Mbeya: Nilikumbana na Mauza Uza ya Wachawi

Watu wengi kama nyie mnarogwa sana sababu wanaona unajiona sana nini ufanye kaa nae hata siku za weekend spend time nao hapo mtaani huwezi kuwa busy kila siku mkuu usipofanya hivyo siku ukiumwa utajihudumia nimekupa protocol
Yes na nikibadili mfumo wa maisha
 
Kama kuna mtu anamkumbuka mzee kalongoti tajiri wa mabedford yaliyochakaa aje hapa.
Kulikua na sufuria nyama za binadamu mwanae Johnson kichaa analalala humo.
Siku walivaamia Sokolo ndo ilikua mwisho wake.
Waliua wote live
 
Kutopenda umbea haimaanishi usichangamane na jamii inayokuzunguka hasa kwenye mambo ya msingi, kama misiba, sherehe, shughuli shirikishi mtaani etc. Ukihusika huko lazima mtajuana, mtaongea, na jamii itapata fursa ya kukuelewa tabia yako hta kama ni mkimya wa asili.

Ukimya wa bila majivuno ni tofauti sana na ukimya wenye kiburi na majivuno, na mtu yeyote mzima anaelewa tofauti yake mkuu. Je hukua karibu na majirani zako wote? Tafakari huenda kuna sehemu uliteleza mkuu, mara nyingi jamii ni mwalimu mzuri.
Ulichoandika hapa siyo comment Bali umetoa darasa

Ubarikiwe sana
 
Katika mikoa niliyo tembea hapa Tz mbeya ni kiboko...

Ndo maana kuna makanisa mengi sana, wale jamaa ni wachawi vibaya mno.

Baada ya kumaliza chuo nilienda mbeya kujitafta hiyoo ilikuwa mnamo 2021... Nilikuwa na marafiki zangu huko. Tulipata mchongo private sector.

Tukapanga vyumba sehemu moja. Mwenye nyumba alikuwa mtu poa sana. Ila kimbembe ni wale majirani wa karibu na ile nyumba.

Walikuwa wanamazoea sana. Sasa mimi ni mtu flani ambae niko reseverd sana, huwa sipendi mazoea na watu unless yaani tuwe tunafahamiana na tumezoeana. Sipendi umbeya, sipendi kuongelea watu vibaya. Sipendi majungu.

So pale wale marafiki zangu ndo Wali tokea kuzoeana sana na wale majirani. Mimi upande wangu ilikuwa salamu tu, maybe stori mbili tatu... Ila ile kujua a sana haikuwa kipaombele changu.

Haya bwana, mimi huwa sina shida na watu kabisa, ila kwa ile jinsi tu nilivyo walidhani ya kuwa najiona sana. Wakadhani mimi mbinafsi(at least nadhani ndo walidhani hivyo)

So tumeendelea kuishi wale jamaa Wakawa so invested na wale majirani yaani mtu anakuwa kama Mwana familia kabisa wa watu asiowajua...

Long story short wale jamaa hawakufanikiwa kubaki kwenye kampuni maana hawakuwa serious. Walienda bata basi wa karudi zao makwao wakaniacha mimi... Ila cha kushangaza nikiwa majirani wakadhani mimi nimewachongea jamaa zangu wafukuzwe... Hiyo haitoshi wakawa wanawapigia simu wananisemea vibaya eti najiona na sina ushirikiano nao, wakati hakuna siku nimewahi kukwazana na mtu pale mtaani na hata kama kuna shida huwa nafix kama na uwezo..

Basi bwana, baadae mambo yakanikali sawa nmshahara ukapanda nikaanza kuenjoy, maisha ya kawa mazuri mpaka nikaanza kutafta kiwanja.. Badala ya kupoteza muda kutembea nikanunua boxer ya usafiri. Nikaanza kutafta pia frame japo na mimi nianze kuwekeza kwenye biashara.

Ila sasa wakuu, kimbembe kilikuja kunikumba... Yaani that year mshahara umepanda nilianza kuona mauza uza kwanza kazini mpka mtaani.

Kazini boss hanielewei, Daah kuna demu wa chuo nilikua nakula mara akaanza mauza uza, haya mara nikute magetoni mtu kamwaga ugali mlangoni... Aisee na nilikuwa nimeshalipa miezi 6. Wale majirani walikuwa hatari... Mimi huwa napenda watoto, lazima ni kukutana na dogo lazima ni Mwache na hela jero kawaida tuu. Ila kuzoeana na watu ilikuawa taabu..

Kinacho nifanya nisizoeane na watu ni kuwa kuna mapito maishani ambayo yame nifanya nisiwe open kwa watu ni sio wajua... (even the devil was once an angel)

Ebwanaa eeh ilifikia hatua maisha haya kuwa na amani kabisa... Kuanzia kazini mpka mtaani. Kuna siku siku niliugua kidogo nife kabisa... Alaf haukuwa na mtu demu wangu kashaniblock alaf watu napatana nao hasa makazini walikuwa wakiishi mbali na nilipo kuwa naishi.. Kugongea majirani hakuna anaeitikia wakati wao kila day mtu akiwa na shida mm sishindwi kuwasaidia

Basi bwana, mauza uza haya kuisha... Kuna siku aisee nimefika kazini kuna kazi niliachiwa na boss ilikuwa ya muhimu sana... Wadau sijui hata nielezeje sikuwa na kumbukumbu hata kazi inafanywaje na huku nimefanya kazi hiyo kwa muda wa mwaka mzima.. Nilidata yaani ni kama ubongo ulikuwa empty set... Kila nilijaribu ku recall sikumbuki.

Hapo ndo nilitambua kuna juju hapa. Nilitambua kabisa hii kuna mtu ananichezea... Niliaga kwa boss sijisikii fresh nikaenda hospital hapo sielewi nini hata kimetokea.. Kila nikiwa a mpaka leo Nashindwa kuelewa.

Aisee nilionge na bibi yangu nikamwelezea the whole thing.. A kasema huenda ni mimi na uchovu wangu tu.. Nikamwambia this is enough narudi home..

Sikuaga, si kumwambia mtu yeyote kazini, nika badili laini. Nilivyo fika home nilikesha nalia kwa kusali maana niliona hakuna namna mtu ata elewa nacho pitia.. Nilisali rozali mara sijui ngapi..

Wakuu omba yasikukute, wachawi wapo ndugu zangu na hapo ndo kilikuja kutambua ya kuwa lazima uwe na Mungu ndani yako, lazima uwe na imani ya kuwa Mungu ndo muweza wa yote.

Nilikuwa nasali mpaka natetemeka aisee. It was hell. Ila baada ya kama mwezi hivi nilirudi katika hali ya kawaida. Na hapo ndio niliekuja kujua Mungu yupo.

Zamani nilikuwa athiest mzuri kuwaonya wafia dini wajinga, ila baada ya ile incident Nilijua kabisa kuna Mungu sio huyo tunayehubiriwa makanisani bali yule aliye ndani yetu. Mimi sio mtu wa Kukesha kanisani ila nina imani kubwa sana.

Sajasema mbeya sio Sehemu nzuri, la hasha ila kwa yalivyo nikuta kule sitosahau maishani.

Kingine nilijifunza kutokuwa na umimi sana, sometimes watu hawapendi mtu wa namna hiyoo ingawa huenda mtu maisha ndo yanamshepu kuwa hivyo

Nani alisha wahi kupitia mauza uza ya namna hii?
Wachawi wanawaonea watu wasio ndani ya Kristo Yesu tu.Kuna mmoja alijichanganya kutaka kuniroga,mbona alifurahi😀

Mnaishije kwenye hii dunia yenye hatari nyingi namna hii bila kuwa ndani ya Yesu?. Mnajiamini nini?

Usihadaike na madawa ya kulevya(Dini/Dhehebu). Haya ni madawa yanayowalevya wengi waone kwamba hawana haja ya kumpokea Kristo Yesu maishani mwao,matokeo yake ni kuingilika kirahisi na jeshi la Shetani (Pepo wabaya katika Ulimwengu wa Roho).

Yesu hakuja duniani kuzurura. Alikuja kwa sababu alijua fika kwamba tunamuhitaji.
 
mi pia ni mkimya sana kutokana na kufiwa na wazazi wote nikiwa mdogo na kisha kupelekwa kuishi na mama mdogo iliniathiri sana ,sikuamini yaani kama kifo cha mwisho cha mama yangu ni kama niliingiwa na mshangao nilikuwaga mtukutu na kupigana mitaani ila baada ya kufiwa nikageuka nikawa mpole na mkimya sana ,hali ambayo imeniathiri hadi now
Pole sana mkuu,
Traumatic events can change us for good ndo maana huwa nawaambia watu usimjaji mtu kwa nje jaribu kumjua kwanza. Najua mama ako alikuwa mtu muhimu kwako ndo maana ile loss imekufanya hivyo.
 
yah yah na nilibadilishwa mazingira kutoka kuishi mkoa A hadi B na nilikuwa na ndugu zangu wa tumbo moja tulitenganishwa kila mmoja kwa ndugu tofauti ni balaa
 
Huchukua muda gani mtu kuugua malaria kali sana/++?
Trust me haikuwa malaria
Wachawi wanawaonea watu wasio ndani ya Kristo Yesu tu.Kuna mmoja alijichanganya kutaka kuniroga,mbona alifurahi😀

Mnaishije kwenye hii dunia yenye hatari nyingi namna hii bila kuwa ndani ya Yesu?. Mnajiamini nini?

Usihadaike na madawa ya kulevya(Dini/Dhehebu). Haya ni madawa yanayowalevya wengi waone kwamba hawana haja ya kumpokea Kristo Yesu maishani mwao,matokeo yake ni kuingilika kirahisi na jeshi la Shetani (Pepo wabaya katika Ulimwengu wa Roho).

Yesu hakuja duniani kuzurura. Alikuja kwa sababu alijua fika kwamba tunamuhitaji.
Kweli kabisa mkuu. Bila yesu na Mungu maisha yanakumbwa na suffering tu
 
yah yah na nilibadilishwa mazingira kutoka kuishi mkoa A hadi B na nilikuwa na ndugu zangu wa tumbo moja tulitenganishwa kila mmoja kwa ndugu tofauti ni balaa
Mlikuwa bado wadogo si ndio?
 
Mimi umbeya siyo mambo yangu namaanisha hautajua ndani kama nina TV au sina kama nina hela au sina. Na pia sitofuatilia maisha yako.

Ila kukaa na jirani tukapiga stori naweza, tunakua na uhusiano wa kuheshimiana na mipaka yake.

Sasa ishu ni kwamba watu wengi wanahisi kutofanya umbeya ni salamu na kupita njia. Mtu asipokuona unazama chochoro la karibu ili msiongeleshane.

Haipo hivyo
 
upweke ni hatari umeniletea shida sana ya ulevi wa kupitiliza na kupoteza pesa kibao ila nipo kwenye mapambano naamini ntakuwa sawa. kuhusu mada ya jamaa ishanitokea pia kwa wasambaa lushoto mchana unagongewa mlango ukienda kufungua huoni mtu ,ukirudi tena ivyo ivyo,na ukifika muda wa kuingia field kufanya collection ya mapato ya gavoo kinaanza kizungu zungu ukienda hospitali hakuna kitu yaani ni balaa
😄😄 Pole mkuu
 
Kama kuna mtu anamkumbuka mzee kalongoti tajiri wa mabedford yaliyochakaa aje hapa.
Kulikua na sufuria nyama za binadamu mwanae Johnson kichaa analalala humo.
Siku walivaamia Sokolo ndo ilikua mwisho wake.
Waliua wote live
Lini na wapi huko?
 
Mimi umbeya siyo mambo yangu namaanisha hautajua ndani kama nina TV au sina kama nina hela au sina. Na pia sitofuatilia maisha yako.

Ila kukaa na jirani tukapiga stori naweza, tunakua na uhusiano wa kuheshimiana na mipaka yake.

Sasa ishu ni kwamba watu wengi wanahisi kutofanya umbeya ni salamu na kupita njia. Mtu asipokuona unazama chochoro la karibu ili msiongeleshane.

Haipo hivyo
Yes, ila watu wanapenda wakujue in and out
 
Katika mikoa niliyo tembea hapa Tz mbeya ni kiboko...

Ndo maana kuna makanisa mengi sana, wale jamaa ni wachawi vibaya mno.

Baada ya kumaliza chuo nilienda mbeya kujitafta hiyoo ilikuwa mnamo 2021... Nilikuwa na marafiki zangu huko. Tulipata mchongo private sector.

Tukapanga vyumba sehemu moja. Mwenye nyumba alikuwa mtu poa sana. Ila kimbembe ni wale majirani wa karibu na ile nyumba.

Walikuwa wanamazoea sana. Sasa mimi ni mtu flani ambae niko reseverd sana, huwa sipendi mazoea na watu unless yaani tuwe tunafahamiana na tumezoeana. Sipendi umbeya, sipendi kuongelea watu vibaya. Sipendi majungu.

So pale wale marafiki zangu ndo Wali tokea kuzoeana sana na wale majirani. Mimi upande wangu ilikuwa salamu tu, maybe stori mbili tatu... Ila ile kujua a sana haikuwa kipaombele changu.

Haya bwana, mimi huwa sina shida na watu kabisa, ila kwa ile jinsi tu nilivyo walidhani ya kuwa najiona sana. Wakadhani mimi mbinafsi(at least nadhani ndo walidhani hivyo)

So tumeendelea kuishi wale jamaa Wakawa so invested na wale majirani yaani mtu anakuwa kama Mwana familia kabisa wa watu asiowajua...

Long story short wale jamaa hawakufanikiwa kubaki kwenye kampuni maana hawakuwa serious. Walienda bata basi wa karudi zao makwao wakaniacha mimi... Ila cha kushangaza nikiwa majirani wakadhani mimi nimewachongea jamaa zangu wafukuzwe... Hiyo haitoshi wakawa wanawapigia simu wananisemea vibaya eti najiona na sina ushirikiano nao, wakati hakuna siku nimewahi kukwazana na mtu pale mtaani na hata kama kuna shida huwa nafix kama na uwezo..

Basi bwana, baadae mambo yakanikali sawa nmshahara ukapanda nikaanza kuenjoy, maisha ya kawa mazuri mpaka nikaanza kutafta kiwanja.. Badala ya kupoteza muda kutembea nikanunua boxer ya usafiri. Nikaanza kutafta pia frame japo na mimi nianze kuwekeza kwenye biashara.

Ila sasa wakuu, kimbembe kilikuja kunikumba... Yaani that year mshahara umepanda nilianza kuona mauza uza kwanza kazini mpka mtaani.

Kazini boss hanielewei, Daah kuna demu wa chuo nilikua nakula mara akaanza mauza uza, haya mara nikute magetoni mtu kamwaga ugali mlangoni... Aisee na nilikuwa nimeshalipa miezi 6. Wale majirani walikuwa hatari... Mimi huwa napenda watoto, lazima ni kukutana na dogo lazima ni Mwache na hela jero kawaida tuu. Ila kuzoeana na watu ilikuawa taabu..

Kinacho nifanya nisizoeane na watu ni kuwa kuna mapito maishani ambayo yame nifanya nisiwe open kwa watu ni sio wajua... (even the devil was once an angel)

Ebwanaa eeh ilifikia hatua maisha haya kuwa na amani kabisa... Kuanzia kazini mpka mtaani. Kuna siku siku niliugua kidogo nife kabisa... Alaf haukuwa na mtu demu wangu kashaniblock alaf watu napatana nao hasa makazini walikuwa wakiishi mbali na nilipo kuwa naishi.. Kugongea majirani hakuna anaeitikia wakati wao kila day mtu akiwa na shida mm sishindwi kuwasaidia

Basi bwana, mauza uza haya kuisha... Kuna siku aisee nimefika kazini kuna kazi niliachiwa na boss ilikuwa ya muhimu sana... Wadau sijui hata nielezeje sikuwa na kumbukumbu hata kazi inafanywaje na huku nimefanya kazi hiyo kwa muda wa mwaka mzima.. Nilidata yaani ni kama ubongo ulikuwa empty set... Kila nilijaribu ku recall sikumbuki.

Hapo ndo nilitambua kuna juju hapa. Nilitambua kabisa hii kuna mtu ananichezea... Niliaga kwa boss sijisikii fresh nikaenda hospital hapo sielewi nini hata kimetokea.. Kila nikiwa a mpaka leo Nashindwa kuelewa.

Aisee nilionge na bibi yangu nikamwelezea the whole thing.. A kasema huenda ni mimi na uchovu wangu tu.. Nikamwambia this is enough narudi home..

Sikuaga, si kumwambia mtu yeyote kazini, nika badili laini. Nilivyo fika home nilikesha nalia kwa kusali maana niliona hakuna namna mtu ata elewa nacho pitia.. Nilisali rozali mara sijui ngapi..

Wakuu omba yasikukute, wachawi wapo ndugu zangu na hapo ndo kilikuja kutambua ya kuwa lazima uwe na Mungu ndani yako, lazima uwe na imani ya kuwa Mungu ndo muweza wa yote.

Nilikuwa nasali mpaka natetemeka aisee. It was hell. Ila baada ya kama mwezi hivi nilirudi katika hali ya kawaida. Na hapo ndio niliekuja kujua Mungu yupo.

Zamani nilikuwa athiest mzuri kuwaonya wafia dini wajinga, ila baada ya ile incident Nilijua kabisa kuna Mungu sio huyo tunayehubiriwa makanisani bali yule aliye ndani yetu. Mimi sio mtu wa Kukesha kanisani ila nina imani kubwa sana.

Sajasema mbeya sio Sehemu nzuri, la hasha ila kwa yalivyo nikuta kule sitosahau maishani.

Kingine nilijifunza kutokuwa na umimi sana, sometimes watu hawapendi mtu wa namna hiyoo ingawa huenda mtu maisha ndo yanamshepu kuwa hivyo

Nani alisha wahi kupitia mauza uza ya namna hii?
Sasa unakaa ilemi, isengo, kagera au mapelele unategemea nini?

Kwanza hakuna mfanyakaz wa kampuni anaekaa uko labda kampuni ya DStv kuuza visimbuzi kabwe.

Ushuani ni uzunguni, isyesye, at least hata ivumwe na isanga
 
Nilikuwa town... Ilomba huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom