Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

Ukichaa unaletwa na stress za umaskini na hali duni ya kimaisha mbaya zaidi Elimu nayo iwe ndogo. Kama umesoma soma kidogo ile level ya humanity na civilization inakua juu, at least unaweza kutafakari kabla ya kutenda japo usomi sio kinga lakini angalau Elimu ni msaada mkubwa sana kwenye kuongeza ustaarabu kwenye maisha yetu ya kila siku na ukiongeza na hofu ya Mungu hapo mambo yanaenda sawa kabsa. Umewahi kujiuliza mtu akose Elimu, then awe na maisha duni halafu hana hofu ya Mungu. Hatari na nusu mzee.
Ni nusu Mnyama huyo aisee....anakuwa haelewi kitu
 
Njombe na mbeya burudani sana hakupoi.

Kuna yule RC wa njombe huwa namuhurumia sana maana haipiti wiki bila kukutana na tukio la mauaji haswa haswa sababu ni mapenzi.

Hawa raia sijui huwa wananyweshwa nini maana suala la kujitoa uhai ni kama kwenda sokoni......

Ulanzi?
 
Silaha kuu ya mwanamke ni mdomo, unatakiwa kuwa na hekima ili uweze kuvumilia maneno makali kutoka kwa mkeo. Kinyume chake unaishia kufanya mambo ya ajabu.
Kabisa....
Mwanamke anaweza kutoa neno mpaka ukajiuliza ni masikio yako yanasakia sawasawa au....yaani mpaka mifupa unahisi kama inayeyuka na korodani lazima zisinyae....Sasa hapo ndipo uvumilivu wa kiume unahitajika.
 
Kujiendekeza tu kwani mapenzi yameanza leo?
uko sawa kusema kujiendekeza,,,lakini mimi najikita zaidi na afya ya akili,,,,yaani kunawa2 wa aina tofautitofauti,yaani level ya kuvumilia mambo mazito tumetofautiana sana,,kuna wa2 wamebarikwa sana,kuna baadhi ya wa2 anaweza kukuta mkewe kakaa bar na mwanaume mwingine,akawasalimia nae akatafuta meza nyingine akaagiza kinywaji na kuondoka bila kufanya vurugu na akafanya upelelezi taratibu na akigundua yule ni hawara wa mkewe anaachana na mkewe bila makelele,,,wengine wako level ya juu mno,anaweza akarudi nyumbani akafungua mlango wa chumbani akamfumania mkewe akizini live,yeye akarudishia mlango,akatoka nje na kuondoka zake,siku akirudi anachukua nguo zake na vitambulisho vyake na kwenda kuanza maisha mapya,,,,sasa kuna hawa wenye hasira kali{vichaa] hawa wakikutana na mabalaa kama niliyoyaeleza hapo,basi ndo unasikia habari za mauaji!!..nasisistiza "nazungumzia afya ya akili]
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Ombeni Manase Kilawa [43] mkazi wa Lusese Wilaya ya Mbarali anayetuhumiwa kumuua mke wake aitwaye Happynes Gervas Mwinuka [40] mkazi wa Kijiji cha Lusese kwa kumkata na kitu chenye ncha kali.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Benjamin Kuzaga amesema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Machi 13, 2024 Kitongoji cha Masista, Kijiji cha Lusese, Wilaya ya Mbarali baada ya kutokea ugomvi baina ya wana ndoa hao wakiwa nyumbani kwao na kupelekea mtuhumiwa Ombeni Kilawa kuchukua kisu na kumkata mke wake shingoni.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi baada ya mtuhumiwa kumhisi na kumtuhumu mke wake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wanaume wengine.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linatoa wito kwa jamii kuwa pindi wanapopatwa na tatizo au changamoto katika ndoa zao isiwe suluhisho lake kujichukulia sheria mkononi bali ni kutafuta ushauri kwa wazazi, walezi, wasimamizi wa ndoa, viongozi wa dini, katika madawati ya jinsia na watoto waliopo kila Wilaya ya Kipolisi, katika ofisi za halmashauri au kutafuta haki kwenye Mahakama ili kuepuka madhara.
 
Haina haja ya kuua wanawake ni wengi kuliko wanaume tukijigawa tunaweza kumiliki wanawake kumi kwa kila mwanaume bado walio kindergaten na tumboni!
 
Sasa hapo huyo jamaa anakuwa amemkomoa au amejikomoa?
 
Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili.

Tukio hilo limetokea majira ya saa 7.00 usiku wa kuamkia leo Machi 13, 2024 ambapo jirani amesema alisikia kelele kama watu wanagombana lakini baada ya nusu saa kukawa kimya na kuamua kupiga yowe ndipo watu walipojitokeza na polisi kufika wamelibomoa mlango wa chumbani kwao na baada ya kuingia Kilawa alikuwa ameshatekeleza mauaji kwa kumchinja mke wake na kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

==================

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Ombeni Manase Kilawa [43] mkazi wa Lusese Wilaya ya Mbarali anayetuhumiwa kumuua mke wake aitwaye Happynes Gervas Mwinuka [40] mkazi wa Kijiji cha Lusese kwa kumkata na kitu chenye ncha kali.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Benjamin Kuzaga amesema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Machi 13, 2024 Kitongoji cha Masista, Kijiji cha Lusese, Wilaya ya Mbarali baada ya kutokea ugomvi baina ya wana ndoa hao wakiwa nyumbani kwao na kupelekea mtuhumiwa Ombeni Kilawa kuchukua kisu na kumkata mke wake shingoni.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi baada ya mtuhumiwa kumhisi na kumtuhumu mke wake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wanaume wengine.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linatoa wito kwa jamii kuwa pindi wanapopatwa na tatizo au changamoto katika ndoa zao isiwe suluhisho lake kujichukulia sheria mkononi bali ni kutafuta ushauri kwa wazazi, walezi, wasimamizi wa ndoa, viongozi wa dini, katika madawati ya jinsia na watoto waliopo kila Wilaya ya Kipolisi, katika ofisi za halmashauri au kutafuta haki kwenye Mahakama ili kuepuka madhara.
Huu upande wa kushoto mwa Tanzania sasa watupumzishe. Kutwa wana kesi za ajabu ajabu mara mume kamuua mkewe, mara mke na mume wote wamejinyonga, mara mwanamke amemla mtoto wake,...n.k Upumbavu mtupu. Kuna shida gani kwenye hii mikoa ya huko???
 
Haina haja ya kuua wanawake ni wengi kuliko wanaume tukijigawa tunaweza kumiliki wanawake kumi kwa kila mwanaume bado walio kindergaten na tumboni!
Mkubwa duniani wanaume ni wengi zaidi ya wanawake, wanaume ni 51% na wanawake ni 49%
 
Ukichaa unaletwa na stress za umaskini na hali duni ya kimaisha mbaya zaidi Elimu nayo iwe ndogo. Kama umesoma soma kidogo ile level ya humanity na civilization inakua juu, at least unaweza kutafakari kabla ya kutenda japo usomi sio kinga lakini angalau Elimu ni msaada mkubwa sana kwenye kuongeza ustaarabu kwenye maisha yetu ya kila siku na ukiongeza na hofu ya Mungu hapo mambo yanaenda sawa kabsa. Umewahi kujiuliza mtu akose Elimu, then awe na maisha duni halafu hana hofu ya Mungu. Hatari na nusu mzee.
Anakuwa shetani
 
Back
Top Bottom