Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

Wanaohusisha suala hili la wanajeshi kutapakaa mjini mbeya na uwepo wa alishiababu ni waongo. Hili ni moja ya mazoezi yao tu. Last month limefanyika mkoani Ruvuma mjini Songea
 
Ningependa hili zoaezi pia walifanye DSM Mwanza na Arusha waovu hutokwa na povu.
Ni zoezi la kawaida tuu afterall ni jeshi na wananchi wa Tanzania kama huna tatizo huna haja ya kuwa na hofu
Walianza songea sasa Mbeya
 
Malengo ya hili zowezi nini kuanzia songwe mpaka uyole? Yaan jiji lote na mabom kupigwa?
 
Kunafaida yoyote kupiga mabom katikati ya umma usionataarifa? Tueleze kama kunahasara pia tueleze.
 
Lengo kuu la zoezi wanajua wao. Lakini yote wanayofanya hayahusiani na kuhatarisha usalama wa raia. Kama huna tatizo na hutawaingilia kwenye zoezi lao na kujifanya kiburi wanapotoa amri hawana tatizo nawe.

Nakumbuka Songea yote yanayofanyika Mbeya yalifanyika pia. Hizo siku za zoezi lao shughuli zote za ulinzi wa ndani walifanya wao. Walilinda hospital, masoko, taasisi zote za serikali, mabank kutia ndani vituo vya polisi walikuwepo wao. Polisi walipewa likizo.

Kwa hiyo hakuna haja ya kuogopa
 
Unaongeleaje wagonjwa wa pressure na wale wasioweza kuhimili mishituko? Naongelea mabom

Kunausalama?
 
...

....Nyerere aliona mbali sana wanatakiwa kuelewa alimaanisha nini na nini MAANAYAKE !!!
 
Unaongeleaje wagonjwa wa pressure na wale wasioweza kuhimili mishituko? Naongelea mabom

Kunausalama?

Usalama upo mkuu, mabomu ni sehemu ya hayo mazoezi na hayawahusu raia
 
Usihofu ni mazoezi tu ya kukabiliana na Ugaidi mazoezi kama hayo yalishafanywa hata huko SONGEA Raia wengi endeleeni na kazi kama kawaida vijana wenu wako kazini.

hao walionyoosha mikono juu kama ishara ya kujisalimisha ni wanajeshi pia au ni raia wa kawaida wanashiriki mazoezi yasiyowahusu?
 
Kunafaida yoyote kupiga mabom katikati ya umma usionataarifa? Tueleze kama kunahasara pia tueleze.

You better shut the f..uck up,, mboyoyo nyiiiingi, kawaulize viongozi wako wa wilaya na mkoa wana taarifa zaidi
 
Nashangaa leo wamedaka ngada na kama kilo 20 za kaya aka ganja pande za uyole ...!!
Leo hatareee
.
 
Acha ujinga wewe nilikuwa namgen wangu nanenane stand nusura niingize gari mtaron kwa upumbavu wa jamaa zako.

Usiwe mjinga kukanusha usichokifaham.

Mbeya siyo mtaani kwenu tu. Hili nijiji fanya utafiti kabla hujapotosha
mkuu mbona naona kama raia mikoni juu!!
 
You better shut the f..uck up,, mboyoyo nyiiiingi, kawaulize viongozi wako wa wilaya na mkoa wana taarifa zaidi

Mwenye akili hujenga hoja na elimu ya mpumbavu ni ndiyoooo!!! hawezi kuhoji wala kudadisi.

Umeongea nini sasa au umefunuwa utupu wa akili yako?
 
Back
Top Bottom