Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Mimi nimezaliwa 25/7.... 2+5=7 afu mwezi wa 7... Jina langu lina herufi saba......?????? Kuna kitu gani hapo????
 
Nami nakuja na namba yangu 101010

.Numerical
.Binary(programmers wananielewa vizuri hapa)
.Inasumbua sana Camp Nou(mess, dinho, eto'o) na viwanja vingine

Ongezeeni...
Bits ambayo ni symbol ya herufi
 
Maelezo yako Hayaja jitosheleza
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Kutoka 20 :8

9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
Kutoka 20 :9

10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
Kutoka 20 :10

11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Kutoka 20 :11
 
Mshana Jr. uhusiano wa mwanadam na Mungu huchagizwa na namba 7 kupitia hii amri?

8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Kutoka 20 :8

9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
Kutoka 20 :9

10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
Kutoka 20 :10

11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Kutoka 20 :11
 
Dini gani ambayo mimi sina na nitaipata wapi
Ukiona kuna mjadala haujengi nakushauri uachane nao... Kwakuwa dhima yetu ni kuelimishana na kujengana huku tukishare maarifa na hata kama tukikosoana tukosoane kwa weledi bila kejeli bila kashfa bila dharau... Hiyo ndio njia ya kuwa GT... Nakushauri katisha huo mjadala
 
Ila ikumbukwe wakati roho mchafu anapomtoka mtu... Ndipo anaondoka na kwenda kuchukua roho tofauti saba walio waovu zaidi kuliko yeye mwenyewe... Hata shetani na viumbe wake wanajua nguvu ya namba 7
 
Ukiona kuna mjadala haujengi nakushauri uachane nao... Kwakuwa dhima yetu ni kuelimishana na kujengana huku tukishare maarifa na hata kama tukikosoana tukosoane kwa weledi bila kejeli bila kashfa bila dharau... Hiyo ndio njia ya kuwa GT... Nakushauri katisha huo mjadala
Asante Mkuu Mshana jr, kwa hekima yako.
 
Kwanza ondoa huko kuamini kumbuka mawazo huumba.... Pili anza kufikiri chanya achana na mawazo yote hasi... Tatu nakushauri ogea chumvi mara kwa mara ni kitu rahisi lakini chenye nguvu mno
asante kaka je ni Chumvi ya mawe au hii ya kawaida? na ninaoga na soap kama kawaida?
 
asante kaka je ni Chumvi ya mawe au hii ya kawaida? na ninaoga na soap kama kawaida?
Yoyote but ya mawe the best. Unaweza hata na sabuni hakuna shida kabisa
 
Back
Top Bottom