mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Hongera kwa weledi wako, kwa kuwa naamini unajua nilichokuuliza na kuhoji.Kama source ni mimi mwenyewe je? Ama sina viwango vya kuwa source?
Hongera kwa weledi wako, kwa kuwa naamini unajua nilichokuuliza na kuhoji.Kama source ni mimi mwenyewe je? Ama sina viwango vya kuwa source?
Ndugu Mshana jr.. Mi kuna hili huwa linanisumbua pia, natamani nilijue na kama ulishawahi kulizungumzia nitag huko nilipitie, damu kispiritual ina nini hata sadaka/kafara yake iwe yenye mantiki zaidi?Asante
Damu ni kitu hai kuna mada yake ngoja niitafute takutagNdugu Mshana jr.. Mi kuna hili huwa linanisumbua pia, natamani nilijue na kama ulishawahi kulizungumzia nitag huko nilipitie, damu kispiritual ina nini hata sadaka/kafara yake iwe yenye mantiki zaidi?
Waisraeli walichinja wanyama, jamii nyingi zili/nafanya hivyo, kwetu ibada na matibabu iliambatana na uchinjwaji wa kuku, damu tuliimwagia kwenye dawa.
Sehemu mbalimbali ktk jamii nyingi hili lilitendeka pia. Kubwa hapa, hata Mungu ktk ukombozi wa wanadamu hakuwa na namna nyepesi zaidi ya kumwaga damu iliyo pure. Toka awali, wanyama wa sadaka walitakiwa wawe pure, waso na hata ulemavu. Sisi alihitajika kuku mweupe kabisa.. Ndugu hapa mi naona kuna kitu kimejificha, nisaidie.
Sadaka ni machozi, jasho na damu. No gain hadi utoe moja kati ya sadaka hizo lakini ya damu ni kubwa zaidi, kuna nini mle? Nawasilisha.
ukiipata ni tag bro !!Damu ni kitu hai kuna mada yake ngoja niitafute takutag
Na kiumbe ndani ya tumbo hukamilika siku ya saba ndani ya tumbo la mwanamke na ya nane huvurugwa na kuumbwa upyaNa mimba hutambulika baada ya siku 7 ya tendo la ndoa.
Na unaanza ukiwa na miaka sabaHivi ni kwa nini elimu ya msingi inaishia darasa LA saba
Fanya mambo basi nitoe na mwekundu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata jina langu lina heruf saba ndio maana nmeishia la nne lakin ninaushawishi ambao wenye phd hawana,,mtaani nikisema leo naongea na majiran wanakuja hata wasio majiran,nikisema hiki ni hivi wanaamin na kukubaliana na mimi bila hata nguv nying,,,hakuna biashara nayoanzisha ikaishia njian,ha ha ha ha mshana asante kwa kutambua umuhim wa namba sana,,,[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ijumaa napita hapo msata nitasimama kwa ajili yako usijaliFanya mambo basi nitoe na mwekundu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa poa mkuu usijaliPoa nitakupa na mzizi wa baraka
ni mlango wa nane sio wa sabaInaonyesha hii namba saba ina siri kubwa iliyojificha nyuma yake. Katika utafiti mdogo usio rasmi nilioufanya, ukiachana na mambo ya hizi dini za jahazi, hata maisha kabla yalikuwa yanaienzi hii namba kwa namna moja au nyingine. Mf. kuna usemi au tahadhari katika makabila mengi iliyokuwa inatolewa kwa mtu anayetaka kuoa kwamba asioe ukoo fulani kwa vile huo ukoo/nyumba ni mlango wa SABA. Ikiwa na maana ni mkosi.
Labda niulize tuuu # IKiwa mtu kazaliwa Mwezi wa 7, Na siku ya 7 ktk wiki, Jina lake lina herufi 7 na Nyota/Nasaba zake pia ni 7, Je hapa tafsiri yake ni nini katk mtu huyu...Ikiwa katika mfuatano wa namba msingi yani 0-9/1-9, namba saba inaonekana ni namba ya kawaida kabisa, lakini kwa taarifa yako hii ndio namba ya ukamilifu inayoendesha dunia na ndio namba yenye tafsiri zinazoshabihiana kwenye imani zote
Nina hakika ulianza kuitambua hii namba upekee wake kwenye habari za uumbaji, kwamba Mungu aliumba ulimwengu kwa siku sita na siku ya SABA akapumzika..... Lakini wengine watakuambia kuhusu mnyama paka Kuwa na roho saba ama lile joka lenye vichwa saba
View attachment 503310Kibiblia namba saba! Imetajwa kwenye mambo mengi sana sana nitataja machache kwasasa
-ukamilifu wa kiroho
-utimilifu wa jambo
-mnyama wa sadaka asiwe chini ya siku saba
-pair saba za wanyama walioingia kwenye safina ya Nuhu
-Alama ya uungu na Mungu mwenyewe huku namba sita ikiitwa namba ya mwanadamu (refer uumbaji na Freemasons)
-msamaha samehe saba mara 70
Namba saba imetajwa kwenye Bible mara 490 ...hapa utapata majibu mengi
View attachment 503309Kwa Wahindu na wabuddhist wanaamini katika mbingu saba kama ifuatavyo
1.dunia
2.ulimwengu hai
3.mbingu
4.ulimwengu wa kati, mpaka kati ya ulimwengu wa juu na chini, ulimwengu wa kiza na nuru
5.ulimwengu wa rebirth na reincarnation
6.hekalu la baraka mduara wa ukweli
7.mbingu ya saba, hatua ya mwisho kufikia ukamilifu
Nitakuja na tafsiri ya namba saba kwa imani ya Kiislam pia....lakini namba saba ni namba yenye nguvu mamlaka na ndio pointer ya ulimwengu unaoonekana toka katika ulimwengu wa roho
Nitarudi kuendelea sehemu ya pili.... Usisahau pia kinywaji baridi cha SABA JUUView attachment 503308