Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

Kuna haja ya kuwashirikisha hawa Jamaa kwenye baadhi ya Matukio ya Ulinzi wa ndani ya Nchi ili kuwakumbusha Raia kwamba kuna wakati unatakiwa kutii Amri bila kuhoji.Polisi wamezoeleka sana kiasi kwamba hata Mhalifu anaweza kuwavimbia.

Tatizo

nikwanini ...kuna hatari yoyote...???

niwakatigani.....uchaguzi...???

Kwa utaratibu upi ...kuvamia watu nakuwakimbiza...????

Wapi ....barabarani/wasafiri...wagonjwa je..???

Kunafaida yoyote kwa uchaguzi....watu watakuwa huru???

Kunamengi yakujiuliza ambayo hayana majibu zaidi ya vitisho tu.
 
Ndiyo maana Najuta kuikacha JWTZ. Hawa jamaa safi sana. Mungu awabariki kwa uzalendo na moyo wa utayari wa kuilinda Tanzania na Watanzania. Hongera sana JwTZ. Ninyi ndo tegemeo pekee.
 
Lakini alshabab ana akili zaidi ya raia. Atakuwa mpole kuliko konokono lakini ana hesabu kali ya kuweza kuwasambaratisha wote hao wanaomkagua akiamua. Raia ni wadau wazuri sana wa jeshi duniani kote. Ukiwajengea hofu unapunguza thamani ya udau wao. Bila shaka wanajeshi wote wanalijua hilo maana hata mimi nilifundishwa hivyo. Sema tu kwa jeshini utii ni jambo la lazima watafanya walichoambiwa kufanya maana zoezI hilo ni planned
 
Naamini kwa dhati kabisa ya Moyo wangu kwamba walau hii ndio taasisi pekee iliyobaki yenye Uadilifu na Uzalendo kwa Nchi walau kwa kiwango cha kutolea mfano.
 
Lakini alshabab ana akili zaidi ya raia. Atakuwa mpole kuliko konokono lakini ana hesabu kali ya kuweza kuwasambaratisha wote hao wanaomkagua akiamua. Raia ni wadau wazuri sana wa jeshi duniani kote. Ukiwajengea hofu unapunguza thamani ya udau wao. Bila shaka wanajeshi wote wanalijua hilo maana hata mimi nilifundishwa hivyo. Sema tu kwa jeshini utii ni jambo la lazima watafanya walichoambiwa kufanya maana zoezI hilo ni planned

Al-Shabab hana uwezo wa kusambaratisha Jeshi letu.Anavizia majeshi yenye udhaifu.Uganda penyewe alipojaribu mara moja tu kashindwa kurudia tena.
 
Ndiyo maana Najuta kuikacha JWTZ. Hawa jamaa safi sana. Mungu awabariki kwa uzalendo na moyo wa utayari wa kuilinda Tanzania na Watanzania. Hongera sana JwTZ. Ninyi ndo tegemeo pekee.

Mkuu nikweli lakin ninamashaka na mambo yao.

Wangetusaidia basi nakuwaondoa hawa mafisadi endapo wanamoyo wa dhati kulinda taifa na watu wake.

Ufisadi unafanya maafa kama vita vingine vyovyote, maafa yakutisha

1. Mahospitalin wanakufa wengi sana kwa kukosa huduma bora

2. Mashulen, tunapata maafa yakutisha kwasababu huko tunapata wataalam feki
wahandisi-majumba,madaraja yanaporomoka...watu wanakufa wengi

Madakitari-operation za vichwa kuhamia miguun, madawa feki...watu wanakufa wengi.

Maajali barabaran watu wengi wanakufa, watawala wameshindwa kudhibiti achilia mbali mauwaji walemavu wa ngozi nk

Taifa linateketea, watu wanakufa lakin wazelendo hawa wajeshi hawashughuliki na mafisadi wanaoteketeza taifa.

Kwao uzalendo nikupambana na walalahoi ambao teyari wameshapigika vyakutosha na ufisadi.

Je uzalendo wao unaonekana kwa wananchi wakawaida tu au uzalendo wao upo kulinda maslahi ya watawala ambao ndio mafisadi?
 
Nashauri kila mtu abaki kwenye ueledi wake. Wengine wana comment hata kazi,taratibu na majukumu ya Jwtz hawavijui. Tuwaache wafanye kazi zao kwa taratibu zao. Mradi nchi ipo salama ni jambo la kushukuru Mungu.
 
Mkuu wa kaya akiwa India kawadanganya watanzania wa huko kwamba amefanikiwa sana kwenye mapambano dhidi ya rushwa!!! Ukiangalia tovuti ya takukuru waliohukumiwa ni veo, weo na mgambo wa vijiji.
 
Al-Shabab hana uwezo wa kusambaratisha Jeshi letu.Anavizia majeshi yenye udhaifu.Uganda penyewe alipojaribu mara moja tu kashindwa kurudia tena.
Unajua, tuombe Mungu tu Alshabaab asizamie Tanzania mkuu. Usiombe akaja na tukawa guinea pigs kwa ulimwengu. Yale majamaa ni mashetani yaliyopitiliza. Kusambaratisha ni kusambaratisha tu, iwe kwa kuvizia au kupambana. Boko haram umewafuatilia? Wanajeshi wanakuwapo kijiji hiki na wao wanachinja kijiji kinachofuata ng'ambo yake. Sio lazima wachinjwe wanajeshi maana hao wanajua kujitetea, lakini wanapochezewa akili kwa kuwabanika raia mbele ya wajeshi si ndo kusambaratishwa kisaikolojia? Nigerian Army ilibidi wazitimue pamoja na uimara wao walio nao. Hata askari hapendi kufa ingawa yupo tayari kufa kwa maana ya kiapo.
 
Nashauri kila mtu abaki kwenye ueledi wake. Wengine wana comment hata kazi,taratibu na majukumu ya Jwtz hawavijui. Tuwaache wafanye kazi zao kwa taratibu zao. Mradi nchi ipo salama ni jambo la kushukuru Mungu.

Unaogelea usalama kwasababu watu hawafi kwa bunduki na vifaru? Au!

Wangapi wanakufa kilasiku kwa

-kukosa matibabu bora

-Madawa ya kulevya

-Miundombinu ya kifisadi, majengo, mabarabara, reli, vivuko, ajali za meli

-utapia mlo

-Ajali barabaran

-kuchinjwa walemavu wangozi nk

Usalamagani mkuu unauongelea? Kama upo kwenye mfumo basi wezio wanapoteza ndugu jamaa na marafiki kila uchao.

Kama nimajukum sidhan tumefikia hatua ya Tpdf kuingia mitaan. Hatujafikia hatua hiyo vinginevyo nikuwatumia vibaya askari wetu.
 
Kumbe una shida zako nyingine,nazo wataka jwtz watatue?
Mwisho utasema sina ajira naomba jwtz waje wanitatulie. Kila taasisi na kazi yake mkuu!
 
Unajua, tuombe Mungu tu Alshabaab asizamie Tanzania mkuu. Usiombe akaja na tukawa guinea pigs kwa ulimwengu. Yale majamaa ni mashetani yaliyopitiliza. Kusambaratisha ni kusambaratisha tu, iwe kwa kuvizia au kupambana. Boko haram umewafuatilia? Wanajeshi wanakuwapo kijiji hiki na wao wanachinja kijiji kinachofuata ng'ambo yake. Sio lazima wachinjwe wanajeshi maana hao wanajua kujitetea, lakini wanapochezewa akili kwa kuwabanika raia mbele ya wajeshi si ndo kusambaratishwa kisaikolojia? Nigerian Army ilibidi wazitimue pamoja na uimara wao walio nao. Hata askari hapendi kufa ingawa yupo tayari kufa kwa maana ya kiapo.

Ni mwoga tu ndie anayehofia Magaidi.Boko Haramu anaitesa Nigeria kwa sababu ya udhaifu na M-gawanyiko wa Jeshi la Nigeria.Al-Shabaab hawawezi hata kufikiria kujipima kwetu.Waliwatisha Uganda kwa Shambulio moja lakini wameshadhibitiwa.Rwanda nayo ipo Somalia lakini wameshindwa kuifanya lolote.Ethiopia waliipiga Somalia na mpaka leo hawajajaribu kutia mguu Addis Ababa.Kenya imeshambuliwa mara nyingi kwa sababu ilizembea kuwekeza kwenye Ulinzi na Intelijensia.Al Shabaab na Magaidi wengine hawana uwezo wa kuchezea Nchi Makini kiulinzi kama yetu.Usitie shaka maana hata Kenya wametenga Bajeti nzuri mwaka huu kwa ajili ya kuwamaliza kabisa.
 
Haya yanayoitwa mazoezi ya kukabiliana na ugaidi yanayofanywa wanajeshi kuzingira miji Yaliyofanywa songea na sasa Mbeya nahisi yanamalengo tofauti.

Uchaguzi huu unaushindani mkubwa na tuliona ubabe ulitawala uchaguzi wa serikali za. mitaa.

Hisia zangu hivi ni vitisho na vitafanywa kwa raia kuelekea uchaguzi mkuu.(Gunboat policy) na kuashiria uchaguzi huu hautakuwa huru na wa haki. Na mikoa yote yenye upinzani kubwa kama kigoma mwanza arusha shinyanga iringa na mingine.ndi itashuhudia vitisho hivi na si mazoezi ya kukabiliana na ugaidi kwasababu.
1..Mazoezi ya kukabiliana na ugaidi wangeenda kufanya Somalia. DRC Mali au Lybya kwenye magaidi sio kwa raia wema.
2.kwanini ni kuelekea uchaguzi mkuu.
2
3. kazi ya kukabiliana na ugaidi ilitakiwA ifanywe na polisi sio jeshi.
4. Kwenye ukaguzi wao hawajawahi kupata kitu ata kimoja zaidi ya usumbufu kwa raia

hivi ndivyo nionavyo mimi jamani labda tujadili tyuone
 
Kumbe una shida zako nyingine,nazo wataka jwtz watatue?
Mwisho utasema sina ajira naomba jwtz waje wanitatulie. Kila taasisi na kazi yake mkuu!

Ukijenga hoja utaeleweka mkuu

Nisaidie sielewi mambo yafuatayo naomba ufafanuzi au msaada wako.

A) List kazi za hao JWTZ

B) List kaz za polis

C) List kazi za magereza

D) Na wengine unaowajuwa wewe maana usalama wa Taifa nk wapo sekta zote

2. Niwakatigan JWTZ Wanapaswa kufanya majukum ya polisi na kwanin

3. Kunatofauti yoyote ya kimuundo na kiutendaji katika majeshi yetu...kwanini

Mimi ninaajira yangu na sinafikra kujiunga na jeshi lolote, nikuthibitishie ndugu mtanzania nwenzangu.
 
Haya yanayoitwa mazoezi ya kukabiliana na ugaidi yanayofanywa wanajeshi kuzingira miji Yaliyofanywa songea na sasa Mbeya nahisi yanamalengo tofauti.

Uchaguzi huu unaushindani mkubwa na tuliona ubabe ulitawala uchaguzi wa serikali za. mitaa.

Hisia zangu hivi ni vitisho na vitafanywa kwa raia kuelekea uchaguzi mkuu.(Gunboat policy) na kuashiria uchaguzi huu hautakuwa huru na wa haki. Na mikoa yote yenye upinzani kubwa kama kigoma mwanza arusha shinyanga iringa na mingine.ndi itashuhudia vitisho hivi na si mazoezi ya kukabiliana na ugaidi kwasababu.
1..Mazoezi ya kukabiliana na ugaidi wangeenda kufanya Somalia. DRC Mali au Lybya kwenye magaidi sio kwa raia wema.
2.kwanini ni kuelekea uchaguzi mkuu.
2
3. kazi ya kukabiliana na ugaidi ilitakiwA ifanywe na polisi sio jeshi.
4. Kwenye ukaguzi wao hawajawahi kupata kitu ata kimoja zaidi ya usumbufu kwa raia

hivi ndivyo nionavyo mimi jamani labda tujadili tyuone

Mkuu umeongea kweli nakweli kabisa.

kama nikitusho nimafisadi.

Taifa la Tanzania lonayumbishwa na ufisafi kwanini basi haya majeshi yatusumbuwe nakututisha mitaani badala ya kuikombowa nchi dhidi ya ufisadi ns Mafisadi

A.
-EPA
-DEEP GREEN
-KAGODA
-MEREMETA
-RADA
-IPTL
-DOWANS
-RICHIMOND
-ESCROW
-KIWIRA COAL MINE
NK

B.
Maamuzi na usimamizi mbovu wa taratibu, kanuni na sheria kwamujibu wa katiba
-Misamaha ya kodi
-wanyama kutoroshwa
-Tembo kuuwawa hovyo
-Madin kutoroshwa
-Maoni ya watanzania katiba mpya kutupwa nk

Hawa wajeshi wetu niwazalendo lakin wanasiasa wanalenga kuwatumia vibaya na hapa wajeshi wasikubali kutumika bali wawe upande wetu raia kupinga dhulma, kunyanyaswa na kuibiwa raslimali zetu.

Raia hawana kitisho chochote kwa Taifa hili bali vitisho vipo kwa wanasisa hususan mafisad na Jeshi lishughulike na huko ilikulinda usalama wa Taifa watu na raslimali zetu.
 
Mida ya saa saba nilisikia milio na vishindo vya mabom kiasi kwamba nyumba imevibrate. Kama mara tatu vishindo vikubwa kwakweli.

Aiseee leo unanipa raha sana mkuu inaonekana wameku~disturb sanaa leo
 
Mkuu nikweli kabisa.

Nimekaa ndan natazama EAT akina Salungi ndo wanamalizia mjadala wao.

Kila mishe yangu leo imebuma, uzuri mimi sitaki shari na mwenyenguvu mpishe. Mateke ya matumbon au mbavuni na mbata za mgongo sizitaki kabisa labda wanifate huku kwangu.
 
Back
Top Bottom