Mbeya: Nilikumbana na Mauza Uza ya Wachawi

Hakika kuna watu na viatu duniani.
Wimbo wa zamani huo
Nyota ndogo uyo
Sipendi kujueleza sana ila ninayoyapitia mimi kwa sasa ivi mtaa nimetangaziwa kila kona na mshikaji nilomsaidia kuanzia makazi malazi chakula mpaka kazi anayoifanya mpaka sasa
Hutaamini kwamba ndo kasambaza maneno ya uongo kwa watu boy robby ni gay
 
Hasa hasa ilikuwa ni salamu nilikuwa kama kupiga stori mmekutana tu nje ile asubuhi ila ule ukaribu wa kukaribishana ndani sikuwa nayo kabisa na hata nikikaribishwa nilikuwa naenda kama kuzuga tuu. Actually walionekana ni watu wanapenda kuzungumzia maisha ya watu wengine sana.
Ndiyo tabia ya watu wa huko.
Nlikuwa na rafiki ananiambia Abby nimekulia Dar ila huku kwetu mbeya ukija jiandae kusengenywa na hata mtu asiekujua.yani ukipita tu wanaanza kukufanya mada.wanasengenya na kufatilia Maisha ya watu mno
 
Nyota ndogo uyo
Sipendi kujueleza sana ila ninayoyapitia mimi kwa sasa ivi mtaa nimetangaziwa kila kona na mshikaji nilomsaidia kuanzia makazi malazi chakula mpaka kazi anayoifanya mpaka sasa
Hutaamini kwamba ndo kasambaza maneno ya uongo kwa watu boy robby ni gay
Duuh aisee. Kwanini katangaza ilikuwaje?
 
Ndiyo tabia ya watu wa huko.
Nlikuwa na rafiki ananiambia Abby nimekulia Dar ila huku kwetu mbeya ukija jiandae kusengenywa na hata mtu asiekujua.yani ukipita tu wanaanza kukufanya mada.wanasengenya na kufatilia Maisha ya watu mno
Hatari sana, alaf sijui huwa wakoje anataka ukimsaidia ndo muwe kama ndugu.. Na akiona unapiga hatua tu tayari topic ya mtaa... Alaf walivyo wapole kwa nje huwezi dhania kabisa..
 
Hatari sana.... Kuna mtaa tulikuwa tunaishi yani ni balaa tupu, mara wafukie lipaka nyuma ya nyumba, mara msikie sauti za kukoroma dirishani usiku, kubwa kuliko kuna siku nimelala nikaja kushituka usiku... Kumuita mother sauti haitoki wameshanikata ulimi duh¡ wachawi sio watu wazuri....
Haukua ndotoni?
Alafu na mimi kuna muda nilikuwa hata silali unakuwa unahisi kama mlango I kuna watu wana kuongelea huku wa nacheka kwa nguvu.... Hapo ni usiku wa manane
 
Hatari sana, alaf sijui huwa wakoje anataka ukimsaidia ndo muwe kama ndugu.. Na akiona unapiga hatua tu tayari topic ya mtaa... Alaf walivyo wapole kwa nje huwezi dhania kabisa..
Ukikataa watasema unajisikia
Shirikiana na watu ila mazoea yalopitiliza please acha.wengine ni matatizo

Imagine mtu anataka uhuru wa kuingia kwako bila hodi Tena muda wowote anajiskia,aingie achukue chochote bila hata kukuomba,haya wanayopenda Sasa😄
 
Huwa na kuwa mbinafsi sana kwenye zone yangu.... Siwezi achia mtu aingie tu alete negative energy.. Kuna kitu maishani kilinifunza kupitia kuacha watu wakuzoee.

Sasa watu huwa wanaona kutaka privacy ni kujiona. Hapana, ni mtu tu anapenda kuishi hivyo. Kuhusu kishirikina na watu ni sahihi kabisa.
 
Haukua ndotoni?
Alafu na mimi kuna muda nilikuwa hata silali unakuwa unahisi kama mlango I kuna watu wana kuongelea huku wa nacheka kwa nguvu.... Hapo ni usiku wa manane
Live mkuu... hapo ni na miaka 8.... maana niliogopaga hata kukojoa mpaka nimuite mother kuna siku nilishituka nikaona mmama mwingine amesimama kitandani... nikimcheki mother amesinzia duh¡ halafu wote wanafanana nguo kumuamusha.... akanikalipia .... hebu lala......... kuna siku akaamuka amenyolewa...... na tuchawi.
 
Ushindani wa
Duuh aisee. Kwanini katangaza ilikuwaje?
Mafanikio na attention kwa watu
miaka ya nyuma kidogo nilikua naishi kwa fact nafanya kitu kwa ajili yangu then nakua kama nawa motivate maisha yalikua poa tu
2023 April nikaoa but ndoa haikudumu kwa mda mi na mwenzangu hatukua Sawa
2023 August nikajikuta kwenye depression pesa ilikua tatizo kubwa kwangu nilikua na mtaji kiasi flani ivi kama 1.3m watu nilokua nafanya nao kazi walikimbia na pesa yangu yote so ndani ya week moja mamtu kasepa pesa walundi wamepita nazo ilinichukua mda kuiona kama hali ya kawaida kwa kipindi chote icho jamaa alikua anasonga talatibu na maisha yake sikumfatilia wala kua na ukalibu nae ishu imeanza mwaka Jana baada ya mimi kua Sawa na ile kuanza kua tena mtaani kama kawaida nakutana na izo story sionekani napata wp pesa ya kula na kuendeaha maisha sikuwai kumjibu mtu wapi napata pesa sababu ni ile ishu ya kupigwa pesa mingi kwa upande wangu so nilihakikisha hakuna anayeweza kutabili naingiza kiasi gani na kwa njia gani lakini kadili ninavyofanya biashara kwa siri ndivo pesa inazidi ku nying na hakuna mtu anayeona pesa inapitaje kwangu
So jamaa alitumia iyo nafasi kupata attention kwa watu jamaa kaongea sana mengine mazito Fam iyo kwamba homie ni gay ni ya kawaida mpaka navoandika asubui hii kuna wateja wamenikimbia kwa sababu ya hizo taalifa za ushoga kinachonikela ni ile hali ya watu wa kalibu kuamini na anaewaaminisha na familia niliyoilea mwenyewe f@ck that shit kuna tyime nilitamani kumfuta duniani ila mi msabato nimebatizwa kwa maji mengi wakuu watu wasenge qmamaqe sijapanga kujitetea nasubili dunia itaamuaje
 
Live mkuu... hapo ni na miaka 8.... maana niliogopaga hata kukojoa mpaka nimuite mother kuna siku nilishituka nikaona mmama mwingine amesimama kitandani... nikimcheki mother amesinzia duh¡ halafu wote wanafanana nguo kumuamusha.... akanikalipia .... hebu lala......... kuna siku akaamuka amenyolewa...... na tuchawi.
Hebu Wacha bwana wa kike au wa kiume wewe?
Na hapo utotoni huwa sio serious sana. Si unakuwa bado hujapevuka
 
Ushindani wa

Mafanikio na attention kwa watu
miaka ya nyuma kidogo nilikua naishi kwa fact nafanya kitu kwa ajili yangu then nakua kama nawa motivate maisha yalikua poa tu
2023 April nikaoa but ndoa haikudumu kwa mda mi na mwenzangu hatukua Sawa
2023 August nikajikuta kwenye depression pesa ilikua tatizo kubwa kwangu nilikua na mtaji kiasi flani ivi kama 1.3m watu nilokua nafanya nao kazi walikimbia na pesa yangu yote so ndani ya week moja mamtu kasepa pesa walundi wamepita nazo ilinichukua mda kuiona kama hali ya kawaida kwa kipindi chote icho jamaa alikua anasonga talatibu na maisha yake sikumfatilia wala kua na ukalibu nae ishu imeanza mwaka Jana baada ya mimi kua Sawa na ile kuanza kua tena mtaani kama kawaida nakutana na izo story sionekani napata wp pesa ya kula na kuendeaha maisha sikuwai kumjibu mtu wapi napata pesa sababu ni ile ishu ya kupigwa pesa mingi kwa upande wangu so nilihakikisha hakuna anayeweza kutabili naingiza kiasi gani na kwa njia gani lakini kadili ninavyofanya biashara kwa siri ndivo pesa inazidi ku nying na hakuna mtu anayeona pesa inapitaje kwangu
So jamaa alitumia iyo nafasi kupata attention kwa watu jamaa kaongea sana mengine mazito Fam iyo kwamba homie ni gay ni ya kawaida mpaka navoandika asubui hii kuna wateja wamenikimbia kwa sababu ya hizo taalifa za ushoga kinachonikela ni ile hali ya watu wa kalibu kuamini na anaewaaminisha na familia niliyoilea mwenyewe f@ck that shit kuna tyime nilitamani kumfuta duniani ila mi msabato nimebatizwa kwa maji mengi wakuu watu wasenge qmamaqe sijapanga kujitetea nasubili dunia itaamuaje
Duuh aisee
Si hata Wasanii ni hivyo hivyo tuu.

The more people see you winning in life, they be talking shit behind your back. Ila ndo maisha na wewe ukiwapa attention kutaka ku validate ndo wa napata nguvu.

All you gotta do is keep doing what you're doing.
 
Huwa na kuwa mbinafsi sana kwenye zone yangu.... Siwezi achia mtu aingie tu alete negative energy.. Kuna kitu maishani kilinifunza kupitia kuacha watu wakuzoee.

Sasa watu huwa wanaona kutaka privacy ni kujiona. Hapana, ni mtu tu anapenda kuishi hivyo. Kuhusu kishirikina na watu ni sahihi kabisa.
Ni shida sana.watu tumetofautiana mitazamo mwisho tunashindwa kuelewana.
Ni kweli tunahitajiana,tutashirikiana lakini tuheshimu mipaka na misimamo ya mwingine.
 
Kuna kitu sisi waafrika hatujafunzwa

Kuwa na mipaka(self boundaries)

So, tunaji compare na wengine, tunawaona walio tofauti kama threat.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom