Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,143
- 7,403
h a i c h e k e s h i i i i i
Nini hakichekeshi? vijana wa sekondari mna mambo
h a i c h e k e s h i i i i i
Pamoja na mbwembwe zao, jioni tutaonana kwenye kimpumu kwa mama John pale !!
Nini hakichekeshi? vijana wa sekondari mna mambo
Mkuu kuna kitu kinaitwa mgawanyo wa kazi/majukum (division of labor)
Polisi wanamajukum yao
Magereza wanamajukum yao
TPDF wanamajukm yao
Hawa wote husaidiana pale tu inapotokea mmoja kukwama katika majukum yake.
Hapa nivitisho na kuwafanya raia kuhofia usalama wao hususan kufanya maamuzi sahihi kuelekea uchaguzi mkuu october.
Hovyoooo.Huu ni uzushi, mimi niko jijini Meya muda huu, hakuna kitu kama hicho. Nahofu kuingizwa kwenye mtego wa mambo ya uzushi kama ule wa mapambano kati ya TPDF na El Shababu kule mapango ya Amboni. Ebu leta ushahidi wa picha yenye tarehe kama una ukweli !!!
Tulia kanyonyeshe ww dada, unaleta ushabiki wenu wa kwenye uzinzi wa MMU, hapa tunajadiri mambo ya nchi. Sasa ww uko itaka mbozi ya mbeya mjini utayajuaje au uko Chipaka kwa wanyamwanga utayajuaje ya mjini.
EIdiot!!
Hovyoooo.
Naona leo umeamuka na viroba kichwani au umevurugwa huko ulikoamkia. Badala ya kutoa kufafanua masuala niliyouliza wewe unaporomosha matusi yote hayo. Mimi natumia hekima za kiutu uzima nimekusamehe roho yangu nyeupe.
Hao wameanza vitisho-ccm na uchaguzi, nimewaona wakiendesha magari yao hovyohovyo.
Wanaenda speed kali bila kujali
Hawazingatii alama zozote
wanaenda oposite barabara za one direction
wanafanya near miss nyingi
mji wa mbeya upo katika hatihati, kiusalama bora kutulia au kama unagari yako bora kupaki kuwapisha hawa jamaa.
h a i c h e k e s h i i i i i
Naona leo humu JF watu mumeamuka na viroba kichwani au umevurugwa huko mulikoamkia. Pole sana, hujui utendalo. Mimi nimekusamehe endelea kuenjoy jumapili njema.
anataka kutujuza kuwa na yeye anamiliki mkokodooooh umezunguka saaaaana mwishowe kitu ulichotak
a kutuambia all along nimeshakiona,,, nani mwingine kaona?
Tofautisha ufafanuzi, attack na ubishi, ww ni mbishi unreasonably na ubishi wenye elements za attack. Ukitaka tunakupa tukuogope ww nani? Wakubwa wako huko wanakuna vitambi vya mabwana zao ww uko hapa huna mpango wala ukibwa wowote.
#Dawa ya Moto ni Moto#
Mumeamuka - mmeamka
Mulikoamukia- mlikoamkia
Kuenjoy- Ku-enjoy(elewa namna ya kutumia combined words au tukufundishe Morphology)