Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,168
- 48,446
Nimesoma enzi hizo miaka ya mwishoni mwa sabini. Siku ya kwanza nilitinga shule na makatambuga, dah bakora zake mpaka leo sisahau. Enzi hizo Mkuu wa Mkoa alikuwa Kingunge ngombare Mwiru na mwanawe mmoja tulisoma naye pale Azimio!Umenikumbusha mwalimu mkuu wangu wa Azimio shule ya msingi alikuwa anaitwa mwangomile, aisee alikuwa anachapa bakora yaani ndugai haoni ndani kabisa
Bujibuji kanikumbusha mambo ya Mang'ang'a na mafyulizi. Wakati huo nikiwa nimetokea Dar nawasimulia watu kwamba nilifukuzwa na "bonge la Ng'ang'a" wenyewe hawaelewi kwani kwao Mang'ang'a ni tunda wakati kwa Dar ilikuwa ni Mbwa.

