Tuishie... hapa¡ tu maana inasikitisha sana¡Hapana kutokana na umri wako by that time. Kwani kuna ushuhuda mwingine?
Mtu anashangaa why huongei sana kama wengine..why huzuruli kama wengine muda mwingi upo nyumbani,why huendi Kwa mama Fulani au Mzee Fulani kupiga stori kwenye jamvi..Kuna kitu sisi waafrika hatujafunzwa
Kuwa na mipaka(self boundaries)
So, tunaji compare na wengine, tunawaona walio tofauti kama threat.
Inashangaza sana...Mtu anashangaa why huongei sana kama wengine..why huzuruli kama wengine muda mwingi upo nyumbani,why huendi Kwa mama Fulani au Mzee Fulani kupiga stori kwenye jamvi..
Eish
Mkuu una nongwa binafsi?Mbeya haina tabia za kisenge senge kama hizo, nina wasiwasi wewe ni mshirikina.
Nimeishi mikoa kadhaa mnayoinanga humu kwa uchawi, ni mkimya pia sijawahi kumbana na hali yoyote nikahisi nimerogwa au uchawi
Halafu napoteza muda na mtu anayelala kwa shemeji yake
Unasema huna shida na watu wakat ulimkalia kooni Seran had akapigwa Ban.Haya bwana, mimi huwa sina shida na watu kabisa, ila kwa ile jinsi tu nilivyo walidhani ya kuwa najiona sana. Wakadhani mimi mbinafsi(at least nadhani ndo walidhani hivyo)
Ni kweli ila pande zote uwepo na uwe na kiasi.Inashangaza sana...
Hawajui siri ya kubaki home, unajiepusha na mengi? Mzee wangu alinifunza sana hii, tulikuwa ni hakuna kwenda kuzurura... Kusoma kwa wingi.
Ila to another extreme ni mbaya pia, inabidi uwe mtu wa kwenda nje, in the weekend huwa na kuwa na routine ya kwenda for a long walk, baadae Beach.. Au nitatafta restruant ni ji treat. Na vibe na watu nao wajua tuu.
Hahaha
No ni uandishi mkuu...Mbona wabongo mnakuwa wazembe kusoma, ndo maana sijui nani alisemaga
"ukitaka kumweza mbongo mpe kitabu"
Yes, balance mattersNi kweli ila pande zote uwepo na uwe na kiasi.
Sio unawahitaji watu saana kiasi unakuwa mtumwa wa kampani bila kampani unaona Maisha hayana maana.
Sio unakuwa peke yako saana kiasi unakosa hata mtu wa kufahamiana nae.
Watu tunahitajiana.lakini Kuna wakati pia mtu atahitaji kuwa mwenyewe.
Ukimaster solitude..hao watu wakikuacha mwenyewe haitakupa shida.
Elewa tuu hivyo maana nikifafanua naweza mvunja moyo aliyeleta uzi wakati me mwenyewe sina Uzi wowote humuHow... Fafanua kidogo Unaposema uandishi
Kama mpaka ndugu wa kuzaliwa wanatuacha.wa kudumu nawe ni nani kama si wewe mwenyeweYes, balance matters
Ila pia kuna ile obligation ambayo jamii inatuwekea kuhusu kuishi na watu.
Imenitesa sana kipindi nakua... Ila baadae nili gundua it is all a lie. Watu huwa wanaishi kwa comparison na ni jela kuu.
Hakuna genuine connection, mahusiano hayadumu. Watu wanatumiana tuu
Nimetumia neno Binafsi mkuu umenishindaHahaha una lako jambo tu, mbona watu wanasoma
Kuhusu ndugu, kuna wounds nyingi sana ambazo nikaanza kusimulia siwezi malizaKama mpaka ndugu wa kuzaliwa wanatuacha.wa kudumu nawe ni nani kama si wewe mwenyewe
Ipo siku utabaki mwenyewe
Watakuja wengine wataondoka utabaki mwenyewe.ndio Iko hivyo