Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,507
- 5,739
Kuidhibiti CCM na wizi wa kura.
Una maanisha hao wanajeshi wanajipanga kudhibiti wizi wa kura?
Kuidhibiti CCM na wizi wa kura.
Jamaa wana operation maalum leo vyombo vyote vya usafiri vinakaguliwa.
View attachment 262281 View attachment 262282 View attachment 262283
Mkuu kama umeweza hapo kwenye red wakati yanarindima basi utalala tu
Kutisha tu wananchi, kwa nini wasifanye 2012 huko wanakuja kufanya leo karibu na uchaguzi
Kwani ulitaka wafanye nini?wakikutana na hao wananchi? Wakae chini na kuanza kupiga story?
Kwa hiyo maadui wanaongezeka nyakati za uchaguzi? Tutajie mfano wa maadui hao
mkuu ulitaka kuandika psychological 'torture' au ni hiyo hiyo 'tacha' yako
coz wakikaa kimya mnasema wanakula ela za bure wakifanya mazoezi et ooo wanatutisha mara mbwembwe.
You better fool yourself, everything done through drills are well undertaken.
-properly planned
-All precautions in place
-All threats to humans life and properties well contained
-completely no chanse for primary nor secondary value for risk to life on people and properties.
My question remain busting bombs had the consideration to pause death threat? Was there a necessity to bombs blusting along the streets?
Do we understand in houses people of different nature, health and strength in during the cause of action?
hawana kazi ya kufanya
Kwani hao JWTZ kazi yao ni kulinda mipaka, kwa hiyo hapo wapo mpakani? Mi nadhani usalama wa ndani ya nchi ni polisi ndo kazi yao.