MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Taarifa rasmi za tukio la kupigwa Mwanafunzi

Mnamo Tarehe 28.9.2016, mwanafunzi aitwaye Sebastian Chinguku wa form 3A mbeya day sec school aishie Uyole alipigwa na walimu watatu, Mwl Frank Msigwa, John Deo UDSM na Sanke Gwamaka wa Nyerere Memorial, wote wakiwa mafunzo. Mwl Frank alitoa assignment ya Kingereza na baadhi ya wanafunzi hawakufanya akiwepo Sebastian hakufanya, darasani mwl alimpiga kofi kijana na kijana akahoji kwanini anampiga wakashikana koo, ndio walimu wakamchukua na kumpeleka staff room na kuanza kumpiga vile. Tangu tar 29. September mwanafunzi hakuonekana shuleni. Na mwl E.H wa Iringa University ndio aliyekuwa akisema mwacheni mtamuumiza. Ndio aliyechukua video. Hao walimu wote hawapo wameondoka kwenda kwenye vyuo vyao. POLISI wanaendelea kuwahoji uongozi wa Mbeya Day Sec School na Mwanafunzi aliyeumizwa ikiwepo kumpeleka hospitali.Nimeelekeza vyombo vya dola Dar wawatafute chuoni kwao hao walimu kuhusiana na shambulio hilo kwa mwanafunzi huyo. MWIGULU Nchemba, W MNN
 
Kuna video imezagaa mitandaoni (imeniuzi sama hata sitaki kuweka hapa) walimu wanampiga mwanafunzi tena wala sio kuchapa bali kupiga kipigo cha mwizi. Walimu wakiume zaidi ya watani wanamchagia mwanafunzi mmoja wa kiume.

Sina uhakika na kosa la mwanafuzi, lakini hilo kosa sio kibali cha kupiga kijana ambae ameamka asubui kuifata elimu ambyo ndio ufunguo wake wa maisha ya mbeleni.

Kwa sisi wengine tunayajuwa haya, tumesha chapwa na kupigwa na walimu mpaka tumepata vilema vya maisha. Huwezi kuwa na hasira kiasi cha kumpiga mtoto wa mwemzako kama inavyo onekana kwenye video hiyo, tena wanampiga kichwani sio mara moja wala sio mara mbili ni mara nyingi kitu kinacho weza kuthuru au kumuwa hiyo kijana

Kuna watu wanalalamika kwamba kwanini mtu aliye nasa hiyo video asingeenda kumuamulia kwanza. Kumbuka video hiyo ndio itatumika kama azma ya kubadili tabia ya walimu wetu kupita sheria mbadala. Na walimu wakitiwa nguvuni hakimu hatakuwa na shida ya ushahidi.

Naomba wahusika wote, waziri wa elimu, waziri wa mambo ya ndani, waziri wa afya na watoto, waziri wa sheria na polisi na wahusika wengine wote kulitupia jicho swala la usalama wa wanafunzi wanapokuwa mashuleni. Hata mwanafunzi akiwa mtukutu kiasi gani, hakuna mwenye mamlaka ya kumjerui mtu mwingine kwa njia moja au nyingine.

This is a sad day in our education system.

Natowa pole kwa kijana aliyeumizwa na namuombea kwa mungu azidi kujitahidi na elimu yake.
 
Kila mmoja anakomenti the way anovojiskia right? huwezi kunilazimisha nikomenti utakavyo wewe, who are you? Pita kule eboo
Kama kujisikia kwenyewe ndio huku nakutilia mashaka
 
Taarifa rasmi za tukio la kupigwa Mwanafunzi

Mnamo Tarehe 28.9.2016, mwanafunzi aitwaye Sebastian Chinguku wa form 3A mbeya day sec school aishie Uyole alipigwa na walimu watatu, Mwl Frank Msigwa, John Deo UDSM na Sanke Gwamaka wa Nyerere Memorial, wote wakiwa mafunzo. Mwl Frank alitoa assignment ya Kingereza na baadhi ya wanafunzi hawakufanya akiwepo Sebastian hakufanya, darasani mwl alimpiga kofi kijana na kijana akahoji kwanini anampiga wakashikana koo, ndio walimu wakamchukua na kumpeleka staff room na kuanza kumpiga vile. Tangu tar 29. September mwanafunzi hakuonekana shuleni. Na mwl Esther Harembo wa Iringa University ndio aliyekuwa akisema mwacheni mtamuumiza. Ndio aliyechukua video. Hao walimu wote hawapo wameondoka kwenda kwenye vyuo vyao. POLISI wanaendelea kuwahoji uongozi wa Mbeya Day Sec School na Mwanafunzi aliyeumizwa ikiwepo kumpeleka hospitali.Nimeelekeza vyombo vya dola Dar wawatafute chuoni kwao hao walimu kuhusiana na shambulio hilo kwa mwanafunzi huyo. MWIGULU Nchemba, W MNN
 
Unajua kiongozi unvokoment wakati mwingine unatia hasira,tuna watoto ujue...
Hahahahahahaaaaaa, Nina watoto 3, mkubwa yuko form 2, so... hapa tunachangia hoja 's kuchambua usawa upo wapi. .. so my friend be careful with your comments.
 
Inauma sana aiseeeeee.........Walimu hasira zenu huko huko kwenu....
Nilishawahipewa adhabu inayoendana na hiyo nikiwa 4m 1, ilipelekea mpaka kuhamishwa shule,1 yr later on ma way back to revenge, nkaambiwa yule mwalimu alishafariki......ROHO ILIUMA SANA maana nilichokipanga kilikuwa kibaya sana.........

NILISHAMSAMEHE...............
 
Hapa ndipo zilipo fikia akili za sisi Vijana wa Bongo, Unaacha Kufanya yanayo Kuhusu kama Mwalim we Unaenda Kufanya Upuuzi kama Huuu, ona sasa Kazi unapoteza na Jela Juuu!!!!!!!! Eti dogo hajafanya Home-work unamfanya Kua Punching Bag lako.... Aisee imeniuma Mno, Hata Mwizi wa Boda Boda Hapigwi Hivi, Imagine Hali ya ajira ilivyo Ngumu hapa BONGO we unachezea Kazi kweli??? ni walimu takriban elfu 40 wako kitaa we Unaenda Kuuua????
Eee mwenyezi Mungu Tuepushe Na UJINGA huu.
Kazi za Ualimu ni wito jaman,

Ila naamini serekali yetu Tukufu imelipokea Tukio hili kwa Mikono miwili na WATALIFANYIA KAZI.
Mungu awapatie Roho ya Uvumilivu wazazi wa Mwanafunzi Huyu maana wakiamua kufanya walitakalo dhidi ya walimu hawa Yatakua mengine maana Hakuna Mzazi(Especially mama) atakaye vumilia kuona Uhuni wa ainaa Juu ya mwanae.
 
Hiyo ni Mbeya Day Secondary School.Hasira za kunyimwa posho ya majaribio

Wameshadakwa. Hasira hasara. Na inabidi wakae ndani kwa muda wa kutosha bila dhamana ''kwa usalama wao'' maana raia wenye hasira kali wanaweza kufanya yao huko mtaani.
 
Taarifa rasmi za tukio la kupigwa Mwanafunzi

Mnamo Tarehe 28.9.2016, mwanafunzi aitwaye Sebastian Chinguku wa form 3A mbeya day sec school aishie Uyole alipigwa na walimu watatu, Mwl Frank Msigwa, John Deo UDSM na Sanke Gwamaka wa Nyerere Memorial, wote wakiwa mafunzo. Mwl Frank alitoa assignment ya Kingereza na baadhi ya wanafunzi hawakufanya akiwepo Sebastian hakufanya, darasani mwl alimpiga kofi kijana na kijana akahoji kwanini anampiga wakashikana koo, ndio walimu wakamchukua na kumpeleka staff room na kuanza kumpiga vile. Tangu tar 29. September mwanafunzi hakuonekana shuleni. Na mwl Esther Harembo wa Iringa University ndio aliyekuwa akisema mwacheni mtamuumiza. Ndio aliyechukua video. Hao walimu wote hawapo wameondoka kwenda kwenye vyuo vyao. POLISI wanaendelea kuwahoji uongozi wa Mbeya Day Sec School na Mwanafunzi aliyeumizwa ikiwepo kumpeleka hospitali.Nimeelekeza vyombo vya dola Dar wawatafute chuoni kwao hao walimu kuhusiana na shambulio hilo kwa mwanafunzi huyo. MWIGULU Nchemba, W MNN
 
Hii video inaonyesha imechukuliwa na huyu Dada anayesema ,Mwalimu mwacheni mtamuumiza
 
Nimefarijika sana nilipoona taarifa uliyoitoa kwenye ukurasa wako wa Facebook.
Nakubaliana nawe kuwa waalimu hao wasakwe na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao.
 
1475753131959.jpg
1475753143763.jpg

huyu hapa mwalimu Frank msigwa kutoka chuo kishiriki cha elimu DUCE aliyehusika kufanya shambulio kwawanafunzi
 
Back
Top Bottom