selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 454
- 616
Finally wameamua kumbambikizia kesi, Daah!!Hakuna aliye salama awamu hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa bwana. Hata ugali utapika ili tu uvutie wapiga kura. Ila ukishapata ulichokitaka hata million 50 ulizoahidi kwa kila kijiji unasahau.
Heshima yako mkuu, nimefurahi kuona uwepo wako tena..
Kabisa yaani. Watu wana roho mbaya sana haawasiti kuondoa uhai wa mtu wanaeona anatishia reputation yao.Kabisa Bestie mie naamini Ben Saanane kama angekuwa hatumii jina lake la kweli humu basi angekuwa hai hadi leo hii.
Tatizo Tanzania ukikamata unakufa lwako,hakuna mtu anatoka live mguu kwa mguu kukupigania. Wote tunaishia kuandika tu. Lissu mwenyewe anawaogopa wenye jeshi lao ndo maana mpaka leo yupo Belgique.
Apimwe Kwanza mkojo..halafu tujue..kwahiyo unashauri afunguliwe mshitakaa ya aina ngani?
Kabisa yaani. Watu wana roho mbaya sana haawasiti kuondoa uhai wa mtu wanaeona anatishia reputation yao.
Magu huwa anaumia sana akiona anasemwa mitandaoni.Bashite sasa anamwambia mzee tulia. Kinachofuata sasa uhai wa mtu unatolewa.
Kwani amefanya nini tena hadi mmbambikie kesi mbaya namna hiyo?Huyo kijana anawazazi wanaomshauri?
Niliishi na dada mmoja nilikuwa ninamtegea sana kutoa uchafu nje. Kwakua alikua msafi sana na alikua mpole alitoa bin karibu kila Jumamosi.Tatizo Tanzania ukikamata unakufa lwako,hakuna mtu anatoka live mguu kwa mguu kukupigania. Wote tunaishia kuandika tu. Lissu mwenyewe anawaogopa wenye jeshi lao ndo maana mpaka leo yupo Belgique.