Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Labda niulize tuuu # IKiwa mtu kazaliwa Mwezi wa 7, Na siku ya 7 ktk wiki, Jina lake lina herufi 7 na Nyota/Nasaba zake pia ni 7, Je hapa tafsiri yake ni nini katk mtu huyu...
Mmmhh very special one
 
aa24f2ab8f6f411b5d1ba7194fc37357--wiccan-witchcraft.jpg
note the last one

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matumiz yangu kwa sasa nitafanya kwa no 7 maana mimi mtu wa mikosi sana huenda ikawa tiba
 
Matumiz yangu kwa sasa nitafanya kwa no 7 maana mimi mtu wa mikosi sana huenda ikawa tiba
Kwanza ondoa huko kuamini kumbuka mawazo huumba.... Pili anza kufikiri chanya achana na mawazo yote hasi... Tatu nakushauri ogea chumvi mara kwa mara ni kitu rahisi lakini chenye nguvu mno
 
Imani hizi ni aina nyingine ya ushirikina tu. Yote ni batili na utupu, vitu visivyo na uhalisia. Ni kujaribu kuyapa maisha natumaini wakati ukweli ni kiumbe kuwepo duniani kwa bahati tu na kuingia kufa na kutoweka milele na viumbe wengine kuchukua nafasi, Just like that. What a vicious cycle!!!
 
PIA KUNA MABARA 7
1, bara la afrika
2, bara la asia
3, bara la amerika ya kaskazini
4, bara la kusini
5, bara la antaktika
6, bara la ulaya
7, bara la austaria
Hivi kimantiki, mabara ya ulaya na asia ni mabara mawili tofauti?
 
Back
Top Bottom