Huu ni uzushi, mimi niko jijini Meya muda huu, hakuna kitu kama hicho. Nahofu kuingizwa kwenye mtego wa mambo ya uzushi kama ule wa mapambano kati ya TPDF na El Shababu kule mapango ya Amboni. Ebu leta ushahidi wa picha yenye tarehe kama una ukweli !!!
Acha ujinga wewe nilikuwa namgen wangu nanenane stand nusura niingize gari mtaron kwa upumbavu wa jamaa zako.
Usiwe mjinga kukanusha usichokifaham.
Mbeya siyo mtaani kwenu tu. Hili nijiji fanya utafiti kabla hujapotosha