Waalimu wengi sasa hivi hawana wito wa ualimu ila tu ni fani iliyobaki na ajira na mikopo kwa vyuo vikuu, hivyo waalimu wa hivyo ni wale waliojilazimisha kwenye fani tu. Mimi nilimkaripia mwanafunzi(binti) wa darasa la kwanza kuwa kwanini amekosa maswali yote ya hesabu, Huyo binti kwa hasira alinirushia daftari lake usoni, nilipandwa na hasira lakina nikaona nitulize hasira zangu kwani naye alikuwa analia na ningemuadhibu angechukia somo langu la kuhesabu(hisabati).Baada ya vipindi nilimwita Ofisini kwa upole na kumwambia aende aniletee punje za mahindi 20 kwenye stoo ya shule ,aliporudi nilianza kumfundisha namna kujumlisha na kutoa kwa kutumia hizo punje na akaelewa na hapohapo akarudia zoezi alilokosa na akapata yote.
Tangu siku hiyo akawa anapenda hisabati na akafuaulu kwenda sekondari sasa yupo mwaka wa tatu chuo kikuu akisomea Degree ya Nursing na mpaka leo ananishukuru nikikutana naye anasema Mwalimu kula na kunywa kitu roho yako inapenda mimi mwanafunzi wako nipo nitalipa.
Je ningemwangushia hasira zangu unafikiri angefika hapo alipo?
mi ninakuelewa kamanda japo mi sio mwalimu lakini najua usumbufu wanaoupata walimu wa msingi na has sec wanafunzi wakiume wenye vimwili wanazarau sana, mfano ni mimi mwenyewe nilikuwa msumbufu sana kwa walimu, nilikua sikubali kuchapwa viboko natena nilikua nagoma mbele ya wanafunzi ili nionekane nunda kwa wanafunzi wengine kwakweli ilikua ni mtihani kwa walimu kwakuwa walikua wanatamani waniache tu nilivyo lakini pia waliona wakiwa wapore watajishushia hadhi kwa wanafunzi wengine watiifu,Wanafunzi wa siku hz,ungekuwa ushawah kuwa mwalimu,ungejua kwann nmesema ni SAHIHI kutoa kipigo kama hicho....kwanza mim huyo mwalimu namsifu angekuwa mbaya ungeona anatumia hata miguu kumkanyaga mtoto huyo,lakin ni makofi tu mwanzo mwisho
Hakuna mwalimu hapo,Yani nimekosa Amani hawa waalimu wamekosa hekima kabisa
Ajabu sana mkuu!Wanaume wa shoka wanakusanyana kukapiga kavulana kadogo hivyo?Hawa wana bahati,wangeweza kumuua huyo mtoto na kesi ikawa mbaya zaidi.Wachunguzwe hao huenda kuna la zaidi.Mwigulu hebu fuatilia hawa vijana.Wanaume wazima wanakachangi kanafunzi kamoja wangeenda mmoja mmoja kama kweli wanajiamini ni vidume kweli
We jamaa mama yangu anaingia vipi hapo? unavuja niniWe ndo pumba kama mama yako,angalia nilivyoandika elewa kiswahili wewe.Nimetoa taarifa zingine zilizozagaa wala sijathibitisha.
K.. nn?
Inasemekana hawakuwa waalimu ni wahuni tu waliovamia majengo ya shule ili wakawauwe wanafunzi wa kiume......inasemekana hakuwa mwanafunzi ni muhuni aliyejivalisha nguo za shule ili akawalaghai watoto wa kike.....
inasemekana hakuwa mwanafunzi ni muhuni aliyejivalisha nguo za shule ili akawalaghai watoto wa kike.....
Soma update hapo juu,Mwigulu ameshaingilia kati suala hili na ametaja hadi jina la mwanafunzi na kidato chake.inasemekana hakuwa mwanafunzi ni muhuni aliyejivalisha nguo za shule ili akawalaghai watoto wa kike.....
Nawewe unaamini tu kirahisi.
....na macho yamepoteza uwezo wa kuona.Jamani hali ya mwanafunzi ni mbaya...kaumia sana kichwani
Umesoma vizuri ni Mwalimu wa field na ameondoka atampata wapi.
Kwa sheria ipi