Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Hivi mnafanya uovu kama huu na kila siku mpo makanisani na wengine mmefunga mwezi huu mtukufu wa ramadhani, kweli hamtaukwepa moto wa jehanam hata kama una cheo gani hapa duniani.
 
Sina maana ya kuwa wauza nganda wengi ni wanachama wa Act Wazalendo au Cuf au Ccm ila wengi walijificha chini ya mwamvuli wa chama Tawala.

hivi najiuliza kweli Mdude wa chadema mwanaharakati kindaki ndaki kweli anauza unga? kweli na harakati zake zile kweli anauza unga?

Haise huyu ni muuza unga wa pekee kutokea nchini Tanzania yani ni wa kwanza tangu nimezaliwa kutokea hakika wauza madawa niewaogopa kumbe mnaweza kuwa na sipiriti za uzarendo kumbe unaua nchi?

Hahahah Mdude, mdude wajua mpk jirani yako hapa anakataaa kabsa

Angalizo kwa wanaharakati mkiwa wanhakati msikubali mtelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari hii imenikumbusha Ile list ya Drugs Dealers pale Dar. Kama Mafia Movie Fulani hivi.
 
Intelligence system yeyote huwa na kitengo maalum Cha measurements & evaluation.
Hii mbinu "Death and Disappearance"
Isitumike ndivyo sivyo Kuna mbinu nyingine nyingi za kudili na threat

Mimi na uhakika na watu wengine wengi tuna uhakika MDUDE NYAGALI kachomekewa madawa....

Niliwai kucomnent kweny account ake kumshauri kuhusu matumizi ya LUGHA na Aina ya harakari anazofanya....

Najua TAARIFA utakua mmemfikia Mkuu wa nchi najua Rais yeye anajipambanua kama mtetezi wa Wanyonge atoe agizo kwa watu wake wachunguze Mara moja.....

Kama Ni upuuzi wafute hili jarada.
WAKATI mwingine vijana wengine wanakua radical kwasababu ya ukosefu wa ajira za kueleweka

Nchini UNAKUTA Ina WAHITIMU kibao wa wa vyuo vikuu hawana ajira Mwaka wa tano Sasa na alisoma kwa bidii na kuaminishwa atapata ajira....
"PENGINE SULUHISHO LA MDUDE NYAGALI NI KUPATIWA AJIRA YA UHAKIKA NA SERIKALI"

Maana Mfumo wa elimu YETU nchini Umeshindwa kuwapatia vijana skills za kuwawezesha kujiajili nacho jua tuliwaandaa kuajiliwa.

Kina mdude wapo wengi Sana hili Ni bomu

Free mdude tusipoteze rasilimali za taifa
 
Aseme kwanza ile 1.7m aliitumiaje kabla hajafikiriwa kupewa donge nono zaidi.
 
Aseme kwanza ile 1.7m aliitumiaje kabla hajafikiriwa kupewa donge nono zaidi.
Kuna maudhui ya mabandiko ya mdude huwa yanakela Sanaaaa kutokana na lugha anayo TUMIA

Rai YANGU kwa mamlaka husika wamwachie huru huyu kijana....
Mfano
Ningekua na mamlaka kweny serikali ya magu ningemchukua huyu kijana nikampa fund alafu nikamwambia aandae proposal ya mradi kweny sekta yeyote alaf nikamfinance
Zile nguvu alizo kua anatumia kutoa lugha ngumu na kashifa kwa selikali...
Itumike katika kuleta maendeleo kwenye JAMII..
Ninge mpa kila rasilimali na wataalam wa kumpa mwongozo kufikia lengo la huo mrad alio uchagua...
Sijui Kama atapata muda wa kua ana post lugha ngumu na matusi kwa Watawala
Mm najaribu kutazama ishu ya mdude in positive way
 
Back
Top Bottom