MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

ce6625316f77e66c4cc28d31b7f9bad1.jpg
Walimu nanruhusiwa kuadhibu mafataki eeh!?
 
Maana na UALIMU wa WITO ni kudeal na shida kama hizo kwa busara
 
dah kosa lenyewe ni kashindwa kufanya kazi ya history cha ajabu walimu waliompiga ni wa TP.
 
sema mtandao na hizi smartphone zinawaumbua sana watu siku hizi...zamani ulikuwa unapigwa mpaka unazimia...lakini sio ubinadamu kabisa...unapiga kama huna moyo wa huruma....wachukuliwe adhabu kali sana....ulimwengu wa adhabu hizo ulishapita zamani sana....angewafia mikononi mwao wangefanyaje...yaaani hao waadhibiwe sana na wasirihusiwe kufundisha tena...
 
Wachukuliwe hatua hawa walimu walokosa maadili,cc Mh. Mwigulu
 
Unawajua wanafunzi au unawasikia.
Hawa waalimu waliofanya unyama huu ni wakufuatiliwa na vyombo husika,wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
Ziko adhabu zakumpa mwanafunzi lakini sio waalimu wanne kwa mwanafunzi mdogo kama huyo.Na yuko Mwalimu wa kike anayeunga mkono aendeelee kuteswa mwanafunzi huyu,naye aunganishwe na hawa,inasikika sauti yake,wakati mwenzake wa kike akikataza asiendelee kuteswa.
 
Hamjafanya uchunguzi mnakurupuka huyo jamaa siyo mwanafunzi bali alivaa nguo za kianafunzi na yy akajichanganya ili arubuni videnti


Nafikiri mmeelewa
Nenda kasome tena update we kichwa maji
 
Nendeni kwa mange jamani kashaweka mtu aliyenasa vibao
 

Attachments

  • 1475749716660.jpg
    1475749716660.jpg
    36.1 KB · Views: 51
yaani walimu mnaboa sana.
kunyimwa madai yenu na kunyimwa uhamisho + kuondolewa kwa posho za usahihishaji wa mitihan ndo hasira mnamalizia kwa wanafunzi!

hakika mtaendelea kuzaraulika mpaka mnasitafu.
Mimi hakuna anayenidharau.
Hata mshahara nalipwa lakini nafanya kazi zangu kama mtu aliyejiajiri sasa utanidharau kwa lipi.
Acha kukariri wewe.
 
Shut the crap man, wewe inaonyesha hata paka huna, hii ni mob justice, hamuwezi kumchangi mtoto namna hii, huyo pimbi na vitravolta vyake anajiona ndio bingwa wa ku slap, only in africa ndio upuuzi huu unaweza kupongezwa na waβ¥¥zi kama wewe.


Nimekupenda bure. umenifuta machozi. You are just special... You are blessed. Please accept my hug.
 
Inashangaza sana tena inasikitisha mmno kunabaadhi ya watu wanasema ati yule hakua mwanafunzi ni mtutuu amevalia uniform kusudi awawin wanafunzi kimapenzi hatakama sio mwanafunzi sini police case hiyo? Kwanini wasingempeleka police kwa uchunguzi zaidi? Kama sio mwanafunzi upelelezi wa kiinteligencia ungeweza kubaini mengi hapo kama ishu za uchomaji wa mashule nk. What if akikata kaul? Tuweni na subira janani katika nafasi zetuu
 
Back
Top Bottom