U ukimbile JF-Expert Member Joined May 13, 2015 Posts 212 Reaction score 55 Jul 2, 2015 #381 kama hujui uliza sio kukurupuka
U ukimbile JF-Expert Member Joined May 13, 2015 Posts 212 Reaction score 55 Jul 2, 2015 #382 Ochumeraa said: Wafanye huo ukaguzi na dar es salaama pia Click to expand... ungejua dar ni rahisi kuliko mkoa wowote kolezeni maneno tu ipo siku mtajua itakuwa stori ya musa na nchi ya ahadi
Ochumeraa said: Wafanye huo ukaguzi na dar es salaama pia Click to expand... ungejua dar ni rahisi kuliko mkoa wowote kolezeni maneno tu ipo siku mtajua itakuwa stori ya musa na nchi ya ahadi
likat Member Joined Feb 19, 2013 Posts 40 Reaction score 32 Jul 6, 2015 #383 Usiku ndio ilikuwa kazi, kwasababu mabomu yalikuwa yanavurumishwa mtaani na sauti za mizinga ya wastani
Usiku ndio ilikuwa kazi, kwasababu mabomu yalikuwa yanavurumishwa mtaani na sauti za mizinga ya wastani
gost JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 275 Reaction score 136 Jul 13, 2015 #384 badala waje dar majambazi kibao wafanye mazoezi shida wanapenda vilaini na miteremko au yanayo tokea dar ni mradi wa mtu
badala waje dar majambazi kibao wafanye mazoezi shida wanapenda vilaini na miteremko au yanayo tokea dar ni mradi wa mtu