Mbeya: Nilikumbana na Mauza Uza ya Wachawi

Nishapitia majanga ya kila aina lakini sijawahi kuamini kua uchawi upo au changamoto nilizopitia zilisababishwa na uchawi never
Mkuu ya kwangu haikuwa na kipingamizi hata kama ingekuwa wewe lazima ungelijua tu wamefanya yaoo
 
Katika mikoa niliyo tembea hapa Tz mbeya ni kiboko...

Ndo maana kuna makanisa mengi sana, wale jamaa ni wachawi vibaya mno.

Baada ya kumaliza chuo nilienda mbeya kujitafta hiyoo ilikuwa mnamo 2021... Nilikuwa na marafiki zangu huko. Tulipata mchongo private sector.

Tukapanga vyumba sehemu moja. Mwenye nyumba alikuwa mtu poa sana. Ila kimbembe ni wale majirani wa karibu na ile nyumba.

Walikuwa wanamazoea sana. Sasa mimi ni mtu flani ambae niko reseverd sana, huwa sipendi mazoea na watu unless yaani tuwe tunafahamiana na tumezoeana. Sipendi umbeya, sipendi kuongelea watu vibaya. Sipendi majungu.

So pale wale marafiki zangu ndo Wali tokea kuzoeana sana na wale majirani. Mimi upande wangu ilikuwa salamu tu, maybe stori mbili tatu... Ila ile kujua a sana haikuwa kipaombele changu.

Haya bwana, mimi huwa sina shida na watu kabisa, ila kwa ile jinsi tu nilivyo walidhani ya kuwa najiona sana. Wakadhani mimi mbinafsi(at least nadhani ndo walidhani hivyo)

So tumeendelea kuishi wale jamaa Wakawa so invested na wale majirani yaani mtu anakuwa kama Mwana familia kabisa wa watu asiowajua...

Long story short wale jamaa hawakufanikiwa kubaki kwenye kampuni maana hawakuwa serious. Walienda bata basi wa karudi zao makwao wakaniacha mimi... Ila cha kushangaza nikiwa majirani wakadhani mimi nimewachongea jamaa zangu wafukuzwe... Hiyo haitoshi wakawa wanawapigia simu wananisemea vibaya eti najiona na sina ushirikiano nao, wakati hakuna siku nimewahi kukwazana na mtu pale mtaani na hata kama kuna shida huwa nafix kama na uwezo..

Basi bwana, baadae mambo yakanikali sawa nmshahara ukapanda nikaanza kuenjoy, maisha ya kawa mazuri mpaka nikaanza kutafta kiwanja.. Badala ya kupoteza muda kutembea nikanunua boxer ya usafiri. Nikaanza kutafta pia frame japo na mimi nianze kuwekeza kwenye biashara.

Ila sasa wakuu, kimbembe kilikuja kunikumba... Yaani that year mshahara umepanda nilianza kuona mauza uza kwanza kazini mpka mtaani.

Kazini boss hanielewei, Daah kuna demu wa chuo nilikua nakula mara akaanza mauza uza, haya mara nikute magetoni mtu kamwaga ugali mlangoni... Aisee na nilikuwa nimeshalipa miezi 6. Wale majirani walikuwa hatari... Mimi huwa napenda watoto, lazima ni kukutana na dogo lazima ni Mwache na hela jero kawaida tuu. Ila kuzoeana na watu ilikuawa taabu..

Kinacho nifanya nisizoeane na watu ni kuwa kuna mapito maishani ambayo yame nifanya nisiwe open kwa watu ni sio wajua... (even the devil was once an angel)

Ebwanaa eeh ilifikia hatua maisha haya kuwa na amani kabisa... Kuanzia kazini mpka mtaani. Kuna siku siku niliugua kidogo nife kabisa... Alaf haukuwa na mtu demu wangu kashaniblock alaf watu napatana nao hasa makazini walikuwa wakiishi mbali na nilipo kuwa naishi.. Kugongea majirani hakuna anaeitikia wakati wao kila day mtu akiwa na shida mm sishindwi kuwasaidia

Basi bwana, mauza uza haya kuisha... Kuna siku aisee nimefika kazini kuna kazi niliachiwa na boss ilikuwa ya muhimu sana... Wadau sijui hata nielezeje sikuwa na kumbukumbu hata kazi inafanywaje na huku nimefanya kazi hiyo kwa muda wa mwaka mzima.. Nilidata yaani ni kama ubongo ulikuwa empty set... Kila nilijaribu ku recall sikumbuki.

Hapo ndo nilitambua kuna juju hapa. Nilitambua kabisa hii kuna mtu ananichezea... Niliaga kwa boss sijisikii fresh nikaenda hospital hapo sielewi nini hata kimetokea.. Kila nikiwa a mpaka leo Nashindwa kuelewa.

Aisee nilionge na bibi yangu nikamwelezea the whole thing.. A kasema huenda ni mimi na uchovu wangu tu.. Nikamwambia this is enough narudi home..

Sikuaga, si kumwambia mtu yeyote kazini, nika badili laini. Nilivyo fika home nilikesha nalia kwa kusali maana niliona hakuna namna mtu ata elewa nacho pitia.. Nilisali rozali mara sijui ngapi..

Wakuu omba yasikukute, wachawi wapo ndugu zangu na hapo ndo kilikuja kutambua ya kuwa lazima uwe na Mungu ndani yako, lazima uwe na imani ya kuwa Mungu ndo muweza wa yote.

Nilikuwa nasali mpaka natetemeka aisee. It was hell. Ila baada ya kama mwezi hivi nilirudi katika hali ya kawaida. Na hapo ndio niliekuja kujua Mungu yupo.

Zamani nilikuwa athiest mzuri kuwaonya wafia dini wajinga, ila baada ya ile incident Nilijua kabisa kuna Mungu sio huyo tunayehubiriwa makanisani bali yule aliye ndani yetu. Mimi sio mtu wa Kukesha kanisani ila nina imani kubwa sana.

Sajasema mbeya sio Sehemu nzuri, la hasha ila kwa yalivyo nikuta kule sitosahau maishani.

Kingine nilijifunza kutokuwa na umimi sana, sometimes watu hawapendi mtu wa namna hiyoo ingawa huenda mtu maisha ndo yanamshepu kuwa hivyo

Nani alisha wahi kupitia mauza uza ya namna hii?
Hayo kawaida sana.
 
Kama sio uchawi unahisi nini kile?
UCHAWI upo......mie Shinyanga nilipambana nao sana,,,,,ndani giza nimefunga mlango lakini mtu anaingia ndani napambana nae...yaani twapigana....siku nyingine kwa nje nasikia vishindo kama ng'ombe au punda wanazunguka kwa kishindo nyuma ninayokaa,,,,asubuhi nikienda kazini kuwasimulia wananzengo wananitisha kwamba nikifungua mlango napotea,,,,nafungua ofisi nakuta hirizi na manyoya ya kuku na damudamu....watu wanaogopa kushika mie nafagia napiga deki,,,maisha yanaendelea.....kuhusu fisi usiku daaah...yaani hiyo ni kwa kifupi...siwezi kumaliza vimbwanga vya Shinyanga,
 
Zamani nilikuwa nikiskia stori za namna hii nabaki kucheka...

Ila nilivyo patwa na kadhia ya menta fog... Ndo nilielewa. Aisee unaweza kudhani ndo imepita hivyo...ile siku na toka ofisini kurudi home nilikuwa nakatiza mitaa kama chizi.. Njia ambayo napita mwaka mzima ikataka kunipoteza. Mara niingie majumbani mwa watu, broo nilidata. Nilivyo fika home nilikuwa mtu wa Sara.

Nili Lilia Mungu na kumwomba msahamaha kwa kudhani hayupo. Nilikuwa nasali na kusoma Biblia. Rozali ndo usiseme, aisee there was no any other option kwa kweli.

Ila nilirudi katika hali ya kawaida na mpaka kesho sichezei swala la imani na Mungu
 
ULICHAGUA FUNGU JEMA......shukuru sana ulikumkumbuka MUngu na akakusaidia.
 
Niko
Katika mikoa niliyo tembea hapa Tz mbeya ni kiboko...

Ndo maana kuna makanisa mengi sana, wale jamaa ni wachawi vibaya mno.

Baada ya kumaliza chuo nilienda mbeya kujitafta hiyoo ilikuwa mnamo 2021... Nilikuwa na marafiki zangu huko. Tulipata mchongo private sector.

Tukapanga vyumba sehemu moja. Mwenye nyumba alikuwa mtu poa sana. Ila kimbembe ni wale majirani wa karibu na ile nyumba.

Walikuwa wanamazoea sana. Sasa mimi ni mtu flani ambae niko reseverd sana, huwa sipendi mazoea na watu unless yaani tuwe tunafahamiana na tumezoeana. Sipendi umbeya, sipendi kuongelea watu vibaya. Sipendi majungu.

So pale wale marafiki zangu ndo Wali tokea kuzoeana sana na wale majirani. Mimi upande wangu ilikuwa salamu tu, maybe stori mbili tatu... Ila ile kujua a sana haikuwa kipaombele changu.

Haya bwana, mimi huwa sina shida na watu kabisa, ila kwa ile jinsi tu nilivyo walidhani ya kuwa najiona sana. Wakadhani mimi mbinafsi(at least nadhani ndo walidhani hivyo)

So tumeendelea kuishi wale jamaa Wakawa so invested na wale majirani yaani mtu anakuwa kama Mwana familia kabisa wa watu asiowajua...

Long story short wale jamaa hawakufanikiwa kubaki kwenye kampuni maana hawakuwa serious. Walienda bata basi wa karudi zao makwao wakaniacha mimi... Ila cha kushangaza nikiwa majirani wakadhani mimi nimewachongea jamaa zangu wafukuzwe... Hiyo haitoshi wakawa wanawapigia simu wananisemea vibaya eti najiona na sina ushirikiano nao, wakati hakuna siku nimewahi kukwazana na mtu pale mtaani na hata kama kuna shida huwa nafix kama na uwezo..

Basi bwana, baadae mambo yakanikali sawa nmshahara ukapanda nikaanza kuenjoy, maisha ya kawa mazuri mpaka nikaanza kutafta kiwanja.. Badala ya kupoteza muda kutembea nikanunua boxer ya usafiri. Nikaanza kutafta pia frame japo na mimi nianze kuwekeza kwenye biashara.

Ila sasa wakuu, kimbembe kilikuja kunikumba... Yaani that year mshahara umepanda nilianza kuona mauza uza kwanza kazini mpka mtaani.

Kazini boss hanielewei, Daah kuna demu wa chuo nilikua nakula mara akaanza mauza uza, haya mara nikute magetoni mtu kamwaga ugali mlangoni... Aisee na nilikuwa nimeshalipa miezi 6. Wale majirani walikuwa hatari... Mimi huwa napenda watoto, lazima ni kukutana na dogo lazima ni Mwache na hela jero kawaida tuu. Ila kuzoeana na watu ilikuawa taabu..

Kinacho nifanya nisizoeane na watu ni kuwa kuna mapito maishani ambayo yame nifanya nisiwe open kwa watu ni sio wajua... (even the devil was once an angel)

Ebwanaa eeh ilifikia hatua maisha haya kuwa na amani kabisa... Kuanzia kazini mpka mtaani. Kuna siku siku niliugua kidogo nife kabisa... Alaf haukuwa na mtu demu wangu kashaniblock alaf watu napatana nao hasa makazini walikuwa wakiishi mbali na nilipo kuwa naishi.. Kugongea majirani hakuna anaeitikia wakati wao kila day mtu akiwa na shida mm sishindwi kuwasaidia

Basi bwana, mauza uza haya kuisha... Kuna siku aisee nimefika kazini kuna kazi niliachiwa na boss ilikuwa ya muhimu sana... Wadau sijui hata nielezeje sikuwa na kumbukumbu hata kazi inafanywaje na huku nimefanya kazi hiyo kwa muda wa mwaka mzima.. Nilidata yaani ni kama ubongo ulikuwa empty set... Kila nilijaribu ku recall sikumbuki.

Hapo ndo nilitambua kuna juju hapa. Nilitambua kabisa hii kuna mtu ananichezea... Niliaga kwa boss sijisikii fresh nikaenda hospital hapo sielewi nini hata kimetokea.. Kila nikiwa a mpaka leo Nashindwa kuelewa.

Aisee nilionge na bibi yangu nikamwelezea the whole thing.. A kasema huenda ni mimi na uchovu wangu tu.. Nikamwambia this is enough narudi home..

Sikuaga, si kumwambia mtu yeyote kazini, nika badili laini. Nilivyo fika home nilikesha nalia kwa kusali maana niliona hakuna namna mtu ata elewa nacho pitia.. Nilisali rozali mara sijui ngapi..

Wakuu omba yasikukute, wachawi wapo ndugu zangu na hapo ndo kilikuja kutambua ya kuwa lazima uwe na Mungu ndani yako, lazima uwe na imani ya kuwa Mungu ndo muweza wa yote.

Nilikuwa nasali mpaka natetemeka aisee. It was hell. Ila baada ya kama mwezi hivi nilirudi katika hali ya kawaida. Na hapo ndio niliekuja kujua Mungu yupo.

Zamani nilikuwa athiest mzuri kuwaonya wafia dini wajinga, ila baada ya ile incident Nilijua kabisa kuna Mungu sio huyo tunayehubiriwa makanisani bali yule aliye ndani yetu. Mimi sio mtu wa Kukesha kanisani ila nina imani kubwa sana.

Sajasema mbeya sio Sehemu nzuri, la hasha ila kwa yalivyo nikuta kule sitosahau maishani.

Kingine nilijifunza kutokuwa na umimi sana, sometimes watu hawapendi mtu wa namna hiyoo ingawa huenda mtu maisha ndo yanamshepu kuwa hivyo

Nani alisha wahi kupitia mauza uza ya namna hii?
Pole brother ao ndo watu na watu ndio sisi
 
Oya atakae soma hadi mwisho atanisimulia mm sw.
Kazi ni kipimo cha utu
1785470215056.png
 
Hatari sana.... Kuna mtaa tulikuwa tunaishi yani ni balaa tupu, mara wafukie lipaka nyuma ya nyumba, mara msikie sauti za kukoroma dirishani usiku, kubwa kuliko kuna siku nimelala nikaja kushituka usiku... Kumuita mother sauti haitoki wameshanikata ulimi duh¡ wachawi sio watu wazuri....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom