Mbeya long time kitambo

Mbeya long time kitambo

kulikua na timu inaitwa kifwamba
ha ha haaa Kifwamba Rangers .....ilikuwa timu ya tajiri mmoja mnene enzi hizo.....mara moja moja alikuwa akipewa namba tisa aingie kupiga soka .....ilikuwa vituko....nasikia alikufa huyo mwenye kifwamba
 
Hii ndo Ilikua Mbeya yetu. Nilikua huko couple months ago pamebadilika sana
 
Kilimo Uyole..Uzunguni..Songwe cement....Forest..block T,mtc..ilikua kama mbele
 
ha ha haaa Kifwamba Rangers .....ilikuwa timu ya tajiri mmoja mnene enzi hizo.....mara moja moja alikuwa akipewa namba tisa aingie kupiga soka .....ilikuwa vituko....nasikia alikufa huyo mwenye kifwamba
na kocha akitaka kumtoa alijua anagoma anadai timu yangu halafu unitoe anamgomea kocha, walikua wakiingia uwanjani na 109 dereva yeye nakumbuka enzi hizo ligi daraja la tatu mkoa kifwamba inaingia na 109 mecco wanaingia na roli la kirusi
 
Namba 18.Nlikuwa nawafahamu hawa jamaa wote.Shaban kasoma primary Sinde...Dunda kwao ilikuwa Isanga na kwendi alikuwa Kwa mnyonge near hotel ya mfikemo....Nlinusurika at one point na kwendi(marehemu)
 
Kuna familia ya Mapugilo walikuwa wakorofi sana. Braza wao alikuwa anaitwa Ngwisa na wengine ni Uswe, Ibu, Mfike, Roby na wengine. Mfike siku hizi anajiita Fike Wilson anacheza bongo movie
 
Kuna familia ya Mapugilo walikuwa wakorofi sana. Braza wao alikuwa anaitwa Ngwisa na wengine ni Uswe, Ibu, Mfike, Roby na wengine. Mfike siku hizi anajiita Fike Wilson anacheza bongo movie
 
Match za kitaa sabasaba, polisi na Forrest ya zamani zilikua Moto wa kuotea mbali pia
 
Uwanja ngoma,nmekamua chama langu Mwanjelwa...tulikuwa na kina Faham,Weston,Maneno,Alex,Oscar kipa,Majaliwa kipa miaka ya 1999-2003
 
Back
Top Bottom