakikisha kama Eddy alikuwa huko.
Akiwa msalani ndipo alipoweza kusikia mtu akimwaga maji bafuni, hapo akaamini kwamba mwanaume huyo alikuwa akioga.
Aliporidhika akawa hataki kutoka uwani, akawa anarandaranda ili aweze kumnasa Eddy kwa kuongea naye papohapo lakini alikaa kwa muda mrefu bila ya kuona dalili ya mtu kutoka bafuni.
"Kwa nini hatoki, mbona amechukua kitambo kirefu sana," aliwaza.
Akiwa anamfikiria mwanaume huyo ndipo alianza kupatwa na wasiwasi kama kule bafuni kulikuwa na usalama wa kutosha, akasogea na ghafla akasikia sauti za watu wakiwa wanapiga shoo.
Hakuweza kuamini mara moja, akaamini kuwa labda kulikuwa na mtu ambaye alikuwa akijichua peke yake lakini hilo lililkuwa gumu kuliamini kadiri alivyokuwa akisogea na kuzifuatilia sauti zilizokuwa zikitoka bafuni.
Akaamini kabisa kwamba kulikuwa na watu wawili, tena wenye jinsia tofauti.

***
Stimu zilikuwa zimewapanda, Eddy na Pat walikuwa katika harakati za kutafuta kilele cha mlima na kila mmoja alikuwa ameongeza spidi zake ili kuwahi kufika kwenye kilele hicho.
Kelele zao zikazidi kuongezeka, walikuwa hawana habari kama kulikuwa na mtu aliyekuwa akikaribia kuwaharibia zoezi lao hilo.

***
Ndipo Mwamvita alipoanza kunyata na kuzifuata kelele hizo ili aweze kubaini kama kweli zilikuwa zikitoka bafuni mle.
Akaufikia mlango wa bafu. Jinsi ya kuufungua mlango wa bafuni kwa mtu aliyekuwa akiujua vyema haikuwa ngumu hata kama mtu huyo alikuwa nje ya bafu hilo.
Ilikuwa ni kazi rahisi sana kwa Mwamvita, kwa kuwa bafu hilo halikuwa limeezekwa kwa juu, hivyo aliingiza mkono wake usawa wa mlango na kuupachua msumari uliokuwa umeuzuia mlango.
Kwa kuwa alikuwa ni mzoefu wa bafu hilo, alijua sehemu ya msumari huo ulipokuwa, hivyo akaupachua na kisha kujitoma ndani.
Alipoingia tu, aliwaona Eddy na Pat wakiwa katika raha zao, kwa msaada wa mwangaza wa mbalamwezi iliyokuwa ikiwaka wakati huo.
Hamadi! Eddy na Pat walishtuka mtu akiingia bafuni humo wakati wakiwa katikati ya starehe.
Mwamvita hakusema kitu alibaki akiwaangalia wawili hao kwa muda huku nao wakisitisha kile walichokuwa wakikifanya.
"Ahiii jamaniiii…" alisema Mwamvita katika hali ya kupagawa na kutawaliwa na kilaruralu.
Pat alijibaraguza na kumwangalia Mwamvita, akawa anajiweka sawa huku uso wake ukionekana kusawajika kwa aibu kutokana na kufanyiwa fumanizi lisilotarajiwa.
"Mnafanya nini huku?" Mwamvita alizungumza kwa sauti ndogo akijifanya kama vile hakuwa akijua kile kilichokuwa kikiendelea.
Hakuna aliyempa jibu, wote walikuwa kimya wakiangaliana kwa staili ya kila mmoja akimtaka mwenzake ndiye azungumze kile walichokuwa wakikifanya.
Kwa upande wake, Eddy alichanganyikiwa zaidi akaona bwawa limeshaingia ruba, akahisi aibu kwa vile alijua tukio lile lingezua gumzo lingine katika nyumba ile.
Akakumbuka makubaliano yake na Queen kwamba asishiriki tendo la ngono na mwanamke mwingine ndani ya nyumba, akajisikia vibaya kwa kuwa safari hii stori itakuwa kubwa kwa kuwa amenaswa bafuni.
"Mnafanya nini?" Mwamvita alirudia kuuliza huku akiwasogelea na kuwaangalia kwa zamu.
Hofu kubwa haikuwa kwa kuwa wamekutwa wakifanya tendo hilo tu lakini kukutwa na mtoto wa mwenye nyumba ilikuwa ni soo kubwa zaidi.
"Mi nilikuwa naogaa… ndiyo…… Eddy akaingia…" aliongopa Pat kwa aibu huku akitaka kutafuta nguo zake ili aweze kujistiri.
"Hapana … haikuwa hivyo…," Eddy naye alisema.
"Sikieni, sitaki kusikia utetezi wenu, nataka muendelee kufanya kile mlichokuwa mkikifanya la sivyo nitawajazia watu…" Mwamvita aliwapiga mkwara na kumzuia Pat kuvaa nguo zake.
Eddy na Pat waliangaliana tena na kuona kwamba itakuwa ni vigumu kuendelea na zoezi hilo mbele ya mtu mwingine ambaye hakuwepo wakati walipokuwa wakianza kupiga shoo yao.
Mwamvita alishayasoma mawazo yao na kukazia wazo lake la kuwataka wawili hao waendelee pale walipoishia.
"Itakuwa vigumu…" alisema Eddy.
"Hakuna ugumu wowote… sasa hivi nawataka muendelee na miye nitakuwa mwamuzi wa pambano lenu ninawahakikishia kwamba sitamwambia mtu," alisema.
"Haya…" Pat alikubali.
"Tafadhali sitaki ujanja wowote na kama mtashindwa kufanya hivyo, nitapiga kelele na kuwaita watu…" Mwamvita alizidi kuwatisha.
Eddy na Pat hawakuwa na ujanja, ikawabidi kurudia kile walichokuwa wakikifanya awali ingawaje hawakuwa katika hisia zilezile za mwanzo.
Wazimu wao ulikuwa umeshakatika, hawakuwa na wazimu kama ule wa mwanzo kabisa, ikawabidi wafanya ili mradi kama alivyokuwa akitaka Mwamvita.
Wakajaribu kurudia mtindo uleule, lakini nyoka wa Eddy aligoma kabisa, hakuwa na nguvu, alikuwa ameshalala doro na kukosa nguvu yake.
Mwamvita akawataka waaanzie kwa kupashana miili yao moto ili kuweza kuvuta msisimko upya kwa shingo upande wakafanya hivyo.
Bado, nyoka wa Eddy hakuwa na nguvu, ndipo msichana huyo aliyekuwa amesimama kando yao akachukua jukumu la kumsaidia Pat ili aweze kufanikiwa kumshtua Eddy aweze kurudi sawasawa.
Mwamvita aliishika ‘maiki' ya Eddy na kuanza kurap kama mwimbaji wa nyimbo za kufokafoka. Kwa mbali hisia za Eddy zikaanza kurejea.
Nyoka wake akaanza kusisimka na kurudia katika hali yake ya kawaida baada ya hofu kumtoka akilini mwake, akaona kuwa mtu aliyewakuta wakiduu alikuwa upande wao.
Hata Pat, akarejea katika hali ya kawaida, akamwomba Mwamvita ampishe ili aendelee kutoka pale alipoishia, ndipo walipoweza kufanya kile walichokuwa wakikifanya mwanzo huku Mwamvita akishuhudia.


Nini kiliendelea? Usikose kufuatilia Alkhamisi ijayo.............
 
salute mkuu,,,
dooooh thread moja una like zakutosha ambazo mimi nimepata since i joined umu almost 3years ago..
WADAUU....embu namimi nipeni like kwenye hii comment for no special reason:amen::amen::amen::amen::amen:
 
[h=1]Majanga Mbona Majangaaa! -32-[/h]
ILIPOISHIA wiki iliyopita
‘Nyoka' wake akaanza kusisimka na kurudia katika hali yake ya kawaida baada ya hofu kumtoka akilini mwake, akaona kuwa mtu aliyewakuta wakiduu alikuwa upande wao.

Hata Pat, akarejea katika hali ya kawaida, akamwomba Mwamvita ampishe ili aendelee kutoka pale alipoishia, ndipo alipoweza kufanya kile alichokuwa akikifanya mwanzo huku Mwamvita akishuhudia.
SASA POROMOKA NAYO…
Kila kitu kikawa kinakwenda sawasawa, Eddy hakuwa tena na hofu hali kadhalika kwa Pat, gemu likaendelea chini ya usimamizi wa mwamuzi kama siyo refarii Mwamvita aliyekuwa akishuhudia wawili hao wakicheza mechi bila ya kuvaa jezi.
Mwendo ukawa mdundo, hakuna kati yao aliyekuwa akimwogopa tena Mwamvita ambaye awali walikuwa wakimuona kama adui kutokana na kuwabamba wakiwa wanapiga shoo isiyoruhusiwa.

Eddy na Pat walimuona msichana huyo kama mwenzao kwa kuwa aliwapa wazo la kushirikiana nao katika kufanikisha kile walichokuwa wakikifanya ili kuzifurahisha nafsi zao.
Kama ni muziki ulikuwa umekolea na kama ni chombezo lilikuwa limetulia kila kitu kilikuwa ni burudani, raha ndani ya roho.
Pat alikuwa akitoa ushirikiano wa hali ya juu huku akionesha juhudi zake zote tofauti na awali alipoanza zoezi hilo na Eddy.

Kisa cha kufanya hivyo kilikuwa ni kumuonesha Mwamvita kwamba alikuwa fiti katika masuala ya kupiga shoo na hakuwa mtu wa kuburuzwa kama wengine walivyokuwa wakidhani.
Akilini mwake Pat alijua kuwa kama angeonesha ugoigoi katika kupiga shoo hiyo huku Mwamvita akishuhudia ugoigoi wake, basi hali hiyo ingekuwa na madhara kwake kwa njia moja ama nyingine.

Alikuwa akifanya hivyo huku akizingatia kwamba siku zote maisha yana pande mbili, kupatana na kukosa kwani kuna leo na kesho na binadamu anayajua ya leo hayajui ya kesho.
Alijua kwamba kwa wakati huo alikuwa akipatana na Mwamvita lakini kama siku wakitokea kukosana, msichana huyo atamtolea udhaifu wake hadharani.

"Ngoja nimuoneshe ufundi wangu ili tukikosana asije kuninanga mbele za watu," aliwaza Pat wakati akiwa mzigoni.
Msichana huyo hakutaka kuonekana mzembe ndani ya mchezo huo ambao siku zote ufundi wake ulikuwa ukitegemea jitihada za mchezaji mmoja mmoja.
Mwamvita hakubaki nyuma akawa anamzidishia Pat moto kwa kumshika nido zake huku akizipikicha na wakati mwingine alikuwa akimpetipeti kila pale alipohisi kwamba panaweza kumpandisha mori.

Kweli wazimu ulimpanda, Pat akawa anapanda na kushuka kwa kasi ili kukamilisha jukumu alilokuwa akilifanya na Eddy.
Alikuwa kama yuko vitani, jasho lilimvuja kama siyo kumchuruzika kila pande za mwili wake. Maishani mwake hakuwahi kupania shoo lakini ilimbidi kupania hiyo ili kuweza kulinda heshima yake.

Muziki wake ulikuwa mkubwa, kwani baada ya muda utamu ukakolea zaidi na zaidi, Pat akaanza kuuvutavuta mwili wake na kama vile haitoshi akaanza kupiga kelele huku mwili wake ukisisimka kutokana na hisia zake kupanda maradufu.
Hali hiyo ilimfanya Mwamvita kuwa na kazi ya ziada ya kumtuliza ili kelele zake zisiweze kuvuka mipaka na kuwashtua watu wengine nje ya sehemu hiyo.

Mwamvita alipoona Pat alikuwa akizidisha kupiga kelele akajua kuwa alikuwa akitaka kufikia kwenye kilele cha mlima, hivyo akaongeza jitihada za kumsaidia ili afike kwa raha zake.
Pia, Mwamvita akawa na jukumu lingine la kumziba mdomo Pat kwa kutumia mikono yake ili kuzizuia kelele zake zisiweze kuharibu mambo.
Kwa kufanya hivyo, Mwamvita alifanikiwa kiasi kuzipunguza kelele hizo na kuzifanya zishindwe kufika mbali ingawa wao waliendelea kuzisikia kelele hizo.
Hiyo ilitokana na Pat kuunguruma kama paka aliyekuwa ametoa makucha kumkamata panya aliyekuwa akitaka kuponyoka ili kusalimisha maisha yake.

Hatua ya mwisho ilifika pale, Pat alipozidisha spidi na kutoa meno yake kiasi cha kumng'ata Mwamvita na kisha kuishiwa nguvu na kulegea kama siyo kutepeta kabisa.
Hakufanya hivyo kwa hiari yake bali ni kutokana na kuzidiwa na msukumo wa damu mwilini mwake na kumfanya ajiachie na kujikuta akilazimika kujifunga goli hilo.
Lilikuwa ni goli maridadi lililozidi kumfanya Eddy kuzidisha spidi ili naye aweze kufika juu ya kilele alichokifikia mwenzake.
Haikuchukua muda kijana huyo naye akafuata nyayo za Teddy na kufunga bao kwa kasi ya ajabu.

***
Mara baada ya kukamilisha furaha yake, Eddy alijikuta akivamiwa tena na Mwamvita naye akitaka waingie msambweni.
Eddy hakuwa na budi, kwa shingo upande akawa analazimika kumpa huduma hiyo Mwamvita.
Moyoni mwake alisema: "Kama janga haya sasa ni majanga…" kwa kuwa alikuwa amechoka na alihitaji kuvuta pumzi ili apate nguvu mpya.

Hata hivyo, aliogopa kugoma kutoa huduma hiyo kwa Mwamvita kwa kuhofia kile alichokuwa akikihofia mwanzo wakati msichana huyo alipowakuta yeye na Pat wakicheza segere.
Kwa upande wake, Mwamvita hakujali kama Eddy alikuwa amechoka ama la, kwani naye shetani wake alikuwa ameshampanda na alikuwa akihitaji kitu kimoja tu, kupungwa.

Mwamvita alijua jinsi ya kumrudisha mchezoni Eddy, alimpetipeti kwa dakika kadhaa kisha damu ya kijana huyo ikachemka na mwili wake ukasisimka na kumfanya nyoka wake atutumke na kutaka kummeza chura.
Ulipofika wakati wa nyoka kupewa chakula chake , Mwamvita hakuwa na budi kumruhusu Eddy kuingia katika himaya yake.

Wakati zoezi hilo la Eddy na Mwamvita likiendelea,Pat alikuwa ameshapata nguvu na kugeuka kuangalia kile kilichokuwa kikiendelea kati ya Eddy na Mwamvita, akakumbuka ukarimu wa Mwamvita.
Naye akawa anamsaidia msichana huyo kwa kumpetipeti kama vile alivyokuwa akimfanyia yeye wakati alipokuwa msambweni na Eddy.

***
Wakati huo Rehema alikuwa akitaka kujua sehemu alipokuwa Eddy. Alifanya hivyo baada ya kumuona mwanaume wa Queen ambaye alikuwa amefika muda huo na kuingia chumbani kwa msichana huyo.

Lengo la Rehema lilikuwa ni kutaka kumuonesha Eddy kwamba msichana huyo alikuwa na jamaa yake ili kujihakikishia ushindi wa yeye kummiliki mwanaume huyo.

Itaendelea Jumapili ijayo..............
 
hehehe nyie wawili ndo wakina QUEEN NA REBECCA WETU WA JF...

hehehe msigombane EDDY WEnu MZIZIMKAVU YUPO
 
Kitakachofata huyo dogo atamla mama mwenye nyumba,atakula kuku,mayai yake na vifaranga vyake hatari ikitokea mmoja hapo anamdonde watapukutika balaa maana kwa mujibu wa matukio inaonekana dawa ya penzi haina nafasi wala haikumbukwi
 
Inaonyesha dogo anatumia viagra, anyway nadhan mwisho wa cku wasichana wote watakuwa na mimba kwani jamaa anapiga live
 
Back
Top Bottom