MtambwePemba
Member
- Jul 15, 2026
- 18
- 16
Mimi haukua uchawi sijui ilikua ni kitu gani kilinisababisha. Ndoe ndio nini ifafanue kidogoInatokea sana hiyo na sio uchawi huo. Unaweza kupoteza dira sehemu ambayo ni mwenyeji kabisa, unapapita hadi nyumbani kwako. Watu wa Singida wanaita "Ndoe"