auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,805
- 1,286
Walikuwa wanachoma moto wanyama wakiwa wamekufaVipi wale waliokua wanachoma viumbe kutoa kafara( kama baraka), mfano ibraham

Siko upande wowote ila kwenye swalala vifaranga ningeomba nitowe link hizi na sheria ili ziwasaidie hata wengine huko mbeleniKama kuchoma vifaranga ni dhambi mkuu vipi kuchinja kuku au kuchinja mbuzi?
Siko upande wowote ila kwenye swalala vifaranga ningeomba nitowe link hizi na sheria ili ziwasaidie hata wengine huko mbeleni
Import Permit Food, Plants, Pets and Animal Products | Tanzania High Commission New Delhi, India
Permits for importation is requested from; Permanent Secretary, Ministry of Agriculture and Food Security, P.O. Box 9192, Dar es Salaam, Tanzania. Tel: +255 22 2862480/1, Fax:+255 22 2862077 E-mail: psk@Kilimo.go.tz AND Director of Veterinary Services, Ministry of Water and Livestock...www.in.tzembassy.go.tz
Walikuwa wanachoma moto wanyama wakiwa wamekufa
Kweli Hawa jamaa Wana dabostandadi sijawahi kuona.vivaHalafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi.
Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya ambao enzi ya Magufuli walichomwa moto. Akasema "DHAMBI TUPU". Naona povu la kutosha hasa kwa watu wanaojiiita #TeamMagufuli.
Hii sio mara ya kwanza wao kutokwa povu. Wana povu la bandari ya Bagamoyo, wana povu la mabinti kurudi shule, walitokwa povu Mange Kimambi kusalamiana na Rais, wana povu Sabaya kufungwa, Kalemani kuondolewa na mipovu mingine mingi.
Hoja yao ni Rais kukosoa mfumo Serikali iliyopita.
WANAFIKI : Walikuwa wanashangilia hapa kila siku Magufuli akisema "Hii nchi imechezewa sana.... Tumepigwa..." na kauli nyingine nyingi za kutaka kuonesha Kikwete, Mkapa hata Mwinyi hawakufanya lolote. Mlishangilia sana hamkujali kuhusu Kikwete.
Magufuli alikuwa anaandika kitabu chake, he had his own principles ambazo hazikuwa sawa na Kikwete. It was right pengine to go against them.
Samia yes alikuwa Makamu wa Rais kwa Magufuli, but we all know how this country works. Rais ndo anaamua kila kitu, Makamu is just there jamani.
KAMA SAMIA KAAMUA KUYASEMA HADHARANI AMBAYO HAKUKUBALIANA NAYO ENZI YA MAGUFULI AACHWE. Tuambizane ukweli. Mbona akimsifu hamuongei? Hizo ni Double standards.
LET SAMIA BE SAMIA. KUCHOMA VIFARANGA NI DHAMBI
Mi pia nasubiri kwa hamu sana. Acha we peane ma hopeBado kidogo mtasema na kutajana tu roho ya mtu inawatesa sana, Magufuli ameshalala usingizi lkn bado mnateseka na kuumia tu.
Kuna watu sijawahi kuwaona hata wakitabasamu tu, chuki tupu, hamna Amani mioyoni mwenu.
Mimi nasubiri vita na timbwili litakaloibuka mtakapo salitiana na inakuja.
R.I.P. Magu
Mm sijibu kama watoto wa shule ya msingi secondary au first year! Nimeshajibu hapoNipatie jibu ya swali langu sasa?
Mara ya mwisho ukiondoa hii ya polepole ilikuwa lini tukumbushe!Mbona mnampangia pole pole.
Sio mara ya kwanza kwa wana ccm kukosoana wazi wazi.
Tena wamkome na wamtue,acheni Mama afanye Kazi.Halafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi.
Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya ambao enzi ya Magufuli walichomwa moto. Akasema "DHAMBI TUPU". Naona povu la kutosha hasa kwa watu wanaojiiita #TeamMagufuli.
Hii sio mara ya kwanza wao kutokwa povu. Wana povu la bandari ya Bagamoyo, wana povu la mabinti kurudi shule, walitokwa povu Mange Kimambi kusalamiana na Rais, wana povu Sabaya kufungwa, Kalemani kuondolewa na mipovu mingine mingi.
Hoja yao ni Rais kukosoa mfumo Serikali iliyopita.
WANAFIKI : Walikuwa wanashangilia hapa kila siku Magufuli akisema "Hii nchi imechezewa sana.... Tumepigwa..." na kauli nyingine nyingi za kutaka kuonesha Kikwete, Mkapa hata Mwinyi hawakufanya lolote. Mlishangilia sana hamkujali kuhusu Kikwete.
Magufuli alikuwa anaandika kitabu chake, he had his own principles ambazo hazikuwa sawa na Kikwete. It was right pengine to go against them.
Samia yes alikuwa Makamu wa Rais kwa Magufuli, but we all know how this country works. Rais ndo anaamua kila kitu, Makamu is just there jamani.
KAMA SAMIA KAAMUA KUYASEMA HADHARANI AMBAYO HAKUKUBALIANA NAYO ENZI YA MAGUFULI AACHWE. Tuambizane ukweli. Mbona akimsifu hamuongei? Hizo ni Double standards.
LET SAMIA BE SAMIA. KUCHOMA VIFARANGA NI DHAMBI
Wewe sijui unawazaje. Kwani wale vifaranga walikuwa wanachomwa kwa sababu ya maasi ya mji. Ile si ilikuwa amri ya mwenyezi Mungu. Sijui mtiririko wako wa mantiki unaupata wapi lakini ni wazi una walakini. Na amri ya Mungu imeshawahi kutokea sio mara moja au mbili katika miji yenye kumkufuru Mungu. Unataka kusema Mungu ndo mwenye dhambi kwa kuchoma hiyo miji?Kwa iyo ukiwachoma wakiwa hawajafa ni dhambi, ni dhambi katika amri kuu za Mungu inaingia wapi?
Je kipindi Unashuka moto wa sodoma na gomola walichomwa hadi wanyama wasio na hatia. Je halikutambulika ilo kama dhambi?
Magufuli hakua na hakuwahi kuwa makamu wa rais wa Kikwete popote pale.Halafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi.
Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya ambao enzi ya Magufuli walichomwa moto. Akasema "DHAMBI TUPU". Naona povu la kutosha hasa kwa watu wanaojiiita #TeamMagufuli.
Hii sio mara ya kwanza wao kutokwa povu. Wana povu la bandari ya Bagamoyo, wana povu la mabinti kurudi shule, walitokwa povu Mange Kimambi kusalamiana na Rais, wana povu Sabaya kufungwa, Kalemani kuondolewa na mipovu mingine mingi.
Hoja yao ni Rais kukosoa mfumo Serikali iliyopita.
WANAFIKI : Walikuwa wanashangilia hapa kila siku Magufuli akisema "Hii nchi imechezewa sana.... Tumepigwa..." na kauli nyingine nyingi za kutaka kuonesha Kikwete, Mkapa hata Mwinyi hawakufanya lolote. Mlishangilia sana hamkujali kuhusu Kikwete.
Magufuli alikuwa anaandika kitabu chake, he had his own principles ambazo hazikuwa sawa na Kikwete. It was right pengine to go against them.
Samia yes alikuwa Makamu wa Rais kwa Magufuli, but we all know how this country works. Rais ndo anaamua kila kitu, Makamu is just there jamani.
KAMA SAMIA KAAMUA KUYASEMA HADHARANI AMBAYO HAKUKUBALIANA NAYO ENZI YA MAGUFULI AACHWE. Tuambizane ukweli. Mbona akimsifu hamuongei? Hizo ni Double standards.
LET SAMIA BE SAMIA. KUCHOMA VIFARANGA NI DHAMBI
Na ushangiliaji wao ulikuwa mbaya sana. Walikuwa wanakera kama chenga za Morrison! Ila Mungu fundi sana! Yaani alimwondoa jamaa bila hata kuonesha kazuri hata kamoja! Five years no salary increment, hakuwahi kuongea hata alivyowapoteza akina Ben Saa Nane halafu na wizi Chaguzi, 2019 na 2020! ROho mbaya sana huyo JPM!
Simshangai Samia kufanya haya, Watanzania tunajulikana kwa unafiki na kujipendekeza, ni wachumia tumbo balaa licha ya kutokukubaliana na yale aliyoyaamini Magufuli hakuuachia umakamu alikomaa tu.Tusiwashangae akina Mkenda, Mwambe nk wale hawawezi kujiuzulu ng'o, ugali hauwezi kuachwa hivi hivi aisee.
Hasa hasa kuhakikisha chama vha Nyumbu Chadema inajifililia mbali ! ! ! ! ! Kupelekea wabunge wasio wataka Bungeni, kwenye hilo a lifanya vizuri sana.Tena walishangilia. Nonsense kabisa.
Kwa kuwa wewe hutakufa. Na kwa vile wewe unaroho nzuri. Tusiwe na roho ngumu hivi ya kuhukumu wafu.Na ushangiliaji wao ulikuwa mbaya sana. Walikuwa wanakera kama chenga za Morrison! Ila Mungu fundi sana! Yaani alimwondoa jamaa bila hata kuonesha kazuri hata kamoja!
Five years no salary increment, hakuwahi kuongea hata alivyowapoteza akina Ben Saa Nane halafu na wizi Chaguzi, 2019 na 2020! ROho mbaya sana huyo JPM!