John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,115
- 16,105
Nilikuwa town... Ilomba huko
Ilomba n uswahili bora ungekaa veta au isyesye au ungeenda hata nanenane au mitaa ya mbeya pazurNilikuwa town... Ilomba huko
Nilikuwa town... Ilomba huko
Ilomba n uswahili bora ungekaa veta au isyesye au ungeenda hata nanenane au mitaa ya mbeya pazurNilikuwa town... Ilomba huko
Hapohapo, kulikua na wababe wa kila ainaNzovwe Daah
Uliishi Mwananyamala? Jina lako linaanza na P?Nilikuwa town... Ilomba huko
Wapo.Daah mbeya sirudii mimi. Maisha rahisi ila wachawi sasa
Mkuu uko kama mimi nilivo ndio mana nakumwagia like.Hatari sana, alaf sijui huwa wakoje anataka ukimsaidia ndo muwe kama ndugu.. Na akiona unapiga hatua tu tayari topic ya mtaa... Alaf walivyo wapole kwa nje huwezi dhania kabisa..
Bado hujasema 😹😹😹Don't bring negative vibes ewe cursed specie.. Unalaana mbaya na utakufa vibaya mno
ilitokea mara moja kupotea njia akili ilifanya kukomfuse nikapotea nyumba sikuiona.Ilikuaje mpka ukapotea na ilitokea mara ngapi?
Unaishi wapi wakutembee 😀😀Nishapitia majanga ya kila aina lakini sijawahi kuamini kua uchawi upo au changamoto nilizopitia zilisababishwa na uchawi never
ni miaka mingi imepita iyo hali ilinianza dar nilipoteza kila kitu changu kwenye bias hara mpk leo sijarudi kwenye maisha halisi kama nilivokua.Ndo maana nikakuuliza hiyo incident ilianzia wapi na iliishaje mpk unarudi katika hali ya kawaida
Inatokea sana hiyo na sio uchawi huo. Unaweza kupoteza dira sehemu ambayo ni mwenyeji kabisa, unapapita hadi nyumbani kwako unapolala na kuamka kila siku. Kitaalamu sijui inaitwaje, Watu wa Singida wanaita "Ndoe"ilitokea mara moja kupotea njia akili ilifanya kukomfuse nikapotea nyumba sikuiona.