Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Hili kundi lililokabidhiwa nchi nimegundua kuwa hawajui kupigana kisayansi, hili ni kundi la kupigana kwa kutotumia akiri, Siku zote kwenye Vita ukiona adui anakuzidi nguvu unatakiwa urudishe nyuma majeshi sasa hawa wakipelekewa wanaingia Kingi, hawatumiii akiri kupambana na wananchi wanatumia nguvu hata kipindi achacho wanajua kuwa dunia yooote inawatazama

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili sio akiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sikia nikwambie wewe ni rafiki yangu wa karibu.
fanya kazi pambania maisha yako alafu uone kama utabughidhiwa na mtu.
ila ukijifanya much know wewe ndo kimbelembele basi mimi rafiki yako ntakuletea ka chai tu huko selo sitokuwa na msaada zaidi ya hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitashukuru ila it may be likewise siyo kila aliye selo ana hatia ni swala la kujianda tu rafikii yanguu!!utawala usio singazia demokrasia hauna rafiki!!mimi nitakuletea na magazeti ya kila siku pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga.Kujitoa bongo ????Tena nyuma yako hakuna hata wananzengo. Kina Mandela walikuwa na wananchi nyuma yao. Narudia ni ufala kusema serikali huku wewe mwenyewe una makando na on top of that nyuma hakuna hata mwananchi atakeotoka nje kukupigania ukiwa jela.
Nakubali Bongo watu hawana mwamko. Lakini ni lazima wawepo watakaonza na mwanzo utakuwa mgumu sana sana.

Tatizo hata kama hukujitoa kuna siku huu ukatili ukakujia kwa njia ambayo hukutegemea kabisa kabisa na ukaathirika sana.

Wanaojitolea badala ya kuwabeza na kuwaita majina ni bora kuwaheshimu. Woga wako ndiyo mauti yako. Utaguswa tu kwa namna moja ama nyingine.
 
#HABARI Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.

Source EATV
Makamanda kampiganieni, kamanda wenu.

Eti nabakia Africa.
Namna hii hata kama Watanzania tutasali na kuomba toba kwa Mungu juu ya COVID-19 na Majanga mengineyo si rahisi kujibiwa na kuponywa sababu ya dhuluma za Wakuu wetu...

Hakuna dhambi mbaya kama kusema Uongo (Ufunuo 21: 8) na kutoa Ushuhuda wa Uongo ni Chukizo baya zaidi kwa Mungu, soma (Kutoka 20:16)...

Mipango mingi ya Nchi hii itakwama sababu ya Chukizo lifanywalo na Viongozi kwa raia wake kwani Mungu siku zote hadhihakiwi na anguko lake ni dhahiri, ni suala la muda tu !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unafikiri amri imetoka wapi? Mbona unajitoa ufaham? Unaaambiwa kuwa hata hao mapolisi wanasikitika Lakini hawana namna bado unataka kujitoa ufaham, Yule Mkuu wa mbeya alipofunga baar asubuhi yake, Yule wa Iringa asubuhi yake huyu wa dar asubuhi yake, unaamabiwa kuwa kila kitu kinachofanyika kwa sasa amri inatoka kwa magufuli na hata hao polisi huku nje wanasimlia

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupiga ramli,lete ushahidi
 
Back
Top Bottom