To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 28,608
- 66,716
Ni nusu Mnyama huyo aisee....anakuwa haelewi kituUkichaa unaletwa na stress za umaskini na hali duni ya kimaisha mbaya zaidi Elimu nayo iwe ndogo. Kama umesoma soma kidogo ile level ya humanity na civilization inakua juu, at least unaweza kutafakari kabla ya kutenda japo usomi sio kinga lakini angalau Elimu ni msaada mkubwa sana kwenye kuongeza ustaarabu kwenye maisha yetu ya kila siku na ukiongeza na hofu ya Mungu hapo mambo yanaenda sawa kabsa. Umewahi kujiuliza mtu akose Elimu, then awe na maisha duni halafu hana hofu ya Mungu. Hatari na nusu mzee.