Mbeya long time kitambo

Mbeya long time kitambo

Mwalimu kanjoka na msangalufu, na mwalimu mponda siwezi kuwasahau hao waalimu enzi hizo.. Sijui wapo sahizi nakumbuka enzi hizo shule ya msingi sinde ukichelewa asubuhi usiombee umkute mwal. Kanjoka kafika utachezea Bakora duuh!! Mbeya yangu Taam kweli
We jamaa lazima tumesoma wote Sinde ya JD na Mponda
 
Kulikuwa na pusher wa bangi huko Nonde. Ukitaka kuvuta bangi kwake utavuta bure hata gunia. Take away ndio unalipia. Jamaa alikuwa anaitwa Mswanga na alikuwa na stock ya kutosha kuvutisha vijana wote wa Mbeya kwa miaka minne bila kutetereka
Hivi aliishia wapi mtu huyu mkarimu ? Hakika wema hawadumu
 
Nyie mnaongelea Mbeya gani?
Nzovwe ndio ilikua makao makuu ya ubabe, ukiwakuta kina semeni,jairo,chande utakoma.
Disco linapigwa jeshini mziki unaanzishwa huko mnakimbizwa kama mko vitani.
Ukiwakuta kina El-kibo ilikua noma.
Mtaani kulikua na chizi zikimpanda akashika panga vumbi linatimka kijiji kizima.
 
Nyie mnaongelea Mbeya gani?
Nzovwe ndio ilikua makao makuu ya ubabe, ukiwakuta kina semeni,jairo,chande utakoma.
Disco linapigwa jeshini mziki unaanzishwa huko mnakimbizwa kama mko vitani.
Ukiwakuta kina El-kibo ilikua noma.
Mtaani kulikua na chizi zikimpanda akashika panga vumbi linatimka kijiji kizima.
Tunaongelea Mbeya mjini
 
huyu mshua alikuwa ana benzi kama 10 hivi kazipaki uwanjani kwake kule block T,nyuma ya ile shule ya watoto watukutu mtaa wa kina kiggy
Ali na Ali yupo juzi nimemuona Soweto anatembelea Nissan patrol
 
maarufu kwa jina la "mwansyu" huyu jamaa alikua dereva wa malori,siku hizi nasikia ni dereva wa mabasi ya mikoani kama sijakosea atakua golden Deere..huyu jamaa nimekua nae forest
 
Enzi hizo onko jamaa huyu alikuwa anajichoma pua alikuwa anakaa maeneo ya opposite na kwa ndiyo unakumbuka?
jina lake halisi alikua akiitwa dany amekula sana ugali home forest
 
Back
Top Bottom