Mbona Majanga

Mbona Majanga

“MAJANGAAA, jamani mbona Majangaaa!” alisema Eddy kimoyomoyo wakati alipotoka nje na kukutana na wasichana hao kibao wakiwa wamejipanga uwani kwa ajili ya kusubiri kwenda kuoga.
“Samahani kaka naomba sabuni…” alisema yule msichana wa kwanza aliyewawahi wenzake kwenda msalani akimwambia Eddy.

“Bila wasiwasi,” Eddy alisema na kumkabidhi binti huyo sabuni yake ya kuogea.
“Daa! Unaanza kujipendekeza kwa mgeni,” alisema msichana mwingine na kuwafanya wengine nao waongeze maneno yao kedekede ambayo hata hivyo binti yule hakuyajali.
NINI KILIENDELEA? POROMOKA NAYO…


Baada ya muda binti yule alitoka bafuni na kwenda moja kwa moja kumrudishia Eddy sabuni yake, alipofika usawa wa chumba cha kijana huyo, Irene alikuwa na kusudio moja tu, kutaka kumshawishi ili awe wake hata kabla msichana yeyote anayeishi ndani ya nyumba hiyo hajamnasa.
Alitaka kutumia ushawishi wake kumnasa mwanaume huyo ambaye alikuwa amemvutia kutokana na urefu wake na umbile lake la kimazoezi.
Aliamini kabisa kwamba yeye ndiye aliyekuwa akiendana na mwanaume huyo tofauti na msichana mwingine aliyepanga pamoja na watoto wa baba mwenye nyumba.
Tangu akiwa anamuomba sabuni, msichana huyo alikuwa ameshajua jinsi alivyoutega mtego wake wa kumnasa kijana huyo.
Alitoka msalani akiwa amevaa kanga moja iliyokuwa ameilowanisha maji na kujaribu kujitingisha kwa mwendo wake wa madaha, moja kwa moja akawapita wasichana wengine waliokuwa wakigombea nafasi ya kwenda kuoga baada ya yeye kutoka.
Alitembea kwa mwendo huo uliojaa uchokozi na kisha kuusogelea mlango wa chumba cha Eddy, bila ya kubisha hodi akaufungua kidogo na kuchungulia, wakati huo macho yake alikuwa ameyaachia kwa kuyalegeza na kuyafanya kama yatake kudondoka.
“Kaka samahani sabuni yako hii…” alisema akiwa ameuingiza uso wake ndani ya chumba cha Eddy aliyekuwa akivaa kwa ajili ya kujiandaa kutoka.
Eddy alishtuka na kumfanya binti huyo naye kujidai kumuomba radhi kwa kitendo alichokuwa amekifanya lakini wakati akifanya hivyo, tayari mwili wake wote ulishakuwa ndani ya chumba cha kijana huyo.
“Naitwa Irene…” alisema huku akionekana kukikagua chumba kile kama vile alikuwa ametumwa kwa ajili ya kufanya kazi ya ukaguzi.
Eddy alikohoa kidogo kutoa kikohozi kikavu kisha akamjibu:
“Miye naitwa Eddy au Eddyson Manyara,” wakati huo kijana huyo alikuwa akichomekea shati lake.
“Oooh oooh jina zuri sana… naona ndiyo unaanza maisha?” alisema Irene akiwa anamwangalia Eddy baada ya kukagua chumba hicho na kukiona kila kilichokuwemo ndani yake.
“Eeehe, nimeamua kuondoka kwa wazazi na kuishi peke yangu ili kujipanga zaidi,” Eddy alisema kwa aibu.
“Kwa hiyo umekuja kwa walimu tukufunze maisha?”
“Sijakuelewa…?” alihoji Eddy.
“ Siku zote Waswahili husema anayeshindwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, siye ndiyo walimwengu wenyewe… karibu sana na jisikie kama uko nyumbani kwa wazazi wako.”
“Aaah aaah…” Eddy alicheka na kuendelea kuvaa shati lake tayari kwa kutoka nje ya chumba chake na kwenda kwenye mihangaiko yake.
“Unafanya kazi?” Irene alimuuliza Eddy.
“Yaa, nafanya kazi…”
“Sawasawa karibu sana…” alisema Irene huku akifungua mlango na kutoka nje kwa madaha, akijitahidi kuutingisha mwili wake.
Wakati Irene akitoa mguu wake nje ya chumba hicho ghafla alipoinua uso wake kuangalia mbele akakutana uso kwa uso na Rehema akiwa anapita kwa ajili ya kwenda uwani.
Rehema hakuonekana kumchangamkia Irene ambaye ndiyo kwanza walikuwa wakionana tangu kulipopambazuka siku hiyo.
“Za asubuhi dada?” alisema Irene kumwamkia Rehema kwa haraka huku akichekacheka lakini salamu yake haikuitikiwa, akabaki ameduwaa.
Rehema alimpiga jicho kali Irene kwa kumshusha na kumpandisha kisha akaenda zake uwani hali iliyomfanya Irene kufadhaika, moja kwa moja akajua kuwa ameingia kwenye vita na malkia wa nyumba hiyo.
Irene alijaribu kufikiria ni nini kimetokea kati yake na Rehema lakini hakuambua kitu. Alifikiria labda jana yake alikuwa amemkosea, pia hakukumbuka kutokea kitu kama hicho.
“Hivi huyu brother men anaweza kuwa chanzo?” alijiuliza akimfikiria Eddy....

#Itaendelea ...

MziziMkavu- wape next episode, kisha nami ntawapa inayofuata,,, Tunasaidiana majukumu au siyo??????... 1love:
 
Last edited by a moderator:
Rehema alimpiga jicho kali Irene kwa kumshusha na kumpanisha kisha akaenda zake kuelekea uwani hali iliyomfanya Irene kufadhaika, moja kwa moja akajua kuwa ameingia kwenye vita na malkia wa nyumba hiyo.
Irene alijaribu kufikiria ni nini kimetokea kati yake na Rehema lakini hakuambua kitu. Alifikiria labda jana yake alikuwa amemkosea, pia hakukumbuka kutokea kitu kama hicho.
“Hivi huyu brother men anaweza kuwa chanzo?” alijiuliza akimfikiria Eddy.
NINI KILIENDELEA? POROMOKA NAYO…

Irene akiwa katika mawazo hayo akasema kama kweli chanzo ni huyo kijana, basi atahakikisha kwamba anakula naye sahani moja ili kuzidi kumvimbisha mashavu Rehema.
“Malkia malkia… wala sitajali kama ni malkia wa nini, watu tumewaona mamalkia wa maana atakuwa yeye malkia wa vichochoroni,” alisema Irene na kisha akaachia msonyo wa nguvu uliosikika hadi nyumba ya pili.
Wakati huo alikuwa ameshaingia chumbani kwake na kuanza kujikwatua kwa kuupara uso wake kwa mapambo ya kila aina ambayo yalipaswa kuingia usoni pake.
Wakati akiendelea kujipamba kila dakika ilivyokatika ndivyo alivyokuwa akikikumbuka kitendo alichofanyiwa na Rehema.
Alikasirika sana kuona anamsalimia halafu anamvimbishia mashavu bila ya kujua sababu, kila alivyokumbuka kitendo hicho aliachia msonyo na kuendelea na shughuli zake.
“Asubuhi asubuhi mtu anakuharibia siku,” alijisemea peke yake Irene wakati akijiangalia kwenye kioo kisha akaachia msonyo mwingine.
****
Kwa upande wake, Rehema roho yake ilikuwa imemchafuka, ikimchonyota kwa kumuona Irene akitoka chumbani kwa Eddy, moja kwa moja akajua kuwa wawili hao watakuwa wamelimenya tunda la mwituni asubuhiasubuhi.
“Haiwezekani lazima watakuwa wamepeana kile kitu roho inapenda, iweje atoke chumbani kwake asubuhi yote hii?” alijihoji na kukosa jibu la uhakika.
Rehema alikuwa amechukia kwelikweli na moyo wake ulimuuma kwa kuona kwamba Irene anaanza kuwa na uhusiano na mwanamme huyo mgeni kabla yake.
“Atakuwa ameingia asubuhi ileile au atakuwa amelala chumbani kwake?” alijiuliza tena Rehema huku donge likiwa limemnasa rohoni mwake.
“Yaani atakuwa ameshanizidi kete?” aliwaza Rehema ambaye aliamini kabisa kwamba mitego aliyomtega Eddy siku ya kwanza ilikuwa ni lazima amnase kwanza kabla ya kinyangaratika kingine ndani ya nyumba yao.
****
Kwa upande wake Eddy ambaye alitoka baada ya kujipulizia utuli uliouteka ukumbi wa nyumba hiyo, alikwenda moja kwa moja kwenye shughuli zake kubaingiza, kwa kuwa bado hakuwa na kazi ya kufanya.
Alikuwa akifanya kazi yoyote ambayo aliamini kuwa ingeweza kumwingizia kipato.
Siku hiyo alikwenda moja kwa moja hadi kijiweni kwake maeneo ya Kariakoo ambako vijana wengi hukutana na kuuza maneno kwa watu wengine ili wapate chochote kitu.
Moyoni mwake Eddy hakuwa salama hata kidogo, kwa kuwa vitendo viwili vilikuwa vikimchanganya akili yake kwani moyo wake ulikuwa ukiripuka kila alipokuwa akikumbuka jinsi alivyomuona Rehema akisugua kisigino chake ilhali amevaa khanga moja iliyokuwa imelowana sehemu za makalioni.
Moyo ukitulia unaripuka tena kwa kitendo cha Irene kuingia chumbani kwake akiwa na khanga moja ambayo nayo ikiwa imelowana, Eddy alivuta taswira za mabinti hao wawili na kubaki akiwa hana la kufanya.
“Kila mmoja ana uzuri wake…” Eddy aliambia nafsi yake na kubaki na dukuduku moyoni mwake. Mpaka wakati huo hakuwa akijua kama amesababisha songombingo kati ya wasichana wawili hao.
Hilo hakulijua kwa kuwa hakuliona wakati likitokea, kwa sababu alikuwa chumbani kwake, laiti kama angeliona angejua cha kufanya, asingekuwa na budi kuchagua upande mmoja.
Lakini moyo wa Eddy ni kama wa wanaume wengine, haukulidhika na mmoja, unataka kumi na moja kwa kutaka kuonja kila sehemu ili kujua radha yake.
Eddy alikuwa akitaka kujua utamu wa Rehema lakini pia alikuwa akitaka kujua utamu wa Irene kwa kuwa damu yake ilikuwa ikichemka, kikubwa alikuwa akijiuliza itawezekanaje ndani ya nyumba moja!
Hilo ndilo lililokuwa likimitia mashaka, vinginevyo alikuwa akiwataka mpaka wengine waliokuwa wakiishi ndani ya nyumba ile kwani aliamini kuwa kila mti una tunda lake na kila tunda lina utamu wake.
Eddy alikwenda mjini na kuzugazuga kwa jamaa zake maeneo ya Shule ya Uhuru Karikooo, huko alikutana na marafiki zake Spider au Raha na John Tupatupa na kuongea nao kile kilichomkuta katika nyumba ile aliyohamia.
“Hapo lazima ucheze kama Pele lakini kwa jinsi unavyonihadithia kitu hapo ni Rehema…” alisema Raha.
“Mmmh mwana usipepese macho wala kuuma meno, hapo kitu ni Irene…” aliongeza John Tupatupa ambaye alimlaumu Eddy kwa nini hakumaliza mchezo wakati mzigo ulipoingia chumbani.
“Washikaji sasa mnanichanganya… niacheni nitumie akili yangu,” Eddy aliwaambia baada ya kuona kila mmoja akiwa na mtazamo wake kuhusiana na mabinti hao.
****
Rehema hakuwa ameridhika, alipofika uwani alipishwa kwenda msalani na mabinti waliokuwa katika foleni kwa kuwa yeye ni malkia wa nyumba hiyo.
Akaoga na kumaliza haja zake muhimu, kama kawaida alipotoka alisugua miguu yake huku akiwa na hamu ya kutaka kujua Irene aliingiaje chumbani kwa Eddy.
Alipomaliza shughuli zake akamchukua mmoja wa mabinti waliokuwa wakisubiri kwenda kuoga na kumwambia amfuate chumbani kwake.
Binti akajua labda ametafutiwa mtu wa kuduu naye, akawa na wasiwasi wakati alipokuwa akiambiwa kuingia chumbani kwa malkia.
“Usiogope kaa hapo kwenye sofa…” alisema na binti akiwa na wasiwasi akaketi.
“Ulimuona Irene leo?”
“Ndi… ndi- yoooo, nilimuona dada…”
“Ulimuona wakati gani?”
“Alipokuwa akitoka kuoga…”
“Hukumuona alipoingia chumbani kwa yule mgeni…?”
“Wala sikumuona lakini kama aliingia atakuwa alikwenda kumrudishia sabuni yake…”
“Kwani alichukua sabuni kwake?”
“Eeeh wakati akiwa anatoka kuoga yule mkaka, dada Irene akamuomba sabuni ya kuogea…” alisema binti yule na kuifanya roho ya Rehema kuanza kupona kidonda cha wivu kilichokuwa kikimkereketa.
“Oke nenda, usimwambie yeyote nilichokuuliza.”
“Sawa.”
Baada ya binti yule kutoka nje, Rehema alifurahi sana, akajua kuwa Irene hakuwa ameambulia kitu. Akafurahi na kujitupa kitandani na kukumbatia mito....
itaendelea soon.....

KAZI IMENISHINDA... MziziMkavu, SONGA NAYO..
 
Last edited by a moderator:
Naomba niwawekee mpaka ilipofikia kama hamtojali!!!!!!!! #mzizimkavu upo?
Mkuu MR. CONFIDENT Zipo hadithi nyingi tu nzuri lakini wewe unaiharibu hadithi jinsi inavyokwenda. Ningelikushauri na wewe uweke Thread mpya ya hadithi mojawapo unazozipenda kuliko kuichanganya hii hadithi yangu samahani kama nitakukwaza.
 
Last edited by a moderator:
Majangaaa Mbona Majangaaa! - 7-


ILIPOISHIA JUMAMOSI
Wakati yote hayo yakitendeka Irene alikuwa amekaa chumbani mwake akiwa anapanga mikakati ya kumnasa Eddy ili kumdhihirishia Rehema kwamba yeye ni kiboko zaidi yake.
Akiwa amejilaza kitandani kwake ghafla mlango wake ulifunguliwa akaingia mdogo wake Patricia akionekana kama alikuwa na ujumbe mahususi kwa ajili ya dada yake.
“Vipi?”
“Dada nimekuja…”


“Kwa heri au kwa shari…”
“Kwa kweli sijui kama ni kwa heri au kwa shari.”
“Kwa nini?”
“Nataka nikwambie kitu cha ajabu nilichokiona…”
“Kitu gani?”
“Ni kuhusu dada Rehema na yule mgeni wa chumba…” Patricia aliposema hivyo, kwa kasi ya ajabu Irene aliinuka kutoka katika kitanda na kujikuta amekaa katika tendegu.
POROMOKA NAYO


“Wamefanya nini?”
“Tulia nikupe habari…” alisema Patricia baada ya kugundua dada yake ameshtushwa na kauli yake kuhusu Eddy na Rehema.
“Wamefanya nini?”
Patricia akaanza kumpa mkanda mzima, kwanza alianza kumwambia eneo alilokuwa amekaa.
“Nilikuwa nimekaa nyumba ya jirani pamoja na akina Edna, Jack na Amina…” alianza kuhadithia Patricia.
Kisha Patricia akamwambia dada yake jinsi Eddy alivyopokelewa na Rehema kisha akamwambia kwamba na wenzake wakaamua kuufuatilia mchezo mzima ulivyokuwa ukiendelea.
Kama vile haitoshi akasema wenzake walivyoshindwa kuendelea, yeye alifuatilia na kushuhudia vituko vyote alivyokuwa akifanyiwa Eddy na Rehema hadi akashuhudia wawili hao walipokuwa wakiingia katika chumba cha Rehema.
Hivyo, akatumia fursa hiyo kumwabarisha dada yake kila kitu alichokishuhudia.
“Unasema kweli?”
“Kweli dada…”
“Haiwezekani…” alisema Irene na kuinuka, akachukua khanga yake na kujifunga kiunoni na kutoka chumbani humo kama mshale huku Patricia au Pat akimfuata kwa nyuma.
“Unaenda wapi dada?” Pat alimuuliza.
“Nifuate huku…” alisema Irene huku akielekea upande wa uwani, kitu ambacho kilimshangaza Pat kwa kuwa alijua dada yake angeweza kwenda kugonga mlango wa Rehema na kumuulizia kama Eddy alikuwa chumbani humo.
Moja kwa moja Irene alitokea uwani, Pat hakuwa na budi kumfuata, Irene alipofika uwani akakata kulia na baada ya mwendo mbele kidogo akakata tena kulia, akawa analifuata dirisha la Rehema.
Hapo ndipo Pat alipofunguka kimawazo kwa kujua kuwa dada yake alikuwa akienda kuchungulia dirishani ili kuthibitisha kama kweli yule mgeni alikuwa mle chumbani.
Baada ya kuhisi hivyo, Pat alipunguza mwendo kwa kuamini kuwa dada yake atashuhudia mwenyewe kile alichomwambia, alihisi dada yake hakuwa akiamini maneno ya kuambiwa bali alikuwa akitaka kushuhudia mwenyewe.
Wakati Pat akiwaza hivyo, Irene alishachukua kijiti kilichokuwa pembeni na kuanza kupekenyua dirisha la Rehema kwa kulisogeza pazia pembeni, akaruhusu mboni zake zipenye na kuchungulia ndani.
“Ah!” aliachia mshtuko mdogo baada ya kushuhudia kile kilichokuwa kikiendelea ndani. Aliwaona kwa macho yake Rehema na Eddy wakiwa katika mazingira tata.
Eddy alikuwa amekaa kwenye kochi, Rehema alikuwa ameinama mbele yake akiwa amepiga magoti, hilo halikumshtua Irene bali alishangazwa na kitendo kile kilichokuwa kikiendelea kati ya wawili hao.
Mbali na Rehema kupiga magoti mbele ya Eddy lakini kitendo kilichokuwa kikiendelea ndicho kilichomshtua na kumfanya mapigo yake ya moyo yaongeze kasi, Rehema hakuwa ameinama bure bali alikuwa akiumenya ‘mua’ wa Eddy kwa mdomo.
Irene akaganda pale dirishani akitumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango huku akimshuhudia mwenzake alivyokuwa akionesha ufundi wa kuumenya mua kwa mdomo.
Akiwa dirishani, mate yakamjaa mdomoni akayameza funda moja kama mtu aliyekuwa akitafuta kitu cha kufanya lakini hakuweza kufanya chochote, ndani ya nafsi yake akakiri kwamba anatakiwa kujipanga vyema ili kushindana na Rehema.
Alikiri uwezo wa mwanamke mwenzake huyo ulikuwa mkubwa katika kumpagawisha mwanaume baada ya kushuhudia tukio lile, wakati Irene akiendelea kuchungulia, Pat naye akapiga hatua kumfuata pale dirishani.
Irene alihamisha macho na kumwangalia kisha akamuonya kwa ishara ya kuweka kidole cha shahada mdomoni mwake akimtaka kuchukua tahadhari kutokana na hatua zake ili asipige kelele.


Jamani utamu unazidi hamu, tukutane Jumapili ijayo....................
 
[h=1]Majangaaa Mbona Majangaaa! - 8-[/h]
Akiwa dirishani, mate yakamjaa mdomoni akayameza funda moja kama mtu aliyekuwa akitafuta kitu cha kufanya lakini hakuweza kufanya chochote, ndani ya nafsi yake akakiri kwamba anatakiwa kujipanga vyema ili kushindana na Rehema.

Alikiri uwezo wa mwanamke mwenzake huyo ulikuwa mkubwa katika kumpagawisha mwanaume baada ya kushuhudia tukio lile, wakati Irene akiendelea kuchungulia, Pat naye akapiga hatua kumfuata pale dirishani.
Irene alihamisha macho na kumwangalia kisha akamuonya kwa ishara ya kuweka kidole cha shahada mdomoni mwake akimtaka kuchukua tahadhari kutokana na hatua zake ili asipige kelele.
SASA POROMOKA NAYO…

IRENE aliporudisha macho kuangalia chumbani akakuta zoezi limebadilika, safari hii ilikuwa ni zamu ya Eddy kufanya kitendo kile alichokuwa akikifanya Irene.
Kijana huyo alikuwa amempisha Rehema kwenye kochi na msichana huyo akaulaza mgongo wake kwenye kochi hilo na kuachia vimbwanga vyake vyote hadharani.
Eddy alikuwa amepiga magoti mbele yake na kufanya kama alivyokuwa akifanya Rehema, alikuwa anakula kitu roho inapenda, ulimi wake ulikuwa ukifanya kazi ya kupita na kusafisha kila pembe ya kile kitu ambacho kilimfanya Rehema apewe jina la Rehema na katu si jina la jinsi nyingine.
Ulimi wa Eddy ulikuwa kama una ufagio wenye msasa ambao ulikuwa ukipita kila kona na kusafisha uchafu wa aina zote.
Hali hiyo ilimfanya Rehema kuanza kulalamika kwa kupiga kelele ambazo zilimfanya Irene kusisimka na kutaka kujua hisia za Rehema.
Alitamani katika nafasi ile angekuwa yeye ili aweze kuona kile kilichokuwa kikimfanya alalamike kwa kupiga kelele.
Mbali na Irene, kelele zile pia zilimsisimua Pat ambaye kwa wakati huo alikuwa akishuhudia vitu adimu katika maisha yake.
Kitendo hicho hakikuwa kipya kwa Irene ambaye alikuwa ameshawahi kukisikia kwa watu ingawaje hakuwahi kuona kikifanyika.
Msichana huyo alishawahi kusikia baadhi ya wasichana wenzake wakizungumzia jambo hilo. Siku moja akiwa na wasichana hao walikuwa wakipiga stori zao za chumbani.
Kila msichana alikuwa akieleza uzoefu wake jinsi alivyokutana na mwenza wake na kumfikisha pale kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Afrika kama siyo duniani.
Hapo, ndipo Irene aliposikia kwamba kuna kitu kama hicho ambacho kila mmoja alikiita kwa jina lake, mmoja wa marafiki zake alikibatiza kwa jina la ‘special menu'.
"Yaani ukiliwa special menu unaweza kupagawa na kuwa mwendawazimu…" alisema rafiki huyo kumwambia Irene ambaye hakuwa akielewa vyema maana ya kitu hicho.
Hata alipoeleweshwa hakuamini kama kilikuwa kikiwezekana kwa kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kuweza kumwachia mtu wa jinsi nyingine aingie kwenye himaya yake na kufanya kitu kama kile.
Siyo kitendo hicho tu, Irene wa kipindi hicho alikuwa hawezi hata kumwachia mwanaume aiangalie ikulu yake, nini kuila kama peremende.
Hivyo siku hiyo ndiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kuona special menu ikiliwa.
Kwa upande wake Pat, hakuwa amesikia popote kama kulikuwa na kitu kama hicho, alikuwa mchanga sana katika fani ya mahaba. Ndiyo kwanza alikuwa akipevuka na kutaka kuingia katika dunia hiyo.
Mbali na kutojua kitu hicho kwa siku hiyo, alikuwa akishuhudia kwa mara ya kwanza kwa macho yake. Pat alishangaa sana na kujiuliza maswali mengi ambayo kichwa chake kilishindwa kuyajibu.
"Anamuuma?" alijiuliza.
"Anamla…?" lilikuwa swali lingine tena ambalo nalo halikupata jibu.
***
Ghafla mchezo ulibadilika tena na kuingia kwenye hatua nyingine, hali hiyo iliwapa wakati mgumu sana Irene na mdogo wake Pat.
Kwanza Irene alishangazwa na ‘chachandu' za Rehema ambazo zilikuwa zimefunika sehemu kubwa ya mwili wake.
Yeye hakuwa nayo hata moja, hapohapo aliapa kwamba lazima kabla jua la kesho yake halizajama aende Kariakoo na kutafuta zake.
Hakutaka mjadala katika hilo, aliamini kuwa amejifunza kitu na kwa kuwa alishaamua kuingia katika vita na Rehema, basi hakuwa na budi kujipanga ili kumkabili adui kwa nguvu zote.
Roho ilimuuma sana Irene, alitamani kulisimamisha pambano hilo lakini hakuwa na uwezo huo, ilimbidi kuangalia pambano hilo huku roho ikimuuma.
Rehema na Eddy wakaingia kwenye hatua nyingine ya kusaula viwalo vyao katika maungo na kuingia uwanjani kusakata kabumbu, hata hivyo uwanja uliotumika haukuwa ule wa kawaida.
Rehema na Eddy walikuwa wameamua kupiga shoo kwenye uwanja wa chandimu, hawakutaka kuingia kwenye dimba kubwa, waliamua kucheza gemu hilo kwenye uwanja mdogo wa fundi seremala yaani kwenye kochi huku wakiliacha dimba kubwa katika hali ya usalama.
Rehema na Eddy ni kama vile walikuwa wamepaniana, kila mmoja kama alikuwa akitaka kumuonesha mwenzake ufundi wa jinsi anavyojua kusakata kabumbu.

Nini kiliendelea? Usikonde mtu wangu tukutane Jumatano
 
[h=1]Majangaaa Mbona Majangaaa! - 9-[/h]
ILIPOISHIA JUMAMOSI
Rehema na Eddy wakaingia kwenye hatua nyingine ya kusaula viwalo vyao katika maungo na kuingia uwanjani kusakata kabumbu. Hata hivyo, uwanja uliotumika haukuwa ule wa kawaida.


Rehema na Eddy walikuwa wameamua kupiga shoo kwenye uwanja wa chandimu, hawakutaka kuingia kwenye dimba kubwa, waliamua kucheza gemu hilo kwenye uwanja mdogo wa fundi seremala yaani kwenye kochi huku wakiliacha dimba kubwa katika hali ya usalama.
Rehema na Eddy ni kama vile walikuwa wamepaniana kila mmoja alitaka kumuonesha mwenzake ufundi wa jinsi anavyojua kusakata kabumbu.
NINI KILIENDELEA? POROMOKA NAYO…

Kukamiana huku kuliwafanya kuhangaika na kubadili mitindo ndani ya muda mchache hali iliyowashangaza sana watazamaji ambao hawakuwa rasmi, Irene na Pat.
Safari hii walikuwa wakipiga shoo kwa mtindo maarufu uitwao Funika Kombe Mwanaharamu Apite, kweli ilikuwa ni balaa ndani ya balaa kwani kila mmoja alikuwa akihemea juu kwa kwa juu.
Jasho lilikuwa likiwavuja pamoja na hali ya hewa kuwa tulivu huku upepo mwanana ukivujisha hewa iliyojaa ubaridi mithili ya kiyoyozi.
Kama vile haitoshi pangaboi lililokuwa chumbani kwa Rehema lilikuwa likifanya kazi kwa namba ndogo lakini iliyotosha kutawanya hewa ndani ya chumba hicho.
Waliendelea ‘kuseguasegua' kwa mtindo wa Funika Kombe ambao kwa hakika ilikuwa ni vigumu kujua kama walikuwa wakila ‘wali kwa kuku' au walikuwa wanakula ‘ugali kwa bata' kutokana na mchezo wenyewe uliowalazimisha wawili hao kutazama upande mmoja.
Wote walikuwa wamekaa katika mwelekeo mmoja huku kila mmoja akiwajibika kwa kuonesha ufundi wake kutokana na mtindo huo. Irene alivuta pumzi ndefu kisha akazishusha kwa nguvu, hata hivyo wahusika hawakuweza kuzisikia.
Msichana huyo alikuwa amepagawa kutokana na shoo iliyokuwa ikipigwa na Eddy na Rehema, pamoja na kwamba alikuwa nje ya mchezo lakini alijikuta akichafua ‘kufuli' yake.
Ghafla, akiwa katika hali hiyo, kitu cha ajabu kikatokea, Pat alishindwa kuvumilia kutokana na kasi iliyokuwa ikioneshwa na wawili hao.
Msichana huyo akajikuta akipiga kelele ambayo iliwashtua Rehema na Eddy pamoja na Irene.
Hali hiyo iliwafanya Eddy na Rehema kusitisha shoo yao kwa kuwa sauti ile ilisikika karibu yao kabisa. Licha ya kushtuka, Irene kwa upande wake alifanya kitendo bila ya kuchelewa alichomoka kama mshale na kukimbilia uani.
Alipofika huko akaingia msalani ili kupoteza malengo kumhofia Rehema kama angetoka mle ndani asiweze kumuona wala kumhusisha na tukio alilolifanya Pat.
Pat naye baada ya kupagawa akazinduka na kuamua kutoka mbio kuondoka eneo lile. Hakuwa akijua ni wapi alipokuwa akikimbilia.
Baada ya Rehema na Eddy kusimamisha pambano lao wakawa wanajiuliza cha kufanya, wakasikilizia kama kelele ingejirudia tena lakini haikuwa hivyo.
Wakaangalia dirishani hawakumuona mtu, Rehema ambaye alikuwa kama nyota wa mchezo huo aliinuka na kuvuta vizuri pazia.
Mara alipomaliza kufanya hivyo akazima taa na kuachia bonge la msonyo huku akimlaani kwa maneno yote mabaya yule aliyeikatisha starehe yake.
Kwa kuwa hakuwa amefika katika kilele cha mlima, iliwabidi wavute tena hisia kwa ajili ya kufurahisha miili yao.
Akarudi pale alipokuwa amemuacha Eddy na kumtaka wahamie kwenye dimba kubwa ili waweze kuendelea na mchakato wa kukata kiu zao.
Huko wakawa na jukumu kubwa la kurudisha hisia zao zilizokuwa zimetibuliwa, kwa kuwa walikuwa wameshapoteza ari na morali, wakaanza upya kusaka hisia zao.
Kwanza iliwabidi kuondoa hisia kama vile kulikuwa na mtu aliyekuwa akiwapiga chabo, wakajipanga upya ili kuweza kumaliza ngwe waliyokuwa wamebakiza.
Bila ya kutarajia ndani ya dakika kumi wakasahau kilichotokea, wakawa hawakumbuki kama kuna mtu alikuwa akiwachungulia.
Wakawa bize na starehe yao, hatimaye wote kwa pamoja wakajikuta wakiongeza kasi ya viungo vyao kufanya kazi, jasho likawavuja, mihemo yao ikaongezeka.
Kilichofuata ‘itv' ilikuwa ni kila mmoja kuanza kupiga kelele kivyakevyake, huku akilalamikia kule na mwingine naye akifanya hivyo kwa upande wake.
Mwishowe wote wakashindwa ‘kuikontroo' miili yao, kwa pamoja wakaanza kutetemeka kama wamepigwa na shoti ya umeme.
Baada ya kumaliza ngwe hiyo, hisia za Rehema zikarudi katika kitendo kile kilichotokea, akataka kujua ni nani aliyemvurugia starehe yake.


Hasira zikarudi upya, akamwambia Eddy kwamba lazima atamkomesha aliyefanya kitendo kile.

Nini kiliendelea? Usikose kusoma Jumapili ijayo......
 
Majangaaa Mbona Majangaaa! - 10


Kilichofuata ‘itv' ilikuwa ni kila mmoja kuanza kupiga kelele kivyakevyake huku akilalamikia kule na mwingine naye akifanya hivyo kwa upande wake.

Mwishowe wote wakashindwa ‘kuikontroo'miili yao kwa pamoja wakaanza kutetemeka kama waliokuwa wamepigwa na shoti ya umeme.

Baada ya kumaliza ngwe hiyo, hisia za Rehema zikarudi katika kile kitendo kilichotokea, akataka kujua ni nani aliyevuruga starehe yake.


Hasira zikarudi upya akamwambia Eddy kwamba lazima amkomeshe aliyefanya kitendo kile.

Nini kiliendelea? POROMOKA NAYO…


Rehema akainuka na kutoka katika uwanja mkubwa wa fundi seremala, akawasha taa yenye mwanga hafifu na kuchukua kitaulo kidogo kilichokuwa pembeni, akaifuata chupa ya chai na kuifungua.

Ndani ya chupa hiyo kulikuwa na maji ya uvuguvugu, Rehema akayamimina kwenye kitaulo kile, kisha akamfuata Eddy pale alipokuwa amelala kwa uchovu na kuanza kumfuta ‘mzee' wake.

Hali hiyo ilimrudisha Eddy katika uhai wake, alihisi akipata nguvu mpya kutokana na joto alilolipata kupitia maji yale.

Mwanaume huyo akawa anagugumia chini kwa chini kutokana na kupigwa deki ‘ikulu' yake.
Kilikuwa kitendo ambacho hakuwahi kufanyiwa katika maisha yake, ndiyo kwanza alikuwa akikiona, akachanganyikiwa.

"Pole," alisema Rehema kwa sauti nyembamba ambayo ilikuwa imelegezwa kwa makusudi ili kumfanya Eddy ajue kuwa alikuwa na mwanamke wa kweli aliyekwenda unyagoni na kufundwa kisha akafundika.

Kama vile haitoshi, baada ya kumaliza zoezi hilo, Rehema alilifuata jokofu na kutoa matunda fulani hivi, hayakuwa mengine zaidi ya zabibu.
Rehema akayachukua na kuyaweka kwenye kisaani cha chai kisha akapanda uwanjani ambako Eddy alikuwa amelala akiwa amechoka kutokana na safari ya kufikia kwenye kilele cha starehe.

"Pole," alisema tena Rehema kwa sauti ileile huku akizichukua zabibu mojamoja na kuanza kumlisha Eddy. Mpaka kufikia hapo Eddy akawa amezidiwa na kujiona kwamba amepatikana kwa kuingia sehemu ambayo hakuwa na uwezo nayo.

Moyoni mwake akakiri kabisa kwamba alikuwa amepatikana, hakujua kama angeweza kujichoropoa katika mtego ule aliouingia, aliamini kwamba hakuwa na fedha za kuweza kumpa Rehema.

Alijiuliza ni kiasi gani ambacho angeweza kumpa msichana huyo kwa ajili ya kumshukuru kwa huduma zote hizo.
Matendo aliyokuwa akifanyiwa yakamfanya ajipe moyo wa kutafuta kibarua kwa nguvu zake zote ili aweze kulipia gharama hizo.

Eddy alimini kwamba aliyokuwa akifanyiwa hayakuwa ya bure lazima kuna siku angetakiwa kuyalipia tena kwa gharama kubwa.
"Sidhani kama nitaendelea kufanywa mwanaume suruali, iko siku nitapigwa mzinga wa maana, nikisema sina si nitakuwa nimezikosa hizi huduma?" aliwaza.

Hata kabla hajapata hiyo kazi wala hajazitia mfukoni fedha anazotarajia kuzipata kutokana na kibarua kisichokuwepo, Eddy akafikiria ni kiasi gani ambacho kingeweza kumtosha Rehema, kila alichokifikiria alikiona ni kidogo.

"Kwa nini ananifanyia hivi?" aliendelea kujiuliza wakati akiwaza hayo, Rehema alikuwa kama ameyasoma mawazo yake na kuhisi kile alichokuwa akikiwaza mwanaume huyo, akamwita kwa kulitaja jina lake:
"Eddy."
"Naam," Eddy aliitikia huku akitafuna kipande cha zabibu.

"Nakupenda sana, tangu siku ile ya kwanza niliyokuona, ulinichanganya sana, sijawahi kuona mwanaume mwenye umbile kama lako, urefu wako, umejaa kifuani…" alisema Rehema huku akiizungusha mikono yake kwenye kifua cha Eddy kugusagusa bustani ndogo iliyokuwa ikianza kumea.
Hali hiyo kwa kweli ilikuwa ikizidi kumfanya kijana wa watu ajione kama vile ni mfalme na kusahau shida zake zote za duniani, alihisi kama vile alikuwa katika jumba la kifahari na Rehema alikuwa kama malkia pembeni yake.

"Hata mimi…" Eddy alijikuta naye akisema kulikubali penzi la Rehema.
"Sema kweli?" alidadisi Rehema.
"Kweli vile…"
"Kwa hiyo leo utalala hapa au…?"
"Hapana, niache tu nikalale kwangu kwa kuwa unajua miye ni mgeni…sijazo…"
"Unamwogopa nani?" Rehema alimkatisha na kumfanya Eddy apatwe na kigugumizi cha ukubwa.
"Si… si… simwogopi mtu…"
"Ila…"
"Basi tu…"
"Najua unamtaka yule mwanamke wako…" alisema Rehema na kujifanya kukasirika.
"Nani?"
"Irene."
"Ndiyo nani huyo?"
Unajifanya humjui wakati leo umempa sabuni ya kuogea?"
"Aaah yule msichana ndiye anaitwa Irene?" Eddy naye alihoji.
"Unajifanya humjui eeeh?"
"Simjui miye… aliniomba…."
"Basi ishia hapohapo, huwa sitaki kusikia habari za vinuka mkojo…" alisema Rehema na kujidai kususa ili kumpima Eddy kama atakubali kulala au atakataa na kuondoka kwenda kulala chumbani kwake.
Rehema akageukia upande mwingine na kumuacha Eddy akiwa amekaa bila kuelewa kilichokuwa kikiendelea, hali hiyo ilizidi kumchanganya kwa kuwa Rehema alionekana kususa.



Nini kiliendelea? Usikose kusoma Alkhamisi ijayo
 
Majangaaa Mbona Majangaaa! - 11-


ILIPOISHIA
“Najua unamtaka yule mwanamke wako…” alisema Rehema na kujifanya kukasirika.
“Nani?”
“Irene.”

“Ndiyo nani huyo?”
Unajifanya humjui wakati leo umempa sabuni ya kuogea?”
“Aaah yule msichana ndiye anaitwa Irene?” Eddy naye alihoji.
“Unajifanya humjui eeeh?”
“Simjui miye… aliniomba….”

“Basi ishia hapohapo, huwa sitaki kusikia habari za vinuka mkojo…” alisema Rehema na kujidai kususa ili kumpima Eddy kama atakubali kulala au atakataa na kuondoka kwenda kulala chumbani kwake.
Rehema akageukia upande mwingine na kumuacha Eddy akiwa amekaa bila ya kuelewa kilichokuwa kikiendelea, hali hiyo ilizidi kumchanganya kwa kuwa Rehema alionekana kususa.
POROMOKA NAYO…


Kabla hata mwanaume huyo hajachukua uamuzi wowote, akamsikia msichana huyo akiangusha kilio cha kwikwi huku akitoa sauti yake ndogo.
Kutahamaki, Eddy akachanganyikiwa na kumwinua huku akianza zoezi la kumbembeleza, tayari mashavu ya Rehema yalishajaa machozi ya uongo na kweli ili kulifanya zoezi lake lionekane kuwa la kweli.
“Nyamaza Rey wangu…” Eddy alilitohoa na kuliita kwa mbwembwe jina hilo la mpenzi wake kiasi cha kumfanya Rehema kuhisi faraja.
***
Wakati Eddy akiendelea kumbembeleza Rehema, Irene alikuwa akirandaranda nje kama fisi aliyekuwa akisubiri mzoga uachiwe na simba ili aweze kuambulia chochote.
Mara kwa mara alikuwa akikatiza katika mlango wa Rehema na kujaribu kusikiliza kile kilichokuwa kikiendelea ndani.
Kwa bahati nzuri au mbaya hakumsikia Rehema wakati akimponda. Akaendelea kupiga misele huku hasira zikimpanda kwa kuona mwanamke mwenzake akimzidi kete, aliamini kuwa akipata nafasi ndogo tu anaweza kuyabadilisha mawazo ya Eddy.
Aliamini Rehema alikuwa akitumia nguvu nyingi kumng’ang’ania mwanaume huyo ili asiweze kumchoropoka mikononi mwake lakini alijua kuna nafasi moja tu angeweza kuitumia vyema.
Mara ya mwisho Irene akapitiliza hadi barazani na kukaa huko huku akihakikisha anasikia kila kilichokuwa kikiendelea ukumbini.
Muda ulikuwa umekwenda kwelikweli, ilikuwa ni saa nane usiku, bado nyumba ilikuwa wazi na watu wengine walikuwa wakifanya shughuli zao katika kitongoji hicho.
Kati ya hao waliokuwa wakipitapita hakukuwa na aliyewahi kuamka asubuhi na kwenda kazini, kila mmoja alikuwa akilala pale alipoamua na kuamka pale anapoona kulikuwa na haja ya kufanya hivyo.
Usiku mwingi baba mwenye nyumba akiwa ameambatana na mama mwenye nyumba walikuwa wakirudi nyumbani kwao wakiwa bwiii.
Kila mmoja alikuwa akiimba wimbo wake, huku wakiwa wameshikana mikono, wakafika na kuukuta mlango wa mbele ukiwa wazi.
Wakaanza kumwaga segere kwa kucheza bila ya kujali kama walikuwa wakiwapigia kelele majirani zao, hata hivyo baadhi ya majirani waliokuwa wamelala wakaanza kufungua mapazia yao ili kuweza kuona kitu cha kuhadithia kesho yake.
Walipoacha kulisakata segere wakawageukia waliowakuta barazani, wakawauliza kwa nini walikuwa wakiangalia ngoma ya bure na kushindwa hata kuwatunza.
“Kwa nini hamtutunzi?” alidakia mama mwenye nyumba kwa sauti ya juu.
Vicheko vya walioulizwa swali hilo vilimfanya baba mwenye nyumba kukasirika na kuwaambia wote hawana adabu kwa kuwa walikuwa wakimcheka mama yao.
“Haya kuanzia sasa naharibu starehe za watu, kila mmoja kwenda kulala…” alisema baba mwenye nyumba huyo huku akionesha kwamba hatanii.
“Nahesabu mpaka tatu kila mmoja aingie chumbani kwake akalale…” alisisitiza huku akirandaranda kama vile alikuwa akitaka kuanzisha vita.
“Mojaaaa… Mbiliiiii…” kabla ya kumalizia tatu akaanza tena na kuwataka hata wale wapangaji wake waliokuwa nyumba ya jirani waitwe ili waingie ndani kwani akishafunga mlango hautafunguliwa tena, alikuwa amedhamiria kulala na ufunguo mchagoni kwake.
Kutokana na kauli ya baba mwenye nyumba, Irene hakuwa na ujanja wa kuendelea kukaa nje, akaingia ndani pamoja na wasichana wengine waliokuwa wamekaa barazani katika nyumba ya jirani.
Hata baada ya kuingia ndani, Irene hakuweza kupata hata lepe la usingizi, muda mwingi alikuwa macho akijigeuzageuza huku na kule kuusaka usingizi huo bila ya mafanikio.
Akiwa anahangaika hivyo, mdogo wake, Pat alikuwa akimwangalia na kumuonea huruma, kisha akamuuliza.
“Dada hauko sawa?”
“Aaah kawaida tu,” alijibu Irene.
“Usinifiche, inaonekana hukupenda dada Rehema amchukue yule mgeni…?”


Nini kiliendelea? Usikose kusoma Jumapili ijayo....
 
[h=1]Majangaaa Mbona Majangaaa! - 12-[/h]
ILIPOISHIA
Hata baada ya kuingia ndani, Irene hakuweza kupata hata lepe la usingizi muda mwingi alikuwa macho akijigeuzageuza huku na kule kuusaka usingizi huo bila ya mafanikio.
Akiwa anahangaika hivyo, mdogo wake, Pat alikuwa akimwangalia na kumuonea huruma sana, kisha akamuuliza.
"Dada hauko sawa?"
"Aaah kawaida tu," alijibu Irene.
"Usinifiche, inaonekana hukupenda dada Rehema amchukue yule mgeni…?"
POROMOKA NAYO…

"Sitaki maongezi yako, hebu niache nilale," alisema Irene na kujifunika shuka gubigubi, pamoja na kujifunika hivyo bado hakuweza kupata hata lepe la usingizi.
Pat akaamua kumuacha na kujigeuza upande wake na baada ya muda kidogo akapitiwa na usingizi.
Usiku mwingi, Irene akasikia mlango wa Rehema ukifunguliwa, akainuka na kujivuta mlangoni kwake, akafungua mlango huo taratibu na kuchungulia ukumbini.
Akamwona Eddy akiwa anatoka chumbani kwa Rehema na kuelekea mlangoni kwake. Alipohakikisha kwamba Rehema ameshaingia ndani, akachomoka na kutoka.
Akacheza na akili za Eddy aliyekuwa ametangulia mbele yake, naye akajifanya kama vile anakwenda msalani, Eddy akiwa mbele na yeye nyuma.
Eddy alifungua mlango wake kwa funguo na Irene akawa anazuga kama vile alikuwa akienda uwani, kwa kuwa chumba hicho kilikuwa ni cha mwisho mkono wa kushoto kabla ya kufika uwani alifanikiwa kuweza kuzuga na kumsubiri Eddy afungue mlango wake.
Alipofika karibu yake, Irene akapunguza mwendo na kusubiri afungue, alipofungua na kuingia ndani kabla hata Eddy hajafunga mlango nyuma yake, Irene akauzuia na kisha akazama chumbani humo.
"Aaah!" Eddy akashtuka.
"Shiii!" akasema Irene huku akiweka kidole chake cha shahada mdomoni mwake kumtaka asipige kelele kuwashtua watu wengine ndani ya nyumba hiyo.
"Unataka nini?" Eddy aliuliza kwa sauti ya chini akionekana kutii amri ya Irene ya kutopiga kelele.
"Moyo wako…" akasema mwanamke huyo na kumwashiria Eddy asogee kwenye uwanjwa wa futi tano kwa nne.
"Lakini…" alijaribu kusema tena Eddy lakini Irene hakumpa nafasi akamziba mdomo kwa kutumia kiganja chake na kumtaka asizungumze chochote.
Mkono wa Irene ukiwa mdomoni kwa Eddy ukimzuia kusema chochote, mkono mwingine ukawa na kazi ya kutembea na kuusanifu na kuusisimua mwili wa kijana huyo.
"Eddy kwa nini umenisaliti?" alisema Irene kwa sauti ndogo karibu kabisa na sikio la kijana huyo kiasi cha mawimbi ya sauti yake kuutekenya moyo wa Eddy.
Mbali na kusema maneno hayo, machozi yalionekana kutiririka katika mashavu ya mwanamke huyo huku akionesha kuguswa na kitendo alichokifanya Eddy.
"Eeeh unalia!" Eddy alisema kwa mshangao.
"Ulitegemea ningeweza kufurahi?"
Eddy hakutegemea kitu hicho, akaendelea kupigwa na butwaa. Akawaza siku hiyo ilikuwa ikimaanisha nini katika maisha yake.
Maana usiku wakati ukiingia alivamiwa na Rehema akamteka na kumwingiza chumbani kwake, hawakuishia hapo akapigishwa shoo ya nguvu.
Kabla hata hakujapambazuka anavamiwa chumbani na mwanamke mwingine, naye anaonekana ana lengo lilelile la utekaji kama wa Rehema.
Kinachomshangaza ni kumuona mwanamke huyo mzuri akimwaga machozi kwa ajili yake, akawa anashindwa kuelewa kama ni bahati au ni balaa linamwandama.
"Kwa nini wanichukue kama mateka?"
Alijiuliza katika nafsi yake, akiwa katika hali hiyo nywele zilimsimama na kukumbwa na kigugumizi cha ukubwani kila alipokuwa akiulizwa kitu na Irene.
"Kwa nini umenisaliti?" aliuliza Irene huku akibadili mwelekeo na kuitembeza mikono yake miwili kwenye kifua cha Eddy.
"Nimekusaliti vipi, mbona sikuelewi?" Eddy aliipaza sauti yake na kusema maneno hayo huku akizungusha macho yake kumwangalia kwa umakini Irene.
"Unakumbuka miye ndiye niliyekuwa wa kwanza… kukutaka, kwa nini umekwenda kulala na Rehema?" Swali hilo lilikuwa gumu kwa Eddy, hakuweza kulijibu akabaki ametoa macho kama mjusi aliyekuwa amebanwa na mlango.
Kijana huyo hakutegemea kama kwa wakati huo, Irene angekuwa na taarifa za yeye kutembea na Rehema, akashusha pumzi ndefu.
"Unanidharau au?"
"Sina kawaida ya kumdharau mtu," alijibu Eddy.
"Sasa kwa nini hukunipa nafasi ya kwanza?"
"Kwani tulishaongea na wewe awali?"
"Hapana ila visa vyangu viliongea, vilitosha kuonesha kwamba nilikuwa namaanisha nini kwako."
"Visa gani?"
"Kama vile kukuomba sabuni na kukurudishia sabuni chumbani kwako, hukunielewa?"
Eddy hakuwa na la kujibu kwa kuwa alishagundua tangu mapema kuhusu kile alichokuwa akikisema Irene.
Kwa sauti iliyojaa mahaba na mihemo ya kuvutia Irene akamwambia Eddy:
"Okey najua haikuwa dhamira yako, ulichukuliwa kama mateka… najua kila kitu lakini kuanzia sasa nataka uelewe kuwa miye ndiye mtu wako… umesikia?"

Itaendelea Alkhamisi ijayo ......
 
Back
Top Bottom