Mbeya: Nilikumbana na Mauza Uza ya Wachawi

Mbeya: Nilikumbana na Mauza Uza ya Wachawi

Kuhusu ndugu, kuna wounds nyingi sana ambazo nikaanza kusimulia siwezi maliza

And true, you are only yourself..

Dunia inapenda kutufanya tujihisi lonely, ndo maana watu wako soo clinged to social media and stuff
Acha tu
Ila ni kweli Kuna feeling Fulani ya upweke usipoishinda unaangukia Kwingine.tunatumia Kila namna
Ndio matokeo huyu anachagua watu
Huyu mitandao
Huyu vilevi
Mradi tu
 
Acha tu
Ila ni kweli Kuna feeling Fulani ya upweke usipoishinda unaangukia Kwingine.tunatumia Kila namna
Ndio matokeo huyu anachagua watu
Huyu mitandao
Huyu vilevi
Mradi tu
Hakika,

Addiction ndo kimbilio, kuna vitu watu tunabeba, ukimwona mtu yuko soo reserved wengi huwa na historia.. Na like you said, addiction ndo way out ya wengiii

Am still in the fight too. Ni Mungu tu
 
Hil
Hasa hasa ilikuwa ni salamu nilikuwa kama kupiga stori mmekutana tu nje ile asubuhi ila ule ukaribu wa kukaribishana ndani sikuwa nayo kabisa na hata nikikaribishwa nilikuwa naenda kama kuzuga tuu. Actually walionekana ni watu wanapenda kuzungumzia maisha ya watu wengine sana.
Hili ni tatizo la mazingira mengi na watu wengi sana usipoonekana si mtu wa kuzungumzia maisha ya watu unaonekana una ringa
 
Hil

Hili ni tatizo la mazingira mengi na watu wengi sana usipoonekana si mtu wa kuzungumzia maisha ya watu unaonekana una ringa
Hakika. Sasa sijui unaringia nini maana hawakujui huwajui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom