mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,190
kuna hii shule HAI SECONDARY dah wanafunzi wanakionaga cha moto
Nakuunga mkono ! Vijana wamezidisha ulimbukeni, lazima walimu nao wazidishe adhabu !Ni kweli kabisa
Mwanafunzi anakuja anamshika Mwalimu Ziwa.
Lazima apigwe tu hakuna namna
Mbeya day
Hunielewi naona ndugu..... Mimi nachohuzunika ni kipigo hapa haijalishi aina ya kosa. Mwanafunzi akiwa jeuri fukuza kwa mbali na mueleze mzazi wake wanini shuleni kama anakiburi?? Tatizo hapo ni hiyo aina ya adhabu iliyotolewa kwangu ndio tatizo. Mbona sie kipindi tunasoma ilikuwa ukisikia tu kaite mzazi wako ujue balaa na ukizidisha jeuri unapewa onyo wiki 2-3 home kajifunze adabu na heshima ukirudi ukiendelea na tabia mbaya UNAFUKUZWAKuna shule mmoja nilishuhudia walimu wa kike wakitetea kwamba walimu wa kiume wasiwaadhibu wanafunzi kwa viboko ...! Unajua kilichowapata ? Baada ya siku chache walivamiwa Na baadhi ya wanafunzi ktk sakata mapenzi !
Thank God for thatWalimu wamekamatwa tayari. Watafunguliwa mashtaka. KAZI WAMEFUTWA with immediate effect.
Tupieni majina ya walimu hao hapa, tuwadadavuue kila kituWalimu wamekamatwa tayari. Watafunguliwa mashtaka. KAZI WAMEFUTWA with immediate effect.
Subiri kama utasikia wamechukuliwa hatua,sheria ya kuzuia adhabu kali bado haijapelekwa mashuleni,vyuoni bado wanafundishwa kutoa adhabu kali.waaalimu karibuni ulimwengu wa smartphones
huku uozo wenu utaonekana wote, na msio na sifa siku si nyingi wanawatolea tamko (hapa walevi, wazinzi, wavutaji, watoro wajiandae)
hii yote imeletwa na mwenzenu kumiliki simu janja, anachukua tu video kama burudani sasa imewaponza.
wasipo chukuliwa hatua na serikali, jamii imeona itachukua hatua na itakuwa kali mno.
muda wa kuishi kama digidigi umewadia kwa waalimu.